Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

Mpasuko uliopo hapa nchini sijui ni kiongozi gani atakuja atuunganishe.
 
Nchi imekuwa na uteam kama simba na yanga!, yaani team samia na team wanaompinga.
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,

"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana".

Pia Soma:

Anamshukuru Mungu yupi?
Dhihaka sana huyu binti
 
WALISHAZIKA NGOM BE AMA WANASUBIRI POSTMORTEM??
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,

"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.

Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na kwa watu wangu wa karibu. Asanteni sana kwa dua zenu, Hakika Mungu ni mwema sana".

Pia Soma:

Pumbavu kabisa ungekufilia mbali
 
Back
Top Bottom