Shindano la big brother lina maudhui gani?

Shindano la big brother lina maudhui gani?

Kuna mambo ya kishetani yanakuwa promoted kwenye jamii zetu yaonekane kuwa ni ya kawaida.

Kama hatutaweza kushtuka mapema tutakuja kuwa na kizazi cha hovyo sana miaka 50 ijayo
Si unaona. Museveni wameshamla kichwa. Na sisi Waafrika tulivyo wajinga. Badala tuungane na kuukataa huu ujinga na ajenda zao hizi ndo kwanza tunachekelea. Si ajabu Uganda itateseka kama Zimbabwe na wakiona wanachelewa basi wanamwondoa...Hata shows kama BB ajenda ni hizi hizi tu!

Screenshot_20230809_132503_Telegram.jpg
 
Big brother ni moja ya mipango miovu ya shetani kuangamiza kizazi chetu, especially vijana.

Imagine washiriki wanavyonyanduana mbele ya camera, na watu wamekaa sebuleni wanaagalia comfortably kabisa. Unafikiri nini kinapandikizwa akilini mwao?

Ndio mtu akitoka hapa na yeye anataka afanye ngono anajirekodi, na upuuzi mwingine tu wa kutaka kila kitu ajiamlie mwenyewe.
 
Na washiriki wengi ni vijana age 20-25 ambao ni rahisi kuhamasika
 
Si unaona. Museveni wameshamla kichwa. Na sisi Waafrika tulivyo wajinga. Badala tuungane na kuukataa huu ujinga na ajenda zao hizi ndo kwanza tunachekelea. Si ajabu Uganda itateseka kama Zimbabwe na wakiona wanachelewa basi wanamwondoa...Hata shows kama BB ajenda ni hizi hizi tu!

View attachment 2712578
Hawa Wazungu ni hovyo sana, najua kisa cha kumfanyia hayo yote ni yeye kupitisha ile sheria ya kupinga Ushoga.

Kama wanaona Ushoga ni muhimu sana si waoane huko huko.

Wengine hatujaona mbadala wa Kei bwana 🤗
 
Kama una vijana wako nyumbani, ni heri Remote ikafichwa chumbani kwa Baba.
Mimi huwa nikiona channel inaniharibia watoto, huwa naiblock immediately. Uzuri password za ku-unblock nazijua mwenyewe tu.

Wakishaona haionekani wanajua hapa mzee kaona kuna mambo hayako sawa.
 
Mimi huwa nikiona channel inaniharibia watoto, huwa naiblock immediately. Uzuri password za ku-unblock nazijua mwenyewe tu.

Wakishaona haionekani wanajua hapa mzee kaona kuna mambo hayako sawa.
Hii ni muhimu sana, binafsi nalipia DSTv kwaajili ya EPL tu, kama hakuna mechi basi remote huwa nabaki nayo chumbani
 
Na ndio lengo lao hilo, kwamba jambo ambalo sio la kawaida lionekane la kawaida.

Unaona wale washiriki wanakulana mbele ya camera, si wana familia wale? Maana yake familia zao zilishaanza kuona ni vitu vya kawaida kabisa
Kuna mambo ya kishetani yanakuwa promoted kwenye jamii zetu yaonekane kuwa ni ya kawaid
 
Na ndio lengo lao hilo, kwamba jambo ambalo sio la kawaida lionekane la kawaida.

Unaona wale washiriki wanakulana mbele ya camera, si wana familia wale? Maana yake familia zao zilishaanza kuona ni vitu vya kawaida kabisa
Me niliacha miaka ile Bhoke wetu alipokuwa analiwa mbele ya camera, nikasema huu ni ujinga
 
Naomba kujua kuhusu hili shindano la BIG BROTHER. Yaani huwa sielewagi watu wanashindanishwa nini na mshindi anapatikanaje.

Kila nikiingia kwenye hiyo channel naona vijana wadogo wamefungiwa mahali wanakula bata humo ndani halafu baadae anatangazwa mshindi.

Kuna watu hawalali, wakifatilia hili shindano... Sasa mimi sijui ni ushamba au nini sielewagi kabisaaa
Hili shindano Lina maadili gani pia kwa Hao washiriki na watazamaji maana naona kuna muda washiriki wanafanya sex usiku au kwenye swimming pool.

Hebu naomba leo mnitoe ushamba jamani...
Tangu nizaliwe, nikijumlisha muda wote niliowahi kukaa nikaangalia hiyo Big Brother, sidhani kama zinafika dakika 3.
Tena nyingi kati ya hozo dakika ilikua ni kipimdi cha akina Gaetano Kagwa, nilipokuwa najaribu kuelewa maudhui yake.
 
Back
Top Bottom