Shindano la big brother lina maudhui gani?

Shindano la big brother lina maudhui gani?

Wanasema ukiona Kipindi hukielewi, huenda haukuwa Mlengwa.

Kutokana na Umri, kwasasa nimekuwa sifatilii Big Brother tena, ingawa wakati nilipokuwa kwenye lika la adolescent nilikuwa muhanga wa kukitazama miaka ile ya Akina Mwisho Mwampamba, baadaye akina Richard n.k

==============
Kuna baadhi ya Filamu/Vipindi vya TV kutokana na maadili yetu havistahili kutazamwa.

Hiyo Program ya Big Brother na nyingine zenye mlengo huo, zimeanzishwa kwaajili ya ku-brainwash Vijana wetu ili waone mambo ya ngono na kukaa na vichupi chupi mbele ya Wazee wao ni jambo la kawaida.

Kama una vijana wako nyumbani, ni heri Remote ikafichwa chumbani kwa Baba.

Ni heri kuitwa Mzee Mnoko kuliko kuharibu kizazi chako kwa mikono yako.
sure upo sahihi naona vipindi kama hivi vinatumiwa kuwafanya vijana waone dhambi sio dhambi
 
Mi nilipenda sana maisha plus ila hiyo big brother watu wanafanya vitu vya hovyo kabisa.

Wanapima vitu kibao kama sex intention yaani ile watu wanaoga pamoja wote wapo uchi ,lakini eti mwanaume asione tamaa ila wengine wananyanduana wanashindwa na wanakosa point za kuendelea yaani hovyo sielewi.
Maisha Plus ilikuwa nzuri sana hasa ile ya kwanza na ya pili... Kipanya sijui alikwama wapi ni kwamba amekosa wadhamini kabisa akarudisha lile shindano au?

Mimi BB sijawahi kuilewa kwa kweli...
 
Kuna mambo ya kishetani yanakuwa promoted kwenye jamii zetu yaonekane kuwa ni ya kawaida.

Kama hatutaweza kushtuka mapema tutakuja kuwa na kizazi cha hovyo sana miaka 50 ijayo
Sure....naona hata ushoga siku hizi unakuwa promoted waziwazi hasa huko tiktok
Niliitoa hii app kwenye simu yangu maana ni ushetani mtupu
 
Hii stlye huwa nzuri na huyu jamaa analamba hapo katikati kule anaweka kwa kishindo nakutoa halafu ananyonya na hizo chuchu kama anaila hivi halafu anaitoa kistlye yake raha kweli hii style

🍆🤤……..Not today Satan, not today! 😂😂😂
880EB7FD-028E-45AC-BD97-00444BC5E1C9.jpeg
 
Wanasema ukiona Kipindi hukielewi, huenda haukuwa Mlengwa.

Kutokana na Umri, kwasasa nimekuwa sifatilii Big Brother tena, ingawa wakati nilipokuwa kwenye lika la adolescent nilikuwa muhanga wa kukitazama miaka ile ya Akina Mwisho Mwampamba, baadaye akina Richard n.k

==============
Kuna baadhi ya Filamu/Vipindi vya TV kutokana na maadili yetu havistahili kutazamwa.

Hiyo Program ya Big Brother na nyingine zenye mlengo huo, zimeanzishwa kwaajili ya ku-brainwash Vijana wetu ili waone mambo ya ngono na kukaa na vichupi chupi mbele ya Wazee wao ni jambo la kawaida.

Kama una vijana wako nyumbani, ni heri Remote ikafichwa chumbani kwa Baba.

Ni heri kuitwa Mzee Mnoko kuliko kuharibu kizazi chako kwa mikono yako.
Umesema vyema
 
Mwisho Mwambapa,
Richard
hao ni wa Tanzania waliwahi kushiriki big brother huko kwa mzee Mandela, wakasinda, japo nasikia hela hiyo nayo ni kama ina mapepo hivyo ikaishia kwa mrembo mmoja hapa bongo.

Pengine ni kuonesha maisha yako halisi, japo ya huko sometimes ni aibu kutazama
 
Na Idris naye naona Ile hela Kuna namna inakuwa inaisha bila muhusika kujua
 
Back
Top Bottom