Ukiwa unategemea wananchi kama sehemu yako ya kuingiza kipato jaribu kupunguza dhihaka na masimango kwa wananchi hao pale unapojiona umejipata kwani wao ndiyo wamekufikisha hapo.
Yaani wateja wako wanatekwa, kujeruhiwa hadi wengine kuuwawa alafu wanatoa shutuma kuwa wanaowafanyia yote hayo ni watu flani then wewe ndiyo kwanza umeungana nao na kuwapa sapoti lazima wateja wako watatafuta mbinu ya kukushusha chini make wewe pia ni sehemu ya watesi wao.
Wahindi na waarabu wanawazidi akili nyie mnaojiita wasanii, endeleeni kushupaza shingo.