Shindano la big brother lina maudhui gani?

Jiulize swali, kwa nini ng'ombe dume na jike wanawekwa sehemu moja? Jibu utakalopata, ndio jibu la uzi wako. Lengo ni kupima, binadamu anaweza vipi kuishi mazingira shawishi na kuweza kuepuka vishawishi.
 
unataka kuniambia na wewe ni mfuasi wa hili shindano?
 
wanafiraaana tu huko
 
Tangu nizaliwe, nikijumlisha muda wote niliowahi kukaa nikaangalia hiyo Big Brother, sidhani kama zinafika dakika 3.
Tena nyingi kati ya hozo dakika ilikua ni kipimdi cha akina Gaetano Kagwa, nilipokuwa najaribu kuelewa maudhui yake.
Umenikumbusha gaetano abby platjees kipindi hicho naona bba ilikuwa maarufu sana kuliko kipindi hiki japo sijawahi kuielewa
 
Umenikumbusha gaetano abby platjees kipindi hicho naona bba ilikuwa maarufu sana kuliko kipindi hiki japo sijawahi kuielewa
Kipindi kile watu tulikuwa tunajaribu kuelewa ni kitu gani, lakini ikashindikana ila cha ajabu wafuatiliaji ndiyo wakaongezeka kwa wingi kweli.
Nikaona jamii ina mataahira wengi. Tukayaacha.
 
Hiyo ni Reality TV show yaani wanavyoishi ndiyo wanafurahisha watu lengo kutangaza biashara za makampuni tofauti.Huko nyuma Kuna team kubwa sana ya wanaobuni leo iweje tunatokaje na kucharge hayo makampuni yazitangaze hizo biashara na bidhaa na huduma zao.

Mahindi hupigiwa kura na watazamaji kulingana na wanavyovutiwa naye. Sio nzuri Kwa watoto chini ya miaka 18 lakini.
 
Big Brother cha mtoto, siku hizi TV mbalimbali Duniani wako na Reality show ya kuitwa Temption Island. Humo ndio balaa lote.
 
Kipindi kile watu tulikuwa tunajaribu kuelewa ni kitu gani, lakini ikashindikana ila cha ajabu wafuatiliaji ndiyo wakaongezeka kwa wingi kweli.
Nikaona jamii ina mataahira wengi. Tukayaacha.
Yaaap nilijitahidi nikashindwa tena nilikuwa nafuatilia baada ya kusikia gaetano abby plat walitafunana ndio ni kawa na hamu ya kuwajua hawa watu wazima wanakulana mbele ya camera bila aibu wana fananajeee
Ndio nikamuaona gaetano na para lake na abby kipindi hicho 🔥🔥🔥🔥
 
Ndiyo maana hata kama unapenda chini namna gani, ni vizuri kuepuka Mitandao i. e social networks maana kitu kikiwekwa kule watu watakuwa wanashea hadi kuisha kwa ulimwengu.

Kwahiyo ni vizuri sana kuepuka kurekodi picha zenu za faragha
Kabisaa..

Na watu hawajui kwamba kosa kubwa ni kurekodi, wala siyo kutuma au kumwonyesha mtu, ukirekodi tu, hata ukaifuta tayari ulishatengeneza retrievable content..
 
Sahizi kuna BbnaijaAll stars, humo utamkuta

Mtoto mzuri Ilebaye
Single mother Venita
Alex
Mtoto mzuri Ceec
Uriel
Angel
Mercy
Tolanibaj
Muhuni Cross
Bishooo Adenkule
Seyi
Frodd
Frere
Mpishi WhiteMoney
Ike
Kiddwaya
Mhuni na snichi Neo
 
Zote hizo ni program za freemason lengo ni kuu ni kuzalisha kizazi kipya chenye maadili wayatakayo wao na wamefaulu.
Ikiwemo kizazi hiki hakioleki kitaishia usingle parents,wazae lakini wasiwe na familia.kupoteza maadili ya asili, kupromote maisha bandia,ngono ni sawa na burudani ingine, kubomoa maadili ya jamii nk.
 
Depal njoo umjibu Missy hapa puliiiiz
 
Na ushukuru Mungu haukuelewa, ungethubutu kuelewa huenda leo hii ungekua ni mmoja wa watu wanaokimbiza sana huko Insta kwa mapicha na marangirangi😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…