Tena ashukuru, leo hii angekuwa kwenye makaburi ya halaiki.Walikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole
Au siyo!Tena ashukuru, leo hii angekuwa kwenye makaburi ya halaiki.
Mwambieni Mwigulu kasema watalipwa.Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Upo sahihi awaulize wasanii walileta usanii kwenye maisha ya watu.Ukiwa unategemea wananchi kama sehemu yako ya kuingiza kipato jaribu kupunguza dhihaka na masimango kwa wananchi hao pale unapojiona umejipata kwani wao ndiyo wamekufikisha hapo.
Yaani wateja wako wanatekwa, kujeruhiwa hadi wengine kuuwawa alafu wanatoa shutuma kuwa wanaowafanyia yote hayo ni watu flani then wewe ndiyo kwanza umeungana nao na kuwapa sapoti lazima wateja wako watatafuta mbinu ya kukushusha chini make wewe pia ni sehemu ya watesi wao.
Wahindi na waarabu wanawazidi akili nyie mnaojiita wasanii, endeleeni kushupaza shingo.
Watakuwa wanamtumia kwa propaganda, hii story yake inaweza kwenda hata miaka mitano.Kama mpaka leo hii hajapewa hata ka M20 kutoka CCM, atakuwa ameonewa!
YawezekanaWalikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole
Ipo siku watashtuka wapo ndani ya bahari karibu kabisa na mdomo wa mamba, yeye hajajiuliza kwanini Viongozi wa kisiasa wa Tanzania wanaficha biashara zao? Wanatambua kabisa kuwa wao ndiyo chanzo kukubwa kwa umasikini wa waTanzania na watesi wao hivyo inabidi wafiche identity ya biashara zao ili wabaki wakuinekana sura zao tu.Upo sahihi awaulize wasanii walileta usanii kwenye maisha ya watu.
akae mbali na CCM inanuka damu ya watanganyikaMsanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma.
"Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani kwa anayehitaji huduma yangu anaweza kuweka oda kuanzia sasa" Alisema Shilole.
Kwani chura kiziwi si amkarabatie huo mgahawa?Walikua wanatafita katiba mpya na tume huru kwenye mgahawa wa shilole