Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,

"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana".

Pia Soma:

Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana.
Umepewa onyo na Mungu acha makafara namichezo michafu kwa tamaa ya pesa na unayofanya watawala......hilo onyo la mwisho
 
Ana umri wa miaka mingi/mkubwa lakini kagoma kukua kwa hiyari yake mwenyewe.Hakomi tu?Kunyamaza na kutuliza kipapi chake anaona ni shida sana?
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,

"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana".

Pia Soma:

Drama
 
Muosha huoshwa.
Shilole kapata ajali watu wanauliza hali ya ng'ombe ,ila siyo hali yake.
Kama jinsi yeye aliyodeal na hali ya mgahawa wake ulioharibiwa, kuliko kujali waliopoteza maisha kwenye lile sekeseke.
 
Bado ajali ipo kichwani, anatakiwa kumshukuru Samia kumuweka Hai na sio huyo mwamba aliyemtaja
 
Sometimes mambo hutokea Kwa sababu, kuna la kujifunza pia kwamba hakuna yyte ambaye ni untouchable, unaweza kuondoka Kwa namna yoyote Ile, hivyo kabla hujafanya kitu chochote fikiria mara mbili.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,

"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana".

Pia Soma:

Akatibie Ng'ombe wa watu aache kupiga kelele
 
Afadhali ng'ombe anaendelea vizir
 
Attachments

  • 1767565380184.jpg
    1767565380184.jpg
    58.1 KB · Views: 31
Back
Top Bottom