Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

Mola mrehemu ng'ombe wetu. Hana hatia.
 
Ng'ombe mwema ajeruhiwa na ibilisi wa ccm
 
Mpasuko uliopo hapa nchini sijui ni kiongozi gani atakuja atuunganishe.
 
Nchi imekuwa na uteam kama simba na yanga!, yaani team samia na team wanaompinga.
 
Anamshukuru Mungu yupi?
Dhihaka sana huyu binti
 
WALISHAZIKA NGOM BE AMA WANASUBIRI POSTMORTEM??
 
Pumbavu kabisa ungekufilia mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…