Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
SOC 2022 (1).png

SOC 2022 (2).png
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la umma kwa wananchi (Citizen Journalists) kujieleza bila uoga, kuwawajibisha viongozi na wananchi wenzao na kujenga uelewa zaidi katika masuala anuai.

Ni kupitia safari hii na kujitolea kwake kwa Utetezi wa Haki za Dijitali, Jamii Forums inaendelea kutekeleza jukumu lake katika kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma wa Watanzania unaweza kupata habari/taarifa bora na pia kutengeneza maudhui yanayochochea mabadiliko chanya.

Hivyo basi, JF inatoa nafasi kwa wadau wake na wananchi wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki kwenye awamu nyingine ya shindano la uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko chanya (Stories of Change).

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, tunalenga kuhamasisha ushiriki wa raia pamoja na makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu hii ya pili ya shindano hili itafanyika Julai 15 hadi Septemba 15, 2022.

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:

  1. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
  2. Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno 800 hadi 1000.
  3. Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
  4. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
  5. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  6. Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Jinsi ya kushiriki:
Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yako itakulazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums. Endapo sio mwanachama unaweza kujisajili kupitia => (www.jamiiforums.com/register/ ). Ukipata changamoto katika usajili, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyowekwa chini katika bandiko hili.

Maandiko yawasilishwe kuanzia Julai 15 hadi Septemba 15, 2022 kwenye jukwaa la “JF stories of change” (Stories of Change )

Baada ya kuweka andiko lako jukwaani, JITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kukupigia kura.

ZINGATIA: Unaweza kuandika mara nyingi kadiri uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Vigezo vya kupata Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura/likes zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo.

Ni muhimu kuendelea kuwa ‘active’ katika jukwaa la JF muda wote wa shindano ili kurahisisha mawasiliano endapo utaibuka mshindi.

Zawadi kwa Washindi
Mshindi wa Kwanza Tsh. 5,000,000
Mshindi wa Pili Tsh. 3,000,000
Mshindi wa Tatu Tsh. 2,000,000
Mshindi wa Nne Tsh. 1,000,000
Mshindi wa Tano Tsh. 500,000
Mshindi wa Sita hadi kumi Tsh. 300,000
Mshindi wa Kumi na Moja hadi wa Ishirini Tsh. 200,000

Mawasiliano
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu: +255 743440000 (WhatsApp, Telegram na Signal) au barua pepe: stories@jamiiforums.com
 
Upvote 116
Maradhi ya moyo yanaongoza kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzanian kubwa yanayochangia matatizo haya ni kuwa na tatizo LA kisukari, high blood pressure (hypertension) and high cholesterol haya yote yanatokana na mtindo mbaya wa maisha kama vile unywaji wa pombe kupita kiasi, uvutaji wa sigara ulaji wa vitu vya sukari kama soda, juce na ulaji wa mafuta mengi hupelekea watu kupata sukari,pressure, na cholesterol ili kuepukana na kisukari.

BP
Maradhi ya moyo
Kufeli kwa figo
Renal failure
Saratani
Kuepukana na maradhi haya unatakiwa kuepukana ama kupunguza baadhi ya vitu tulivyoolezeshwa hapo juu .
 
Afya
Mtindo mbaya wa maisha hupelekea watu wengi kupata maradhi yasio ambukiza kitaalamu yanajulikana noncmmunicable disease ( NCDs) maradhi haya ni kama vile kisukari,
High blood pressure (hypertension)
Cancers

Heart disease/maradhi ya moyo

High cholesterol/mafuta mabaya mwilini. Maradhi haya kwa pamoja yanujulikana kama (NCDs) ambayo huchangia takribani asilimia 70% ya vifo vyote duniani inakadiliwa kusababisha vifo karibu watu million (41) kwa mwaka kutokana na NCDs kwa hiyo idadi hii ni kubwa Sana'a.

Kwa hiyo ndugu zangu kuna haja ya kubadili mtindo wetu wa maisha idadi hii ya vifo lakini pia ndugu zanguni maradhi haya yana gharama Sana'a hatuwezi kuyamudu kuyatibu na serikalu haiwezi kutugharamia kutokana gharama kuwa juu kwa hiyo kwa kubadili mtindo wa maisha itafanya sisi tuwe salama na kufanya afya zetu kuwa bora na kuishi maisha mazuri na kuipunguzia mzigo serikali na kufanya mambo ya maendeleo.
 
Maradhi yasiyoambukiza yajulikanayo kama noncommunikable disease miongoni mwa maradhi haya mojawapo ni kisukari kitaalamu ijulikanayo kama (diabetes).

Kisukari ni nini? Kisukari ni ugonjwa unaotokana pale kongosho inaposhindwa kuzalisha hormone ya insulini ambayo inahusika kupambana na kiasi cha sukari mwilini eiza kiwango cha insulin kinacho zalishwa kwenye kongosho kinachozalishwa kinashindwa kupambana na kiwango cha sukari katila damu atimaye huyu mtu anakuwa na kiwango kingi cha sukari nyingi katika damu hali hii huitwa kisukari mtu mwenye hali hii hujulikana mwenye kisukari.

Nini dalili za mwenye kisukari, dalili za mtu mwenye kisukari kama zifuatazo:

Kuwa na kizunguzuñgu Mara kwa Mara
Kukojoa Mara kwa Mara hasa nyakati za usiku
Mwili kutokuwa na nguvu
Kuhisi kiu Mara kwa Mara
Kidonda kutoukupona haraka
Kuwashwa sehemu za siri Mara kwa Mara
Kuwa na kiu Mara kwa Mara
Kuona ubuluu buluu ama utusi tusi.

*Nini madhara ya kisukari. Mazara ya kisukari kama yauuatayo:
Kupatwa na matatizo ya moyo lijulikanalo kama shambulio la moyo wengi wenye sukari hufariki kwa maradhi ya moyo

Ndicho kinaongoza hupelekea figo kufeli
Kisukari hupelekea mtu kupatwa na kiharusi ni Mara mbili zaidi kupata kiharusi kuliko mtu asiyekuwa na kisukari.

Kisukari ndio kinaongoza duniani kote watu kukatwa miguu
Ndio kinaongoza kusababisha vifo vya mapema.
Kusababisha ganzi
Kukosa nguvu za kiume
Maradhi ya miguu.
Jinsi ya kuepukana na tatizo LA kisukari Fanya yafuatayo:
Punguza matumizi ya pombe
Punguza matumizi ya vinywaji sukari
Fanya mazoezi Mara kwa Mara
Hushughulishe mwilini Mara kwa Mara
Punguauza vitu vyenye sukari nyingii.

Fahamu watu weñgi mwenye kisukari hawafahamu mpaka kinawaletea madhara chukua atua badili mtindo wa maisha.
 
Tayari makala yangu ipo kwe kurasa ya STORY OF CHANGE kwa kichwa cha andiko WAKUU TUINUANE KIUCHUMI".

Naomba kura zenu tafadhali. Coment. like [emoji120][emoji120]
20220805_175754.jpg
 
Magonjwa yasio ambukiza yawa tishio nchini.
Magonjwa yasioambukiza hujulikana kama noncommunible disease miongoni mwa magonjwa hayo ni kisukari kisukari ni nini ? Kisukari ni hali ambayo kongosho inashindwa kuzalisha hormone ya insulin ambayo husika na kupambana na kiwango cha sukari katika damu,atimae sukari huwa nyingi katika damu hapa ndio mtu huitwa mwenye kisukari.
Dalili za kisukari kama zifuatazo:
*Kuisi kiu Mara kwa Mara
* Kukojoa Mara kwa Mara has a nyakati za usiku.
*Kuisi kizungu zungu Mara kwa Mara.
*Kuisi kuchoka Mara kwa Mara
*Kuona blublu Mara kwa Mara.
Madhara ya kisukari. Kisukari kina madhara makubwa sana na ni hatari kuliko maralia,ukimwi miongoni kwa majanga ya kisukari ni:
Kufeli kwa figo
Kupata shambulio la moyo ambayo ni hatari Sana'a
Watu mwenye kisukari huwa Mara mbili zaidi kupata kiharusi kuliko watu mwenye magonjwa mengine
Kisukari kinaongoza kwa watu kukatwa miguu duniani okiwemo Tanzania
Kisukari kinaongoza kwa watu kupata tatizo la nguvu za kiume
Kisukari kinaongoza kwa watu kupata upofu.
Fanya yafuatayo kuepukana na tatizo la kuwa na kisukari.
*Fanya mazoezi Mara kwa Mara nusi Saa(30) kila siku
*Punguza matumizi ya unywaji wa pombe kupita kiasi kunywa bia mbili (2) kwa mwanaume na bia moja(1) kwa mwanamke.
*Punguza matumizi ya soda,juice na vitu vya sukari nyingi Mara kwa Mara.
*Punguza uzito kupita kiasi.
 
MAGONJWA YASIOAMBUKIZA YAWA TISHIO NCHINI.
Ukweli ni kwamba hivi sasa magonjwa yasio ambukiza ndio yameshika kasi yanaongoza kwa kuua watu nchini mwetu Tanzania na ulimwengu nzima.
Miongoni mwa magonjwa hayo ni:
Shinikizo la juu la damu high blood pressure (HBP) Hypertension.
Maradhi ya moyo/ Heart disease
Kiharusi/Stroke
Kisukari/ Diabetes
Kufeli kwa figo/ Renal failure and
Cancers.
Ndugu zanguni chanzo kikubwa cha maradhi haya ni mtindo mbaya wa maisha na wachache huya risk kutokana katika familia zao lakini wengi wao huyapata kutokana na mtindo mbaya wa maisha kama vile:
*Unywaji wa pombe kupita kiasi
* Kutokufanya mazoezi/ Kushughulisha mwilini
*Kula vyakula vyenye mafuta mengi,chunvi nyingi na vyenye sukari kwa wingi.
Ndugu zangu hali ilivyo sasa serikali imeshaelemewa na mzigo wa maradhi haya kutokana kuwa na gharama kubwa kwa kifupi imeshindwa kupambana na maradhi haya, kubwa kitakachotusaidia watu kubadili mtindo wetu wa maisha:
*Kula vyakula bora
*Kufanya mazoezi kwa sanaa
*Kupunguza ulaji usiofaa kiafya kama matumizi ya chumvi nyingi, sukari kwa wingii, mafuta mengi
*Kupunguza unywaji wa pombe
*Kupunguza unywaji wa vitu vya sunk nyingi
*Kfuatilia uzito wako ni muhimu Sana'a.
*Kukontroo uzito wako na kuufatilia
*Epuka ulaji wa vyenye chumvi nyingi, sukari nyingi, mafuta mengi
*Epuka matumizi ya juice zenye caffeine kama vile mo energy ,sodas na juisi za viwandani.
*Epuka kabisa unywaji wa juisi za energy.
Ndugu zanguni tushirikianeni katika Kupunguza vifo nchini mwetu kwa sababu vifo vya mapema vina changamoto nyingi Sana'a ikiwemo kuacha watoto kiafya kama vilelea na masomo kwa shida kutokana na kuondokewa na mzazi wa kiume,
Hupelekea familia kuishi kwa shida Sana'a hata kukosa huduma za msingi.
Hupelekea kaya maskini kuongezeka kuwa nyingii.
Kwa hiyo wito wangu kwa watanzania tubadilike tubadilishe mtindo wetu wa maisha ili kukabiliana na haya maradhi yasiyo ambukiza ambayo kwa sass yamekuwa tishio nchini na ulimwengu nzimaa
Kwa pamoja tukishirikiana tunaweza
Acha twende na ashtagi ya Together we can beat NCDs disease.
 
Tabasamu lako leo ndio kila kitu na ndio ushindi mkubwa ulio nao. Hebu tutabasamu pamoja ili tuishi sote kwa furaha na amani katika ulimwengu wetu huu mzuri. Naomba ushirikiane na mimi kupitia hii makala tuone changamoto ya fikra yetu hivi sasa. Alafu naomba uniambie kwenye comment kama umeweza kupata amani ya moyo kupitia hii makala iliyoko kwenye link hii hapa chini.

It is not over until it is over......! Kwa wale ambao bado hamjaweza kutuma makala zenu kwenye jukwaa la Stories Of Change nawasisitiza msikate tamaa kwani muda bado upo.

Chakufanya andika makala yako na uitume kabla ya tarehe ya mwisho wa shindano. Ni nani ajuaye kuwa waweza kuibuka mshindi wa msimu huu?

Kama unapata changamoto yeyote ile iweke hapa tusaidiane.

Pia unaweza kupitia makala yangu isemayo "KUTOKA KUAJIRIWA MPAKA KUJIAJIRI" Njoo tujadiliane na ninaomba kura yako pia.
 
Nimeandika mengi tu, mojawapo ni hili nahitaji like zenu wana jf
 
DUNIANI HAKUNA BINAADAMU ANAEITWA BUBU.
Jamii ya watu wengi duniani imekuwa imekuwa ikianini Kuna BINAADAMU anaitwa bubu hii inashudiwa na watu wengi wanapomuona mtu ambaye Hana uwezo wa kutoa matamshi kiufasaha ( kutoweza kuongea lugha ikaeleweka) wengi humuita bubu kutokana na hali hiyo imenifanya motor elimu hii kwa jamii ipate kuelewa maswali yafuatayo 1. BUBU NI NANI ?, KWA NINI HAKUNA BINAADAMU BUBU ?
ngoja niwaeleze bubu ni kitu na sio mtu kwa maana KWAMBA kitu hakiwezi kufanya chochote mpaka unisaidie , mfano wa kitu/ vitu ni 1. MAWE , 2. VIATU , 3. MITI,MAGARI N.K na vitu vinavyo fanana na hivyo,
TUNATAMBUAJE KAMA BINAADAM SI BUBU ?
Kwa sababu wale tuliozoea kuwaita bubu ukimuonesha kwa Isha kwenye mazungumzo ni rahisi kukuelewa kwa mfano ukimwita anakuja , ukimwamiuliza kwa ishara umekula? Atakujibu Ila sasa ukija upande wa kitu/vitu ukirejea hayo maswali hautoweza kupata majibu hapa ndipo tunapoelewa na kugundua Kati ya kitu/vitu na BINAADAMU Nani ni bubu, hivyo basi mtu mwenye usikivu hafifu na SAUTI hafifu au asie weza kuzungumza lafudhi fasaha ( anaetumia ishara ) huyu anaitwa KIZIWI
 
Kitabu changu ni maisha na watu
 
Attachments

  • inbound2430598709029845736.jpg
    inbound2430598709029845736.jpg
    636.8 KB · Views: 15
  • inbound4294759297417213595.jpg
    inbound4294759297417213595.jpg
    550.7 KB · Views: 14
  • inbound228884551505675932.jpg
    inbound228884551505675932.jpg
    290 KB · Views: 18
Hivi unafahamu kuwa biashara ni kama mtoto. Watu husema mtoto umleavyo ndiyo akuavyo.

Biashara nyingi hufa kabla ya kumaliza mwaka 1 kwa sababu ya malezi mabaya. Moja ya malezi mabaya kwa biashara ni kuitegemea biashara changa katika matumizi yako ya kila siku. Hii ni sawasawa na kuanza kumtuma mtoto chumvi dukani ilihali bado unamfunga nepi!

Pitia makala yangu kwenye SoC 2022 - Kutoka kuajiriwa mpaka kujiajiri uone namna nilivyokabiliana na hii changamoto.

Kama utakuwa na swali au maoni niulize nami nitakujibu kwa wakati. Ninaomba kura yako pia ili inisaidie kukuza mtaji!!
 
View attachment 2291152
View attachment 2291153
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la umma kwa wananchi (Citizen Journalists) kujieleza bila uoga, kuwawajibisha viongozi na wananchi wenzao na kujenga uelewa zaidi katika masuala anuai.

Ni kupitia safari hii na kujitolea kwake kwa Utetezi wa Haki za Dijitali, Jamii Forums inaendelea kutekeleza jukumu lake katika kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma wa Watanzania unaweza kupata habari/taarifa bora na pia kutengeneza maudhui yanayochochea mabadiliko chanya.

Hivyo basi, JF inatoa nafasi kwa wadau wake na wananchi wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki kwenye awamu nyingine ya shindano la uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko chanya (Stories of Change).

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, tunalenga kuhamasisha ushiriki wa raia pamoja na makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu hii ya pili ya shindano hili itafanyika Julai 15 hadi Septemba 14, 2022.

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:

  1. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
  2. Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno 800 hadi 1000.
  3. Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
  4. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
  5. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  6. Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Jinsi ya kushiriki:

Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yako itakulazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums. Endapo sio mwanachama unaweza kujisajili kupitia => (www.jamiiforums.com/register/ ). Ukipata changamoto katika usajili, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyowekwa chini katika bandiko hili.

Maandiko yawasilishwe kuanzia Julai 15 hadi Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF stories of change” (Stories of Change )

Baada ya kuweka andiko lako jukwaani, JITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kukupigia kura.

ZINGATIA: Unaweza kuandika mara nyingi kadiri uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Vigezo vya kupata Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura/likes zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo.

Ni muhimu kuendelea kuwa ‘active’ katika jukwaa la JF muda wote wa shindano ili kurahisisha mawasiliano endapo utaibuka mshindi.

Zawadi kwa Washindi
Mshindi wa Kwanza Tsh. 5,000,000
Mshindi wa Pili Tsh. 3,000,000
Mshindi wa Tatu Tsh. 2,000,000
Mshindi wa Nne Tsh. 1,000,000
Mshindi wa Tano Tsh. 500,000
Mshindi wa Sita hadi kumi Tsh. 300,000
Mshindi wa Kumi na Moja hadi wa Ishirini Tsh. 200,000

Mawasiliano

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu: +255 743440000 (WhatsApp, Telegram na Signal) au barua pepe: stories@jamiiforums.com
NITAWEZA...

Nilianza kujitambua nikiwa kituo cha watoto yatima, kujijua kuwa mimi ni nani..

Yakuwa mimi sina wazazi! Mimi ni yatima...

Niliwahi kumuuliza mlezi wetu

'Madam mimi nilifikaje hapa?'

Awali hakupenda kunielezea nafikiri alijua muda bado...lakini baadae nilipomuuliza tena na tena ndio akaweza kunielezea....akiongea kwanza kwa kunishauri, kuwa nisijali, kwasababu, huwezi kujua ni kitu gani kilimfanya mama yangu afanye hivyo...

‘Kwahiyo mimi nililetwaje hapa kituoni na nani..?’

‘Uliokotwa jalalani...’akasema

‘Nini.....?’

Kiukweli, nilishtuka sana,..ilikuwa kama mtu kanipiga na kitu kichwani na kupotea fahamu kwa sekunde kadhaa...nilihisi vibaya..Hata hivyo nilitamani nimuone mama yangu japo niijue sura yake!..!

Ndio, kuna kipindi nawaza na kuwazua ilikuwaje mama ahangaike miei tisa, halafu keshanizaa, aende kunitupa jalalani, nilikuwa kama siamini vile..

‘Lazima kuna sababu ya mama kufanya hivyo....huenda hata sio kosa lake...’nilisema hivyo, nilipoweza kuongea na mlezi wangu..na ni kweli moyoni nilimsamehe...!

Siku zikaenda , shule sikuwa vizuri.. labda kutokana na kuwaza sana, nilikuwa nawaza sana, hata kulia,...na kwa kujitetea, kutokufanya vizuri huko, labda kulitokana nahali zetu kituoni hapo, maana tulikuwa tunaishi kwa kutegemea misaada, kuna kipindi tunakosa...tunageuka kuwa omba omba!.

Mlei wezi, hakukata tamaa, na nilimuona ndiye mzazi wangu, hata nikikosa amani, huwa ninamuendea, nakaa karibu naye, nalala mapajani kwake,...alitupenda kama Watoto wake, yeye hakubahatika kupata mtoto...na alikuwa akisema

‘Mungu hakunijalia kizazi, na ninajua ni kwanini....ni ili nije kuwalea nyie...’akasema

Kuna maneno yake ambayo yalinipa hamasa sana kwenye maisha yangu ya kila siku....`kuwa tutawea....alikuwa akituambai hivi;

'Watoto wangu katika maisha haya kamwe msikate tamaa , haya yote ni maisha tu... , wapo Watoto wenye wazazi na kila kitu lakini bado hawana raha, bado hawafanikiwi katika maisha yao, na wengine wazazi wao ni Zaidi ya nyie, wazazi hawana kitu, wanaishi maisha ya dhiki kabisa..

'Kwahiyo jipeni moyo..maana yote haya ni maisha tu...uwe na mzazi au usiwe na mzazi kila mtu ana njia yake ya mafanikio.. ilimradi tu, uwe na afya njema, uwe na bidii na uwe na malengo yako ya kimaisha, na Zaidi muishi kwenye maadili mema kama nilivyowalea, mkifanya hivyo; MTAYAWEZA MAISHA...'

'Nitaweza..' ikawa sasa ndio kipaumbele change, cha kunipa moyo.Kila jambo nikishindwa najipa moyo kuwa nitaweza tu...najibidisha kuliweza...na mara nyingi nafanikiwa, nispofanikiwa bado ninasema ipo siku nitaweza...!

********

Umri ukawa unakwenda shule kidato cha nne niliponea chupuchupu kupata zero...!

Nilijua sasa natakiwa nifanye jambo sitaweza kuishi na mlezi wetu milele, nifanyaje sasa...natakiwa niweze kuishi, niwe na mimi na kwangu, niweze kujitegemea..ila sikupenda kuolewa, moyo wangu ulinituma kuwa natakiwa nisimame mimi kama mimi...!

Wakati itukiwa kituoni, kulikuwa na vipindi vya michezo, mimi nilipendelea sana kuigiza. Na kwenye kikundi chetu cha maigizo, nilitokea kufanya vizuri, hadi kuitwa muigizaji bora..

‘Nitakuwa muigizaji mkuu, kama....’niliwaza hivyo.., nikiwakumbuka waigizaji wakuu niliwahi kuwaona kwenye runinga!

Hapo sasa ikawa kazi ya kuwatafuta watu wanaofanya hiyo kazi....niliwauliza watu wanaowafahamu na bahati nikaweza kuwapata baadhi yao.

Sikutarajia kuwa kutokana na historia ya maisha yangu, yangenikuta yaliyonikuta, kwa maana kila niliyekutana naye, nilijaribu kumuelezea maisha yangu!..Ni kweli nijaliwa umbo zuri, sura nzuri, lakini kamwe sikupenda na sitapenda....kuzalilishwa...moyoni niliapa hilo!

Wa kwanza kukutana naye, baada ya kunisikilia, akasema;

‘Twende ofisini kwangu...’

Nikajua ehee..bahati ndio hiyo. Nikafika ofisini kwake, mara mlango ukafungwa, akaniangalia kwa muda, halafu akasema;

‘Wewe unajiamimi kweli kwa maana kazi hizi wanatakiwa watu wanaojiamini...’

‘Ndio najiamini...’nikasema kwa kujiamini.

'Vua hayo mavazi yako ya kujifunika funika,...nataka nikuone vyema, ulivyoumbika...wewe ni mrembo!...’akasema

Hapo moyo wangu ulishituka, sikupenda, na mlezi wetu alituoanya sana kuonyesha maumbile yetu wanaume, lakini nikajua labda ndivyo itakiwavyo!

Nikafanya kama alivyonielekeza...mara, nashikwashikwa..alipojaribu zaidi...nilijikuta tu mguu goti limefanya kazi yake...sikumchelewesha nilishahisi lengo lake! Kuna namna tulifundishwa kituoni jinsi ya kujihami kama ikitokea mwanaume anataka kukuzalilisha, kwenye mazoei ya kujihami Nashukuru sana mazoezi ya kituoni yalinisaidia sana..!

Sikukata tamaa nikijua huyo labda ni tamaa zake ngoja nikajaribu sehemu nyingine..

Wa pili niliyekwenda kwake,...ilitokea hivyo hivyo, ila siku hiyo kuna mafuta nilikwenda nayo ya kupuliza, hiyo ni silaha nyingine tulifundishwa, na huyo jamaa alipotaka kuleta za kuleta,...nilimpulizia mafuta hayo machoni,....huyu kiukweli alitaka kunibaka....nikakimbia.

Nikajua sasa... kumbe huko hakunifai...huenda huko sio njia yangu!

Umri unasonga mbele...natakiwa niishi, nile nivae.. na umbile langu limeshaanza kuwa mtihani, kila mwanaume ananitamani....nilipitia changamoto hizo hasa nikiwa na shida!

Mimi moyoni nilisha-apa kamwe sitazalikika, kamwe sitapenda nizae nimtupe mtoto wangu, kama nilivyofanyiwa mimi...ahadi kwangu ni deni!

Nilifuata ushauri wa mlezi wangu...kuwa kamwe nisikubali mwanaume auguse mwili wangu, kamwe nisivae kizembe kwa kuacha sehemu ya mwili wangu wazi, niliozea hivyo!

Hata hivyo, kama msichana, nilipenda kuvaa vizuri, kupendeza lakini vyovyote nitakavyovaa mwili wangu niliusitiri..usingeliweza kuniona mitaani nimevaa kinyume na maadili...nilijua kwa jinsi nilivyofundishwa, kujilinda kwangu ni pamoja na kutokuwashawishi wanaume..

Baadae niliamua kuwa yaya..napenda sana watoto, nikapata kazi za ndani, mama mwenye nyumba ni mfanyakazi na baba pia. Wanaondoka asubuhi wanarudi usiku. Mimi nilikaa na Watoto, kuwapikia, kuwafulia, na kila kitu, nilipendezewa sana na maisha hayo!

Siku moja usiku nimelala .. nashtuka kitu kinanipapasa matiti..nataka kupiga kelele nikazibwa mdomo...sikukubali...mguu wangu ulitosha kujiokoa.

Nilitoka usiku huo huo na kutokomea mitaani..lakini baada ya kuhakikisha mbaba yule kabakia na maumivu. Nilimpiga kigoti, na nikikupiga kigoti, lazima utaumia tu!

Baada ya kuikosa hiyo kazi, nililia sana, kiukweli niliipenda, na wale Watoto niliwapenda, walishanizoea, nahisi watakuwa wananililia, lakini sikupenda kurudi tena hapo kazini.

Nililala nje usiku huo...ndio nikaota kuwa nitaweza lakini nisiishi kwa kuwategemea watu...nibuni kitu...ndoto ile haikuendelea,...iliishia hapo,’nibuni kitu’...

Nibuni nini !...sikujua, nikaamuka, nikaanza kumuomba mola wangu.

Kwenye maombi haya kwa mola, kiukweli nilitoa machozi....nikimlilia mola wangu anionyeshe sababu ya kulipata fungu langu la riziki kihalali...nisiendelee kuzalilika tena!

Nikakumbuka jambo....

Wakati tukiwa kituoni tulikuwa tunasukana.. nilikuwa napenda kuwasuka wenzangu..ile kupenda kuwasuka wenzangu kulinijengea ujuzi wa kusuka, vidole vyangu vilikuwa vyepesi kwenye ususi...nikahisi naweza kulijaribu hilo...

Nilianza tu kama mchezo, nikimuoma mwanamama, namuuliza...unataka kusuka, mimi najua kusuka nywele, akikubali ninamsuka...!.

Nilianza na mtu mmoja mmoja...nasuka kwa malipo kidogo!

Kipaji hicho kilinisaidia..na kila hatua nilijifunza zaidi, nikabuni mitindo zaidi!..kidogo nilichopata likanijia wazo la kujisomesha kuujua zaidi ususi . Nilifanya hivyo, na mola akanisaidia, nikawa MSUSI MNZURI!

Hutaamini...niliweza..na sasa nina saluni yangu binafsi!

NIlILOJIFUNZA...usikate tamaa kama bado una pumzi, na kwenye kuhangaika usitegemee mtu, mtegemee mola wako, muombe mola wako akuonyeshe kipaji chako, kwa maana kila mtu ana kipaji chake na mola pekee ndiye muongozaji...hutaamini...UTAWEZA TU!

Name; emuthree
Tel 0787366097
 
naombeni kura zenu

Nina makala zangu tatu zenye majina PENI NA JEMBE VISHIKWE PAMOJA, TIBA HALISI NI KUBADILI MFUMO WA MAISHA na SULUHISHO LA TATIZO LA AJIRA
Naombeni kura zenu
Makala zangu zimegusa nyanja za maendeleo ya Kilimo Tz, kuhamsisha vijana namna wanayoweza kuondokana na shida ya Ajira nchini lakini pia sikuacha suala zima la afya kwani ndio utajiri wa kwanza wa binadamu
 
Unatumaje bado sijaelewa
 
ULIWENGU UNAANGAMIAA!
Ukweli ni kwamba Ulumwengu kwa sasa uko mashakani! na jambo kubwa linaloufanya ulimwengu kuwa mashakani ni haya magonjwa yasiyo ambukiza ikiwemo maradhi ya:
Moyo
Kisukari
Shinikizo la juu la damu
Kiharusi
Maradhi ya figo kufeli na
Maradhi ya Cancers.
Maradhi haya kwa ujumla yamekuwa yakiusumua ulimwengu kuanzia miaka ya tisini na mpaka sasa ndio yanayoongoza kusababisha vifo duniani na juhudi zimekuwa zikichukuliwa na walimwengu lakini zimekuwa hazileti tija kubwa jamii hatujaamua kubadilika ukweli ni kwamba maradhi haya yanaua kwa kiasi Sana'a ulimwengu utafanikiwa kupambana na ili janga endapo tu jamii ikakubali kubadilika.
Chanzo kikubwa cha maradhi haya ni mtindo mbaya wa maisha kama vile :
*Unywaji wa pombe kupita kiasi
*Uvutaji wa sigara
*Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi
*Ulaji wa vitu vyenye sukari nyingiii mara kwa mara kama vile unywaji wa Soda,juisi za viwandani juisi za kutengeneza majumbani Mara kwa Mara
*Kupenda kula nyama nyekundu mda woteee Fanya mazoezi angalau nusu saa kwa siku itakusaidia we we kuepukana na maradhi yasiyo ambukiza ikiwemo kisukari, presha na tatizo la mafuta mengi kwenye mishipa ya damu
*Utumiaji wa mafuta mengi/ ulaji wa mafuta mengi kupita kiasi hupelekea mishipa ya damu kuziba atimae hupelekea damu kuganda kutokana na njia ndogo ya mfereji wa damu
*Uvivu wa watu kutokufanya mazoezi ,kuishughulisha mihili yetu ambayo husaidia kupunguza kiasi cha sukari na mafuta mwilini.
Leo tuangalie tatizo la moyo ambalo ndio kiinara kwa sasa kusabisha vifo duniani lenyewe peka ake husababisha vifo karibia million (18) kwa mwaka.
Tatizo la moyo hutokea pale mishipa ya damu inaposhindwa kupitisha damu kutokana na kuziba kwa njia inayopitisha damu kubwa linalopelekea hali hiyo ni kutokana na mishipa hiyo kujaa mafuta (cholesterol) katika kuta za mishipa hiyo Mara nyingi hutokea katika mishipa inäyoitwa( coronary artery) hii mishipa hupelekea damu katika moyo na sehemu zote za mwili kwa hiyo inapotokea mishipa hii kuziba inapelekea damu kuganda na kushindwa mwenye moyo hii ni kwa sababu japokuwa moyo unasukuma au kusambaza damu lakini wenyewe unahitaji damu katika kufanya shughuli sake kwa hiyo kitendo cha kukosa damu kwa mda hupelekea moyo kushindwa kusukuma damu atimae hupelekea mtu kupoteza maisha.
Njia za kulizibito hili kama tulivyo andika hapo juu kubadili mtindo wa maisha,
Matibabu take ni gharama Sana'a kuanzia laki tano, million kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom