Shilole: Naanza kupikia nyumbani Sasa hivi 'Inaniumiza sana'

Sijui campaigns zingine uchaguzi ukitokea watawatukana tena wananchi kwenye majukwaa ?
 
Mwambieni Mwigulu kasema watalipwa.
Mwigulu anajilopokea utadhani hizo fedha za baba yake!! Hizo fedha ni fedha kutokana na kodi za wananchi na zinatakiwa zitumike vizuri na sio kuwahonga chawa wa ccm! Mwigulu anaropoka kuwa watawalipa hao chawa wa ccm ; yaani wasanii wao wa muziki na wakina Shilole kwa kugomewa biashara zao na vijana!! Hizo fedha mtazitoa wapi? Kama mlivyoanza kuwakamua wanannchi kwa kuongeza kodi kwenye LUKU na kodi za magari? Sasa hizo kodi ndio zitawafanya wananchi waingie barabarani muda si mrefu kwani huu mzigo wa kodi mpya watabebeshwa wananchi wa hali ya chini wakati wabunge na watawala wengine hawatagus!wa !!
You are well advised to revisit your budget so that you remove all the unnecessary expenditure items. Futeni ununuzi wa magari mapya, acheni ujinga wa kuwa na misululu ya magari mnaposafiri, punguzeni mishahara ya wabunge na viongozi wengine wa juu wa serikali. Acheni kushupaza spingo fanyeni mnavyoshauriwa.
 
Embu ona usenge kama huu...unamchomea mtu biashara yake sababu Yuko ccm ..halafu mtu analeta matako anasema anatafuta Haki...Haki Gani? ..labua tu risasi mamaeh. .
Kama imekuuma kamuoe umfungulie mgahawa ndio umechomwa sasa ulitakaje?
😁😁
 
Embu ona usenge kama huu...unamchomea mtu biashara yake sababu Yuko ccm ..halafu mtu analeta matako anasema anatafuta Haki...Haki Gani? ..labua tu risasi mamaeh. .
Mbona MO Dewji, GSM, Fred Vunja Bei hawaja chomewa kwani wao siyo CCM?
 
Ukachome na kuiba mali za watu uachwe!?
Vipi ukiiba kura za watu ulitaka uachwe? Kumbuka uchaguzi ulicost zaidi ya Trillion 1 then unakuja kuibwa tu hiyo hasara utalinganisha na nini? Shishi food yenye mtaji usiofika 50m?
 
 
CCM watamjengea mgahawa.
Asitusumbue na vilio vyake
 
Watu milioni 31 waliopigia kura chura kiziwi wakichanga jero jero tu anapata billions kadhaa. Asitulilie hapa
Tonetone ya CCM
Watu 10 tu wanachangia hela.

Au hata Mtu mmoja tu
Mwamposa akimchangia 50 M kama kwenye tonetone,Anarudi chap .
 
watu 200 anawafahamu ...mbogamboga kwa kuongeza 0.labda kama wengine ni misukule sawa
 
Mbona MO Dewji, GSM, Fred Vunja Bei hawaja chomewa kwani wao siyo CCM?
Kawaida masikini huwa wanachiwiana hata wenyewe kwa wenyewe, uchawi huwa haumfikii tajiri
Si walikula za moto na kupoteana maeneo ya magomeni, wakiwa na lengo la kufika mjini, ina maana wangefika mjini wangechoma Kariako na Upanga yote,
Mbona hakuna kilichaharibiwa Kariakoo ? na wakaazi wa maeneo yale walikuwa wanasubiri waanze wizi na uharibifu wangeona risasi zinavyotokea majumbani kuelekea usawa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…