Anatuma salamu bado hajakoma ngoja wakamchomee nyumba akili imkae sawa...Walikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole
Justification ya kipumbavuKaumia mgahawa wake kuchomwa na aliyefiwa na watoto wake watatu siku hiyo atasemaje.
Akili za kimaskiniNa chakula chake tunaenda kukisusia atamwaga hadi
Watu wananjaa hatari. Walenda kula hawajakuta msosi wakatembea na bakuli na sufuri na majiko.Walikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole
Kama CCM inavyotafuta "Utu" kwa kuua watu elfu 10?Walikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole
Wakubwa wakisema hapana,ni hapanaKama mpaka leo hii hajapewa hata ka M20 kutoka CCM, atakuwa ameonewa!
Huna lolote unabwabwa tu humu.Justification ya kipumbavu
Watu wamepigwa risasi wengine watoto na wengine wajawazito unatuletea upumbavu wa ubwabwa na maharage, kapike kwenye vikao vya CCM huko.Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
haituhusuMsanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Yasivyo na Akili yanashupaza ShingoKuna la kujifunza hapa
Ukijenga tena tunakuja kutia kiberiti tenaMsanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Ukachome na kuiba mali za watu uachwe!?Kama CCM inavyotafuta "Utu" kwa kuua watu elfu 10?
Peleka fuvu wakalifumueAnatuma salamu bado hajakoma ngoja wakamchomee nyumba akili imkae sawa...