Shilole: Naanza kupikia nyumbani Sasa hivi 'Inaniumiza sana'

Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.

"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Kama hukuina umuhimu wa kupigania HAKI, ukafikiria AMANI FAKE, matokeo ndiyo hayo. Unaweza ukainuka tena, but as long as hutetei HAKI, yatajurudia! Pole!
 
Akili za kimaskini
Akili za kitajiri asingekuwa ccm huoni wenye biashara zao kina no na azam hawana muda na hayo madudu mtoto wa bakresa kapewa cheo ila hakuwahi kukitumikia akili za kimaskini zipo kwenye siasa na ajira
 
A lot of motherfuckers wants to start marathon at the finish line

Unaichukia CCM Ila unachoma Mali ya shilole

MTU ambaye hata hana nafasi yoyote ya kimaamuzi serikalini

KIJANA LINDA UHAI WAKO , KUMBUKA UNA FAMILIA INAKUTEGEMEA , KATAA VURUGU KATAA MAANDAMANO
 
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.

"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Mgahawa wake ndiyo huo ulioajiri wafanyakazi 200? Au hao wafanyakazi ni wa Migahawa yake yote?
 
Naona sasa anataka kutulisha mavi anayokunya kwa m***du wake mwenyewe
 
Ukianza kupikia nyumbani tutachoma hiyo nyumba uanze kupikia chooni.
 
Wenyewe wanaogopa kulipa fidia waathirika wa ghasia maana idadi ya waliouawa itabidi ijulikane.

Ngoja bunge lianze,watajitokeza wakudai "stimulus package" kwa akina Lake Oil.
 
Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.

"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Inatakiwa upikie kwenye ofisi za chama kabisa na wakupe sufuria za kijani 😂,,,nipende kuwashukuru GenZ kwa hiki kidogo walichokutendea. Waendelee na moyo huo huo kwa machawa na viherehere wote
 
Back
Top Bottom