DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.