Ngoja nikikaa kwenye kijiwe cha kahawa niwape hii fact nipate maujiko maana hata mimi hili swala sikuwa nalijuaIla ajue kuwa V8 ni engine na sio aina ya gari. Kwenye Range Rover pia kuna hiyo V8 engine.
Wakati LC latest yenyewe ni V6V8 wabongo wengi wanajua ni LC
hio v8 nishepu ya injini tuu ipo kwenye magari mengi ikiwemo lc na hio range.Watu wanatakiwa kwanza wajue maana ya V8 ,
Kwani si Kuna RR v8,?
Pia Kuna Scania v8?
Mafundi magari njooni mtoe Elimu kuhusu four cylinders inavyofanya kazi pamoja na maana ya v8 , yaani eight cylinders.
Kibongo bongo V8 ni aina ya gari na inajulikana ni Toyota sasa wewe endelea kukariri kwamba V8 ni engine. Toyota inapendwa kwa sababu ya uimara wake kudumu / reliability kwa kiingereza hiyo Range huwezi kwenda nayo milimani namtumbo huko labda uishie humu humu Dsm.Ila ajue kuwa V8 ni engine na sio aina ya gari. Kwenye Range Rover pia kuna hiyo V8 engine.
Nilipand siku Moja weee...brooo range tamu Jamani tuacheni unaafiki!!!Ushawahi hata kupanda? Au ndio unayaona tu barabarani yanapita.
Naunga mkono hojaStaa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.
View attachment 2591320
DOZEN SELECTION
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja nikikaa kwenye kijiwe cha kahawa niwape hii fact nipate maujiko maana hata mimi hili swala sikuwa nalijua
Ni kweli hata SAMIA anatumia V8 VXR. Zaidi ya 450M.
Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki.
Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto.
View attachment 2591320
DOZEN SELECTION
Kila mtu ashinde mechi zake
Huyu mshamba anaijua
The new Range Rover SV 'Lansdowne Edition ambayo inaenda £250k ?
2023, zitakuwa kumi na sita tu...sasa gari sare sare Kama mashuka ya kimasai za nini
Utasikia nichangieni
Ova
Ntaonekana nayajua magari hapo nikitaja taja na brands zingine nawamaliza kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]