Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
SOC 2022 (1).png

SOC 2022 (2).png
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la umma kwa wananchi (Citizen Journalists) kujieleza bila uoga, kuwawajibisha viongozi na wananchi wenzao na kujenga uelewa zaidi katika masuala anuai.

Ni kupitia safari hii na kujitolea kwake kwa Utetezi wa Haki za Dijitali, Jamii Forums inaendelea kutekeleza jukumu lake katika kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma wa Watanzania unaweza kupata habari/taarifa bora na pia kutengeneza maudhui yanayochochea mabadiliko chanya.

Hivyo basi, JF inatoa nafasi kwa wadau wake na wananchi wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki kwenye awamu nyingine ya shindano la uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko chanya (Stories of Change).

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, tunalenga kuhamasisha ushiriki wa raia pamoja na makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu hii ya pili ya shindano hili itafanyika Julai 15 hadi Septemba 15, 2022.

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:

  1. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
  2. Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno 800 hadi 1000.
  3. Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
  4. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
  5. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  6. Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Jinsi ya kushiriki:
Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yako itakulazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums. Endapo sio mwanachama unaweza kujisajili kupitia => (www.jamiiforums.com/register/ ). Ukipata changamoto katika usajili, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyowekwa chini katika bandiko hili.

Maandiko yawasilishwe kuanzia Julai 15 hadi Septemba 15, 2022 kwenye jukwaa la “JF stories of change” (Stories of Change )

Baada ya kuweka andiko lako jukwaani, JITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kukupigia kura.

ZINGATIA: Unaweza kuandika mara nyingi kadiri uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Vigezo vya kupata Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura/likes zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo.

Ni muhimu kuendelea kuwa ‘active’ katika jukwaa la JF muda wote wa shindano ili kurahisisha mawasiliano endapo utaibuka mshindi.

Zawadi kwa Washindi
Mshindi wa Kwanza Tsh. 5,000,000
Mshindi wa Pili Tsh. 3,000,000
Mshindi wa Tatu Tsh. 2,000,000
Mshindi wa Nne Tsh. 1,000,000
Mshindi wa Tano Tsh. 500,000
Mshindi wa Sita hadi kumi Tsh. 300,000
Mshindi wa Kumi na Moja hadi wa Ishirini Tsh. 200,000

Mawasiliano
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu: +255 743440000 (WhatsApp, Telegram na Signal) au barua pepe: stories@jamiiforums.com
 
Upvote 116
MOYO WAUA WATU WENGI DUNIANI!
Moyo ni nini? Moyo ni kiungo(Organ) katika mwili wa viumbe hai ambayo Nazi take kubwa kusukuma/kusambaza damu mwilini. Moyo umeundwa na mishipa yake mikuu(arteries and veins kama coronary arteries na coronary vein) hii ni mishipa mikuu katika moyo ambayo husambaza damu mwilini na pia hupeleka damu katika moyo, mishipa midogo midogo kama capillaries na vein hii ni mishipa midodo kabisa ambayo damu yenye oxygen huishia na damu ynye carbon dioxide huchukuliwana kurudishwa katika moyo.
Sasa tuangalie maradhi yamoyo hutokeaje na kuleta balsa duniani!
Maradhi ya moyo hutokea pale endapo mishipa mikuu ya moyo hushindwa kuchukua na kupeleka damu yenye kiwango cha oxygen mwilini na katika moyo hii ni kwa sababu damu ndio kila kitu katika mwili wa mwanadamu na wanyama wooote hubeba cha kula tunachokula na hewa ya oxygen katika minajili ya kuzalisha nguvu na kumfanya mwanadamu awe hai.Kwa hiyo maradhi mengi ya moyo hutokea pale mishipa ya damu inapojaa ama kuzibwa na mafuta ambapo hupelekea huyu mtu kukosa hewa ya oxygen katika moyo na ubongo kwa pamoja hali hii hupelekea cells zilizo kuepo katika moyo kufa na hupelekea moyo kushindwa uwezo wake wa kusukuma damu hali hii hupelekea ubongo pia kukosa damu na atimae mtu kufariki dunia.Ndugu zanguni naandika kwa helufi kubwa MOYO ni maisha kama moyo hautakuwa salama na afya yako kwa ujumla haiko salama maradhi ya moyo yanaua kuliko maradhi yoyote unayo yafahamu were na duniani hufahamika kama(Heart disease the World number one killer) na chanzo ni mishipa ya damu kuziba kwa mafuta na kama ukibahatika kwenda hospital kipimo cha kukuangalia mshipa ulioziba kupitisha damu kipimo chake ni shilingi million mbili(2) na tiba take ya kuzibua hayo mafuta kupita kifaa kiitwacho stent ni shilingi million sits(6) na tiba hii haikupi guarantee ya kupona moja kwa moja unaweza kutumia gharama kubwa kama hii na mtu akafa kwa hiyo njia pekee ya kuinusilu jamii au kujinusuru ama dunia na janga hili ni kubadilika ama kubadili mtindo wa maisha.
Chanzo kikubwa cha maradhi ya moyo ni:
High blood pressure (hypertension)
Mafuta mengi mwilini (High Cholesterol)
Uzito mkubwa (Overweight & Obesity)

Nini cha kufanya!
Punguza ulaji wa mafuta mengi
Punguza kutumia vitu vyenye mafuta mengi kama vile:
Ciagi, samli, nyama ya nguluwe, nyama ya kondoo, nyama ya mbuzi, chips yai sausage, Burger na nyama ya ng'ombe kula kiasi.
Fanya mazoezi nusu saa kila siku ukishindwa ata dakika kumi(10) kwa siku
Fanya mazoezi Massa mawili na nusu kila weekend.
Punguza unywaji wa vinywa vyenye sukari sodas, juces ,cakes, biscuits, chocolates ivories.
Epuka unywaji wa pombe za aina zooote ukishindwa kunywa Bia mbili(2) kwa siku kwa mwanaume na via moja (1) kwa mwanamke kwa siku.
Punguza uzito uzito mkubwa ni chanzo cha yote hayaaa
Kisukari
Pressure
Heart disease.
Na katika uzito Pima kipimo kinachoitwa BMI ndicho kitakuonesha kama umezidi kilo ngapi na unatakiwa upunguze kilo ngapi.
Ndugu zanguni kwa pamoja tukiamu tunaweza kupambana na haya maradhi na kuishi maisha bora hupelekea shughuli za kiuchumi kukua katika taifa letu together we can.
 
MAGONJW YASIYO AMBUKIZA(NONCOMMUNICABLE DISEASE)
Magonjwa yasiyo ambukiza kitaalamu yanajuluka kama noncommunicable disease.ni nini? Aya ni magonjwa ambayo hayatokani na vimelea au kusababisha na vimelea kama vile plasmodia ambayo hufahamika ndicho kimelea kina chosababisha ugonjwa wa malaria, mfano wake kama ukimwi hufahamika kirusi kinacho sababisha kiitwacho Human Immuno Virus (HIV/AIDs) ni kirusi cha ukimwi, kirusi cha TB na venginevyo lakini kwa Magonjwa yasiyo ambukiza yao yako tofauti yenyewe kutokana na mifumo ya mwili huaribika eiza kutokana mtindo wa maisha au kurithi kutokana katika kizazi chenu au kuzaliwa nayo kutokana na hitilafu ya vinasaba kama circle cells disease..
Kwahiyo magonjwa yasiyo ambukiza kutokana na huaribifu katika mifumo ya mwili wa binadamu miongoni kwa hayo ni kama vile:
Kisukari (Diabetes) ambayo hutokana na kuharibika kwa cells zilizopo katika kongosho na hupelekea kongosho kushindwa kufanya kazi yake ya kuzalisha hormone ya insulin ambayo kazi yake ni kuzibiti kiwango cha sukari mwilini na hupelekea MTU kupata kisukari.
High blood pressure (Hypertension) ama BP
Ambayo hutokana na mzunguko wa damu kuwa Mdogo mwilini ambayo hupelekea mapigo ya moyo kuwa juu kuliko kawaida hufanya moyo kwenda mbio na atimae mtu hufariki. Hii husababishwa na kwa kuharibika kwa mishipa ya damu ambayo Mara nyingi husababishwa na mafuta kuganda katika mishipa ya damu.
Lengine ni Kiharusi ama(Stroke) ambayo kutokana ama husababishwa na damu kuganda iyelekeayo katika ubongo ambayo husababisha cells zilizopo katika ubongo kufa kutokana na kukosa damu.
Lengine maradhi ya moyo (Heart Disease)ambayo siku za nyuma tulishaangaliaga
Cancers na mengine mengi haya ndio maradhi yasio ambukiza ambayo yenyewe ndio yanaongoza kwa kusababisha duniani kote.
Leo tuangalie tatizo la presha ambayo kitaalamu hujulikana kama high blood pressure (hypertension) tatizo hili hujulikana kama silent killer kwa maana ya muuaji wa kimya kimya kwanini limepewa kina hili ni kwa sababu watu wana hili tatizo lakini hawajijui kama wanalo hili tatizo kwa sababu ni ni ngumu sanaa kufahamu dalili zake Mara nyingi huwa hazījioneshi ikijakutokeza kutokeza unakuta mtu keshazidiwa hali mbaya na atimae mtu hupoteza maisha hii ndio sababu ya kuitwa muuaji wa kimya kimya asikwambie mtu ndugu ynngu pressure (BP) inauaaa tena sanaaaa .Na hatri nyingine ni kwamba watu karibia nusu ya dunia wana hili tatizo lakini hatari ni kwamba wengiwao hawajijui kama wana hili tatizo hupelekea kuendelelea kuangamiza jamii ikiwemo ya watanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla.
Mara moja moja Sana'a dalili sake.
*Kichwa kuuma
*Kupata na kizungu zungu
*Kutapika
*Kuhisi kichefu chefu
*Kutokwa na damu puani
*Kuona bluubluu. na
*Kupoteza fahamu au kuzimiaaaaa.

Nia za kuepukana tatizo la Pressure.
Zifuatazo ni njia za kuepukana na tatizo la pressure ama(BP)
*Punguza matumizi ya chumvi nyingi
*Punguza matumizi ya mafuta mengi ama ulaji wa mafuta mengi
*Fanya mazoezi Mara kwa mora angalau nusu saa kwa siku
*Epuka uvutaji wa sigara, tumbaku ,shisha ,cocaine
*Epuka au punguza unywaji wa pombe kama hutoweza kuacha basis kunywa chupa mbili (2 ) kwa mwanaume na chupa moja(1 ) kwa mwanamke
*Punguza ulaji wa vitu vyenye mafuta mengi kama vile:
Vitumbua ,sambusa ,cakes, maandazi, mtindi , siagi ,samli Burger, nyama nyekundu, maziwa yenye cream ,mafuta ya chikichi.
*Pendelea kupanda ngazi kuliko lifti

Yafuatayo ni madhara ya Pressure (BP)
Kuongezeka kwa vifo duniani
*Kuongezeka kwa maradhi ya moyo ambayo ndio yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani
*Kusababisha upofu
*Ndio yanaongoza kusababisha kiharusi duniani kote
*Kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
*Ndio yanaongoza kusababisha figo kufeli duniani kote
Wito wangu tubadili mtindo wa maisha ili tuishi maisha marefu yenye afya boraaaa.
 
IAPO CHA DAKTARI NA UKAKASI WA KUTOA HUDUMA; JE NI WAKATI SAHIHI WA SISI KAMA TAIFA KUJA NA KIAPO CHETU KULINGANA NA TAMADUNI ZETU?
Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya
Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini

Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na mtoa huduma kama ni dakitari ama ni nesi lakini ukienda katika vituo vya kutoa huduma hali ni tofauti ambapo unakuta mgonjwa anachukuliwa taarifa zake sehemu ya uwazi nikimaanisha hata asie husika anaweza kuzisikia na kumwondolea mgonjwa uhuru wa kutoa taarifa zote muhimu zinazo husiana na ugonjwa wake
Kipengele hiki kinaenda sambamba na kiapo waapacho watoa huduma ya afya pale wanapoanza masomo yao na pale wanapohitimu wao wenyewe wanaita Hippocratic oath kuhusu kuficha taarifa za mgonjwa(confidential)
Nimeandika andiko hili pengine serikali kupitia wizara ya afya inaweza ikaliona na kuchukua hatua ya kujenga vyumba maalumu katika hospitali hasa zinazolaza wagonjwa kwa sababu hii ni haki ya msingi ya mgonjwa kuhakikishiwa kuwa taarifa zake zinabaki kujulikana kati yake yeye na mtoa huduma.
Uhuru wa mgonjwa katika kuyakatisha Maisha yake hasa kwa wale wanaougua magonjwa sugu kama kansa n.k(euthanasia)
Sayansi na teknolojia inazidi kukua na kila sekta inafaidika na kuathirika kwa namna yake na inapokuja katia sekta ya afya kuna hiku kitu kinaitwa euthanasia yaani uhuru wa mgonjwa kuyakatisha Maisha yake pale aonapo tumaini la kupona ugonjwa wake ni dogo mno. Katika baaadhi ya nchi zilizoendelea wameipitisa hii sheria na ikizingatiwa pia katika kiapo waapacho watoa huduma kuna kipengele kinazingatia uhuru wa mgonjwa wanaita patient autonomy lakini kwa sheria za Tanzania sheria hii bado haijawekwa wakfu.
Nimeipandishaa hii jukwaani kuilenga hasa wizara ya afya kuleta mwafaka kwa sababu kwa wagonjwa waliowengi maamuzi mengi yanakuwa chini ya ndugu zao hivyo mgonjwa ananyimwa haki yake ya Msingi ijapokuwa hata kama ikiruhusiwa itaenda kinyume na matakwa ya dini na tamaduni lakini vipi kwa mzee wa miaka miamoja, anasumbuliwa na kansa iliyoambatana na maumivu makali kwanini asipewe uuru wa kuamua nini kifanyike?
Hivyo ni wakati sahihi kwa serikali kuweka wazi hatua zipi zichukuliwe endapo mgonjwa akiomba kufanyiwa hivyo lakini ikumbukwe kuwa daktari kushiriki kutoa uhai wa mgonjwa atakuwa anaenda kinyume na kiapo chake abacho kinasema asidhuru, asiue wala asiumize mgonjwa
Uhuru wa mgonjwa na daktari na kazi yake
Wakati wa kula kiapo madaktari wote wanatumia kiapo kinaitwa Hippocratic oath, na kiukweli wengi wanakiapa na wanakitumia hasa wawapo eneo la kazi. Lakini vipengele vyake ni chanagamoto kwa pande zote mbili mfano linapokuja swala la kutoa mimba. ikumbukwe kuwa kwa sheria za Tanzania mimba itatakiwa kutolewa pale tuu hali ya mama itaonekana kuwa hatarini kwa sababu ya hiyo mimba.
Mfano, amekuja binti wa miaka kumi na saba analalamika amebakwa lakini ni baada ya mwezi sasa anapokuja kugundua hapati siku zake tena ndipo anapoamua kununua kipimo cha mimba na kujikuta ni mjamzito, anakuja kwa mtoa huduma na kuomba mimba ile itolewe (uhuru wa mgonjwa) na ikumbukwe kiapo hicho honcho kinasema daktari usidhuru jee ikiwa wewe ndiwe mtoa huduma ungefanyaje?
Kwanini nimeandika hili, nahitaj kuwasilisha maoni yangu kwa wadau wa afya na elimu kuona namna ambavyo tunaweza kuboresha kiapo ambacho kitakuwa na maana ya moja kwa moja na kutoleta ukakasi kwa mtoa huduma na mgonjwa mwenyewe ikizingatiwa kiapo hiki kililetwa miaka mingi iliyopita na huenda kilikuwa kinastahili kutumika katika jamii ya huko kilipogunduliwa kwa dhana hiyo, kuna mantiki kubwa endapo sisi kama Taifa huru tukawa na kiapo chetu ambacho watoa huduma wataapa na kuweza kufanya kazi zao kwa ufanisi.
Je mtaala wa elimu katika vyuo vya afya uhusishe ufundishwaji wanafunzi kuhusu kuwatibu watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja kama wagonjwa wengine?
Ukienda katika swala zima la dini sijapata kuona sehemu inayohalalisha swala hili la mapenzi ya jinsia moja hata nilipopata wasaa wa kuzungumza na wazee wangu kuhusu swala hili nao wakasema hata wakati huo wa jando na unyago swala hili halikuwepo kabisa hivyo halifai kabisa kuwepo inchini wala kuzungumziwa lakini nilipowaambia sasa tayari swala hili lipo na watu wapo wanaoyafanya haya ,sasa tunafanyaje wakakosa majibu japo wengi wanaitaka serikali kuwawajibisha kama kuwachukulia hatua za kisheria.
Nimeandika andiko hili ili kuona namna gani linavyomwathiri mtoa huduma wa afya na jamii inavyolichukulia. Katika kiapo kuna kipengele kinasema tibu wagonjwa wote kwa usawa bila kujali jinsia, rangi, kabila au utaifa. Kumgundua mgonjwa kama huyu anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja sio rahisi ukimwona kwa macho mpaka pale yeye mwenyewe atakapo amua kuweka wazi lakini kwa mtoa huduma ya afya kuna namna anaweza akafanikiwa kugundua mfano mgonjwa akija na maambukizo ya magonjwa ya ngono sehemu ya haja kubwa hii inaweza ikampa uelekeo ya kuwa huyu anaweza kuwa anajihusisha , sasa kulingana na kiapo lichoapa jee amtibu ? jibu ni ndiyo lakini tamaduni yake inasemaje, hawa watu wamekiuka mila na desturi , je amripoti sehemu za mamlaka kama polisi?
Hivyo ni pendekezo langu kwa wizara hizi mbili za afya na elimu kuona namna bora yu kukiweka sawa hiki kiapo ili kiweze kuendana na mila na desturi za mwafrika.

Mawasiliano; 0745265780
 
Hello, nami nayofuraha kubwa kushiriki katika hili, napenda kuwaomba pia mlisome nachapisho langu linalogusa mambo ya msingi yanayopaswa kubadilishwa katika mfumo wetu wa elimu nchini(mtaala, walimu, wanafunzi, Mazingira ya kazi, Viongozi, Vielelezo, maslahi ya sekta binafsi, sera za nchi, Ajira na kujiajiri na matokeo endelevu ya elimu) Makala " ELIMU WAKATI TULIONAO NA TUENDAPO". Yapo ya kujifunza kuyatafakari kwa wewe mdau wa elimu.
mmmuhumba.
 
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la umma kwa wananchi (Citizen Journalists) kujieleza bila uoga, kuwawajibisha viongozi na wananchi wenzao na kujenga uelewa zaidi katika masuala anuai.

Ni kupitia safari hii na kujitolea kwake kwa Utetezi wa Haki za Dijitali, Jamii Forums inaendelea kutekeleza jukumu lake katika kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma wa Watanzania unaweza kupata habari/taarifa bora na pia kutengeneza maudhui yanayochochea mabadiliko chanya.

Hivyo basi, JF inatoa nafasi kwa wadau wake na wananchi wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki kwenye awamu nyingine ya shindano la uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko chanya (Stories of Change).

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, tunalenga kuhamasisha ushiriki wa raia pamoja na makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu hii ya pili ya shindano hili itafanyika Julai 15 hadi Septemba 14, 2022.

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:

  1. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
  2. Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno 800 hadi 1000.
  3. Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
  4. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
  5. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  6. Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Jinsi ya kushiriki:

Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yako itakulazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums. Endapo sio mwanachama unaweza kujisajili kupitia => (www.jamiiforums.com/register/ ). Ukipata changamoto katika usajili, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyowekwa chini katika bandiko hili.

Maandiko yawasilishwe kuanzia Julai 15 hadi Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF stories of change” (Stories of Change )

Baada ya kuweka andiko lako jukwaani, JITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kukupigia kura.

ZINGATIA: Unaweza kuandika mara nyingi kadiri uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Vigezo vya kupata Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura/likes zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo.

Ni muhimu kuendelea kuwa ‘active’ katika jukwaa la JF muda wote wa shindano ili kurahisisha mawasiliano endapo utaibuka mshindi.

Zawadi kwa Washindi
Mshindi wa Kwanza Tsh. 5,000,000
Mshindi wa Pili Tsh. 3,000,000
Mshindi wa Tatu Tsh. 2,000,000
Mshindi wa Nne Tsh. 1,000,000
Mshindi wa Tano Tsh. 500,000
Mshindi wa Sita hadi kumi Tsh. 300,000
Mshindi wa Kumi na Moja hadi wa Ishirini Tsh. 200,000

Mawasiliano
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu: +255 743440000 (WhatsApp, Telegram na Signal) au barua pepe: stories@j

jamani eti ni kweli mwaka jana kuna waliokua na kura nyingi arafu wakashindwa?
 
KIHARUSI(STROKE) CHAWA TISHIO DUNIANI!
Tatizo la kiharusi kwa sasa limekuwa tishio duniani ikiwemo Tanzania ndio limekuwa la pili kwa kusababisha vifo duniani kote.
Kiharusi ni nini? Kiharusi ni ugonjwa unaotokea pale tu ubongo unapokosa damu kwa mda mfupi kitendo hili hupelekea cells zilizopo katika ubongo kufa kwa kukosa hewa ya oxygen ambayo hupatikana katika damu. Kiharusi ni tatizo la zalura linapo tokea magonjwa anatakiwa apelekwe hospital haraka kitendo cha kumchelewesha ndio cells zinapozidi kufa katika ubongo na ndio huongeza uwezekano mkubwa wa magonjwa kufariki,
Kwa hiyo tunashauli mtu anapopatwa kiharusi anatakiwa awaishwe hospital haraka iwezekanavyo ili kunusuru maisha yake.
Kama tulivyotangulia kusema kiharusi kwa sasa ndio kinashika nafasi ya pili kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania ikitanguliwa na maradhi ya moyo yanayoshika nafasi ya kwanza kwa kusababisha vifo duniani.
CHANZO CHA KIHARUSI
Chanzo kikubwa cha kiharusi ni maradhi ya presha kitaalamu hujulikana High blood pressure (hypertension) ndio kinaongoza kusababisha kiharusi duniani kote, kwahiyo tatizo la high blood pressure (hypertension) ndio chanzo kikubwa cha kiharusi duniani kote ikiwemo Tanzania.
Lakini presha(BP) yenyewe pia ndio inayo ongoza kusababisha maradhi ya moyo duniani kote ikiwemo Tanzania kwahiyo jamani blood pressure ama(BP) ina majanga makubwa sanaa katika jamii ikiwemo Tanzania,
Maradhi mengine yanayo sababisha kiharusi ni kama:
Kisukari (Diabetes) unapokuwa na tatizo la kisukari pia unanafasi kubwa ya kupata kiharusi
*High Cholesterol (Mafuta mengi mwilini) ndio chanzo kikubwa cha high blood pressure (Hypertension) hupelekea kuganda katika mishipa ya damu atimae kama ikiganda mshipa wa damu unaopeleka damu katika ubongo na hupelekea kupata kiharusi
*Uvutaji wa sigara; uvutaji wa sigala una madhara mengi Sana'a ikiwemo kiharusi kwa sababu sigala INA kemikali nyingi Sana'a ambayo ni mbaya sanaaa ikiwemo nikotini ambayo huaribu mishipa ya damu.
*Mtindo mbaya wa maisha(Bad lifestyle)
*Uvivu wa kutokufanya mzoei
*Unywaji wa pombe kupita kiasi.
*Kuwa na uzito mkubwa.
*Ulaji wa vitu vyenye mafuta mengi Mara kwa Mara.

Njia za kuepukana na kiharusi ni kuepuka hayo tuliyo yaeleza hapo juu.

Madhara ya kiharusi.

*Huleta ulemavu wa kudumu
*Husababisha vifo vya mapema
*Huleta umaskini Katika familia na taifa kwa ujumla
*Huleta mgogolo wa kiuchumi katika familia na jamii kwa ujumla
*Hufanya maisha kuwa magumu zaidi kutokana na kutokueza yale ambayo ulikuwa ukiya fanya apo mwanzo.

Kwa hiyo ndugu zangu tujitahidi kubadilika kimaisha ili kulinda afya zetu na kujiletea maisha boraaaa na afya boraaaaa

#Kiharusi kinauaaaaaa
#Chúkua atuaaaaaaaa
 
UVUTAJI W SIGALA WATAJWA CHANZ CHA KIHARUSI.
Uvutaji wa sigala ni miongoni mwa chanzo cha matatizo ya kiharusi duniani ikiwemo Tanzania. Ndugu zanguni uvutaji wa sigala husababisha kiharusi sababu ; Sigala ina kemikali nyingi Sanaa takribani kemikali elfu NNE(4000) miongoni mwa kemikali hizo ni nikotini na carbon monoxide hizi ni kemikali mbili ambayo huaribu mishipa ya damu.
Uvutaji wa sigala husababisha uzalishaji wa mafuta mabaya mwilini ( bad cholesterol) katika ini ambamo ndio cholesterol huzalishwa kwahiyo humfanya mvutaji wa sigala kuwa na kiwango kingi cha mafuta mwilini atimae hupelekea damu kuganda na kuziba mishipa ya damu hall hii humsababishia mvutaji wa sigala kiharusi.
Lakini pia sigara ina kemiko ya nikotini ambayo humsababishia mvutaji wa sigara mapigo ya moyo kwenda mbio na kusababishia tatizo la (BP) na atimae kumsababishia kiharusi.

Kwahiyo ndugu zanguni watanzania tujiepushe na uvutaji wa sigara sio mzuri kwa afya zetu utupelekea kupata kiharusi ambayo ni ugonjwa mbaya sanaaaa.
 
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la umma kwa wananchi (Citizen Journalists) kujieleza bila uoga, kuwawajibisha viongozi na wananchi wenzao na kujenga uelewa zaidi katika masuala anuai.

Ni kupitia safari hii na kujitolea kwake kwa Utetezi wa Haki za Dijitali, Jamii Forums inaendelea kutekeleza jukumu lake katika kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma wa Watanzania unaweza kupata habari/taarifa bora na pia kutengeneza maudhui yanayochochea mabadiliko chanya.

Hivyo basi, JF inatoa nafasi kwa wadau wake na wananchi wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki kwenye awamu nyingine ya shindano la uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko chanya (Stories of Change).

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, tunalenga kuhamasisha ushiriki wa raia pamoja na makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu hii ya pili ya shindano hili itafanyika Julai 15 hadi Septemba 14, 2022.

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:

  1. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Uchumi, Kilimo, Utawala, Afya, Sayansi na Teknolojia.
  2. Andiko liwe kwa Kiswahili lenye maneno 800 hadi 1000.
  3. Makala zinatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Plagiarism (Wizi wa machapisho mengine) haitaruhusiwa.
  4. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi (jina) endapo ataibuka mshindi.
  5. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  6. Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.

Jinsi ya kushiriki:

Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yako itakulazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums. Endapo sio mwanachama unaweza kujisajili kupitia => (www.jamiiforums.com/register/ ). Ukipata changamoto katika usajili, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyowekwa chini katika bandiko hili.

Maandiko yawasilishwe kuanzia Julai 15 hadi Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF stories of change” (Stories of Change )

Baada ya kuweka andiko lako jukwaani, JITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kukupigia kura.

ZINGATIA: Unaweza kuandika mara nyingi kadiri uwezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Vigezo vya kupata Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura/likes zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo.

Ni muhimu kuendelea kuwa ‘active’ katika jukwaa la JF muda wote wa shindano ili kurahisisha mawasiliano endapo utaibuka mshindi.

Zawadi kwa Washindi
Mshindi wa Kwanza Tsh. 5,000,000
Mshindi wa Pili Tsh. 3,000,000
Mshindi wa Tatu Tsh. 2,000,000
Mshindi wa Nne Tsh. 1,000,000
Mshindi wa Tano Tsh. 500,000
Mshindi wa Sita hadi kumi Tsh. 300,000
Mshindi wa Kumi na Moja hadi wa Ishirini Tsh. 200,000

Mawasiliano
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia namba ya simu: +255 743440000 (WhatsApp, Telegram na Signal) au barua pepe: stories@jamiiforums.com
Napenda kuchukua nafasi hii kuupongeza uongozi wa JF kwa kutuletea jukwaa hili. Ni jukwaa linaloibua vipaji vya uandishi! Hongereni sana kwa ubunifu huu. Kwa kuwa mwitikio wa shindano ni mkubwa sana, napendekeza kama ifuatavyo: Watafutwe wadhamini kwa kila sekta (yaani, kilimo, elimu, uchumi, utawala bora, afya, uwajibikaji, sayansi na teknolojia); ili kila sekta ipate washindi 20 au zaidi, tofauti na ilivyo sasa, kwamba washindi ni 20 kwa sekta zote! Hii inaamanisha kuwa kila sekta itakuwa na moderators wake waliobobea kwenye eneo husika. Naamini hii itaifanya tasnia ya uandishi kukua kama zilivyo tasnia nyingine kama muziki, filamu nk. Nawatakia kazi njema!
 
KIHARUSI(STROKE) CHA LETA TAALUKI NCHINI NA ULIMWENGU KWA UJUMLA.
Kiharusi kwa sasa kimekuwa tishio nchini na ulimwenfu nzima ndio limekuwa tatizo la pili(2) kwa kuua watu wengi duniani lakini mbaya zaidi kiharusi kwa sasa kimekuwa kikishambulia zaidi vijana kuliko wezee tofauri na ilivyo zoeleka hapo nyuma ya kwamba kiharusi ni ugonjwa wa wazee lakini kwa sasa kiharusi kinaua vijana zaidi kuliko wazee kwa hiyo ifahamike wazi ya kwamba kiharusi kina mpata mtu yeyote ,umli wowote na muda wowote kikubwa tu ni kuchukua tahadhari za kiafya juu ya tatizo ili kujaribu kupambana na tatizo ili.
Kiharusi ni Tatizo linalotokea pale tu endapo ubongo unapokosa kiwango cha damu kinacho takiwa katika ubongo na hii husababishwa na kuganda kwa damu kunako sababishwa na kuziba kwa mshipa unaopeleka damu katika ubongo ambao hufahamika kama (carotid artery).
AINA ZA KIHARUSI;
Kuna aina mbili kubwa za Kiharusi ambazo ni:
Kiharusi cha kuziba tu mshipa tu wa damu unaoenda katika ubongo na kuufanya ubongo kukosa hewa ya oxygen na kupelekea nerve cells zilizopo katika ubongo kufa na kupelekea huyu mtu kupata kiharusi ambacho matokeo take kupata ulemavu wa kudumu ama kufariki dunia.
Ama kiharusi cha aina ya pili ni kiharusi ambacho hutokea kama kawaida vile vile mshipa wa damu unapo ziba kwenda katika ubongo kiharusi hichi hupelekea mishipa ya damu iliyopo katika ubongo kupásuka na kusababisha damu kumwagikia katika ubongo na kumfanya mtu kupata ulemavu mbaya sanaaaa au kupoteza maisha hichi ndio kiharusi kibaya sanaaa duniani karibia asilimia tisini ya aina hii ya watu wanaopata kiharusi hiki hufariki dunia. Wengi wao wanaopona na aina hii ya kiharusi huwa wanatembea katika wheree chair.
Ndugu zanguni kiharusi kinazuilika kubwa ni kuzingatia ushauli wa wataalamu au madactari ndio njia bora pekee za kupambana na tatizo la kiharusi na kujaribu kupunguza imani potofu kwamba kiharusi ni mdudu au shetani.

NJIA ZA KUEPUKANA KUKIZIBITI KIHARUSI.
Chanzo kikubwa cha kiharusi ni tatizo la High blood pressure ama BP(Hypertension) hiki ndio chanzo kikubwa cha kiharusi duniani kite na chanzo kikubwa cha maradhi ya (BP) ni
Ulaji wa vitu nyenye mafuta mengi
Unywaji wa pombe kupita kiasi
Uvutaji wa sigala
Uzīto uliopitiliza
Utumiaji wa tumbaku wa aina zote.
Kuwa na tatizo la kisukari(Diabetes)
Kuwa na tatizo la mafûta mabaya yaani mafuta mabaya kuwa na kiasi kingi mwilini amaa(High bad cholesterol).
MADHARA YA KIHARUSI.
Ndugu zanguni kiharusi kina Madhara makubwa sanaaa kila mtu anayaona kama:
Vifo yva mapema watu wengi wenye tatizo LA (BP) hufariki Sana'a kwa kiharusi cha kusikitisha wengine ni vijana wadogo kabisa.
Watu wenye matatizo ya kisukari hufariki sanaaa kwa kiharusi sasa ivi sukari na (BP) huwapata vijana wadogo chanzo kikubwa ni mtindo mbaya wa maisha
Kula sanaaa chips kuku
Kunywa sanaaa sodas, juices za viwandani Mara kwa Mara hùpelekea vijana kupata kisukari.
Lakini pia vijana sikuizi tunaongoza kunywa pombe ambayo yenyewe huchangia kwa kiasi kikubwa matatizo ya (BP) ,kisukari na cholesterol.
*Kiharusi husababisha umasikini
*Husababisha unyanyapaaa
*Husababisha ulemavu wa kudumu
*Huleta tsaabu katika maisha ya kula siku
Huleta unyonge katika maisha.
 
Story of changes inahusu kuleta tija kwenye kilimo lakini itagusa secketa Kama ajira uchumi elimu Tunawafunzi kutoka vyuo vya kilimo Kama serekali isiwakopeshe aridhi na zana za kilimo kwa wanafunzi 10 kila mmja tumpe heka mia hizi zitakuwa ni hekari 1000 ambazo hizi tukizigawa kwa kanda 4 alafu serekali iwafatulie kwa kina watu hawa mkopo utarudi maana watakuwa wanafànya kilimo cha kisasa watu hawa kila moja akiweza ajiri watu 50 kwa watu kumi itakuwa ni watu 5000 tukifanya kwa miaka mitano tukuwa nahekari 50000 mazao ni mengi sana je uchumi wake ni mkubwa je mtakuwa mmzalisha ajira ngapi Kwa miaka 5 ni watu niwatu 25000
 
KISHINDO CHA MAGONJWA YASOYO AMBUKIZA(NONCOMMUNICABLE DISEASE) NA BIMA YETU YA TAIFA(NHIF )
BIMA yetu ya Taifa (NHIF)iko hatarini kufa na sababu kubwa inayosemekana inayotaka kuiua ni magonjwa yasiyo ambukiza (Noncommunicable disease) miongoni kwa magonjwa hayo ni:
Maradhi ya moyo(Heart disease)
Kufeli kwa figo(Chronic Renal failure)
Kisukari (Diabetes) na
Cancers.
Magonjwa haya kwa sasa yamekuwa ni hatari sio hapa nchini mwetu tu lakini mpaka ULIMWENGU nzima kwa ujumla yamekuwa yakiongoza kws kusababisha vifo Vingi sanaaa na kuleta mtikisiko wa kiuchumi eiza katika familia au Taifa kwa ujumla. Magonjwa haya yamekuwa yana gharama kubwa sanaa katika matibabu yake kwa mfano maradhi ya moyo peke yake matibabu yake kwa mtu mmoja sio chini ya million mbili mpaka nane(2-8) ,gharama za matibabu ya figo si chini ya million moja (1) kwa mwaka mtu mmoja , ukija kwenye matibabu ya kisukari kenyewe si chini ya laki sits(6) kwa mwaka mtu mmoja,Ukija kwenye maradhi ya (BP) matibabu yake yenyewe yako juu inategemea kwa mwaka si chini ya laki tano mpaka sita ,ukija kwenye Kansas nako unakuta matibabu yake yako juu sasa unakuta mwanachama amekata BIMA ya laki mbili alafu apate matibabu ya million name(8) unakuta anawanyonya wenzie na kulisababishia shilika hasara unakuta fedha anayo changia ni kidogo gharama za matibabu ni kubwa hapo lazima kutakuwa na anguko la BIMA ya TAIFA.
NJIA YA KUINUSULU.
Njia pekee ya kuinusulu hii bima ya Taifa ni kupambana na magonjwa yasiyo ambukiza kikamilifu tukishilikiana kati ya wananchi na serikali kwa ujumla na serikali ikubali na isapiti katika kampeni katika utoaji elimu juu ya magonjwa yasiyo ambukiza kwa sababu yana madhara makubwa sanaa kwa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kwa mfano kwa kutegemea pombe na sigara kama vyanzo vikuu vya kiuchumi hapo unategemea watu wanywe sanaa pombe na wavute sanaa sigara ambavyo vyenyewe vyote ni chanzo kikubwa cha magonjwa yasiyo ambukiza. Lakini pia na sisi kama ili kuinusuru (NHIF) tupunguze unywaji wa pombe kupita kiasi kama umeshindwa kuacha basis zingatia masharti ya watuwa afya kunywa bia mbili(2) kwa mwanaume na bia moja(1) kwa mwanamke sigara ndio tusivute kabisaaa katika kuacha sigara nione nitakusaidia ili uache sigara.
Lakini pia ulaji mbaya kama vile :
Ulaji wa vitu vyenye mafuta mengi kama
Chips kuku Mara kwa Mara
Utumiaji wa mafuta mengi katika mapishi
Ulaji wa nyama zenye mafuta mengi kama vile Nguruwe,
Na ulaji wa nyama nyekundu Mara kwa Mara. kama ng'ombe, mbuzi, kondoo na wengineo.
Hupelekea kusababisha maradhi kama ya moyo na mishipa yake ya damu ambayo yenyewe yana gharama kubwa katika matibabu yake.
Lakini watu tukubali kubadili mfumo wetu wa mishap ili kuinusuru bima yetu ya Taifa .
Tufanye sanaa mazoezi Mara kwa Mara ili kupunguza uwezekano wa kupatwa na magonjwa yasiyo ambukiza kama
Tule saaaana, Matunda, nafaka zoooote, mboga za majani kwa wingiiii ili kupunguza uwezekano wa kupata.
Kisukari
Pressure(BP)
High bad Cholesterol (Mafuta mabaya kuwa mengi mwilini)
Tupunguze unywaji wa sodas, Juices za viwandani na hata baadhi ya kutengeneza majumbani kwani zenyewe pia hupelekea watu kupata maradhi ya moyo na kisukari.
Mwisho sote wananchi na serikali kwa ujumla tukiamua kubadilika kwa kuendeleza kutoa uelewa juu ya maradhi yasiyo ambukiza na watu wakachukua hatua na kuacha kuishi kwa mazoea haya magonjwa yatatumaliza na BIMA yetu ya Taifa(NHIF) itakuwa katika wakati mgumu na serikali kwa ujumla itakuwa katika sintofahamu juu ya kuinusuru hiii bima ya taifa (NHIF) na wananchi tutakuwa katika hali mbayaa katika mustakabali wa afya.
 
Hello, nami nayofuraha kubwa kushiriki katika hili, napenda kuwaomba pia mlisome nachapisho langu linalogusa mambo ya msingi yanayopaswa kubadilishwa katika mfumo wetu wa elimu nchini(mtaala, walimu, wanafunzi, Mazingira ya kazi, Viongozi, Vielelezo, maslahi ya sekta binafsi, sera za nchi, Ajira na kujiajiri na matokeo endelevu ya elimu) Makala " ELIMU WAKATI TULIONAO NA TUENDAPO". Yapo ya kujifunza kuyatafakari kwa wewe mdau wa elimu.
mmmuhumba.
 
MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA YAWA TISHIO NCHINI.
Magonjwa yasiyo ambukiza yameendelea kuwa kitisho nchini na ulimwengu kwa ujumla yamekuwa ndio kinara kwa kusababisha vifo duniani kote lakini ndio yamekuwa yakiongoza kuwa na gharama kubwa za matibabu kutokana hilo hapa kwetu nchini Tanzania kimekuwa na wasiwasi kubwa juu ya bima yetu ya Taifa(NHIF) kuelekea kufa kutokana na kuelemewa na mzigo mkubwa wa maradhi haya miongoni kwa maradhi hayo ni:
Maradhi ya MOYO haya ni maradhi yanayoongza kuwa na gharama kubwa duniani kote na yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote maradhi haya ni rahisi kuyazuia kuliko kuyatibu ,kuyatibu kwake yamekuwa na gharama kubwa Sana'a kwa mfano kipumo cha kucheki mshipa wa damu ulioziba so chini ya shilingi million mbili (2) na ukigundulika kuanza matibabu yake sio chini ya million sits(6) ndugu zangu tutaweza kwelii lakini pia husababisha vifo vingi sanaa kwa mwaka takribani watu million (18) hupoteza maisha duniani kote kutokana na haya maradhi ya moyo ndio namba moja(1) kwa kusababisha vifo duniani kote.
Maradhi haya yanazuilika kubwa jamii kama inapata huelewa ,elimu na kama inakuwa tayari kubadilika na serikali ikawekeza nguvu katika kupambana na maradhi haya kama vile:
Kutoa elimu kwa wananchi juu ya maradhi ya moyo kitaalamu na jinsi ya kuyaepuka na kuchukua taadhari hayo
Serikali itoe sapoti katika hasasi za kilaia zinazoshughulika na kupambana na maradhi hayo.kwa sababu maradhi haya yanaua kuliko ukimwi(HIV/AIDs),kuliko malaria ,kuliko cancers na mengone yoyote unayoyajua wewe maradhi ya moyo ni hatari sanaaa.
Mbaya zaidi siku hizi yamekuwa yakiwapata vijana wadogo, watu wenye kipato cha kawaida yaani watu wa kawaida sanaa tofauti na zamani ulikuwa ukiitwa ugonjwa wa mabosi watu wenye nafuu ya kimaisha lakini ugonjwa juu siku hizi umekuwa hauchaguo wala haubagui maskini matajili twendeee kwa hiyo umekuwa tishio sanaa ulimwenguni na ikiwemo hapa kwetu nchini.
CHANZO KIKUBWA CHA MARADHI YA MOYO.
Chanzo kikubwa cha maradhi ya moyo ni kuziba kwa mishipa ya damu mwilini hasa inayopeleka damu katika moyo,
kusababisha damu kutokwenda kama inavyotakiwa katika moyo na atimae moyo unashindwa kufanya shughuli zake za kusambaza damu mwilini ikiwemo katika moyo hali hii hupelekea mapigo ya moyo kwenda mbio na husambazaji wa damu mwilini hupungua atimae mtu hupoteza maisha.
Chanzo kikubwa kinacho sababisha hali hii ni kuwa na mafuta mengi katika mishipa ya damu (coronary arteries) ambayo huitwa (saturated fatty) yenyewe husabisha kitu kinachoitwa (atherosclerosis) hiki ndio chanzo kikuu cha maradhi ya moyo kitaalamu ni (atherosclerosis) maana take ni kuziba kwa mishipa mikubwa ya damu inayoitwa (coronary arteries)
KWA HIYO NJIA ZA KUPAMBANA NA MARADHI YA MOYO NI:
*Watu kupunguza ulaji wa vitu vyenye mafuta meng mara kwa Mara kama vile
Vitumbua, cakes, maandazi ,sambusa ,chapati chips kuku,Burgers,Sousages, mtindi ,maziwa yasiyo tolewa mafuta, nyama hulaji wa nyama nyekundu mara kwa Mara. Badala take watu tule sanaaa:
Samaki
Mboga mboga nyingiii(mboga za majani)
Kula Matunda Mara nyingi uwezavyo
Kula nafaka zoooote Mara nyingi kuliko nyama kama
Maharage, kunde, mbaazi,choroko,njegere, njugumawe nafaka kula angalau Mara tatu kwa wiki ama ikiwezkana kula siku.
Dona kula kula siku kama unapendelea kula ugali
Kama mlaji wa ubwabwa usile kula siku.
Tufanye sanaaa mazoezi angalau nusu (30)kila siku mazoezi ni mengi vijana tunaweza kukimbia, kuruka kamba, na wazee wanaweza kutembea kwa haraka, kumwagilia bustsni ,kuosha gari, kufanya shughuli za kila sik.
Kupunguza unywaji wa pombe kupita kiasi
Kuacha uvutaji wa sigara
Kupunguza unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama vile
Sodas,
Juices za viwandani na za kutengenezs majumbani.
Hii itasaidia kupambana na maradhi yasiyo ambukiza ikiwemo maradhi ya moyo na mengineyo ikiwemo
Moyo
Kisukari
BP
Cholesterol
Cancers
Kufeli kwa figo
Kiharusi
Na kupelekea kunguza majanga yatokanäyo na maradhi yasiyo ambukiza na kuinusuru bima ya taifa (NHIF) na wananchi kuishi maisha yenye afya biraaaa
#Pamoja tunaweza.
 
Hii ndio fursa kwa mwananchi wa kawaida kuweza kutoa mawazo yake ya nini anataka kiwe katika jamii, au taifa kwa ujumla.

Pia ni fursa ya kupata zawadi ambayo kama hukua na mtaji wa kufanya mradi wowote unaweza kuitumia hii kuweza kupata mtaji.

Ngoja niingie chimbo nishushe andiko langu nipate zangu 5,000,000
Hii iko poa sana
 
TATIZO LA KIHARUSI(STROKE) LINAVYO TISHIA MAISHA YA WATANZANIA NA ULIMWENGU KWA UJUMLA.
Tatizo la kiharusi kwa sasa limekuwa tishio nchini lakini sio nchini tu hata ulimwengu kwa ujumla kimekuwa likiongoza kwa kusababisha vifo duniani kwa sasa ndio linashikilia nafasi ya pili(2) kwa kusababisha vifo duniani kote lakini hiyo haitoshi kiharusi ndio kinaongoza kusababisha ulemavu duniani kimekuwa cha tatu(3) ndugu zanguni kuna haja ya kuchukua hatua za makusudi ili kujinusuru na hili tatizo jamani hiki kiharusi kinampata mtu yeyote ,umli wowote, na muda wowote(Stroke can strike any one, at any age and at any time) kubwa watu tuchukue tahadhari juu ya hili tatizo.
KIHARUSI ni tatizo linatokea pale endapo tu damu ikashindwa kwenda ama kufika katika ubongo kutokana na kuganda au kuziba kwa mishipa ya damu kunakotokana na eidha mishipa mishipa hiyo kujaa mafuta au takatak zingine laki
ni mishipa kuziba kutokana na kujaa mafuta ndio chanzokikuu.
KIHARUSI. Kipo cha aina mbili(2)
Aina ya kwanza ya kiharusi huitwa (lschemic stroke) na cha pili huitwa (Haemorrhagic Stroke)
(Ischaemic stroke) hii ni aina ya kiharusi ambacho hutokea pale mshipa unaopeleka damu kwenye ubongo kuziba na kupelekea ubongo kukosa kiwango cha damu kinachotakiwa na kupelekea eidha huyu mtu kupatwa uluemavu wa kudumu au kufariki dunia inashariwa mtu akipatwa kikubwa akimbizwe haraka hosipitaili ili kupata matibabu haraka kitendo cha kumchelewesha ndio madhara yanavyokuwa makubwa(precious time can save life)
Aina ya pili ya kiharusi ni (Haemoffhagic stroke) hiki ni kiharusi ambacho hutokea pale mishipa ya damu katika ubongo inapasuka na damu imwagikie katika ubongo na kufanya ubongo uvulugike aina hii ya kiharusi ni mbaya sanaa karibia asilimia tisini (90%) ya watu wanaopatwa na aina hii ya kiharusi hupoteza maīsha na wengi wao wanaopona hupata ulemavu wa kudumu(Permanent disability) yaani ulemavu wa kutembea kwenye kiti (wheele chair)
CHANZO CHA KIHARUSI
High blood pressure (Hypertension) hiki ndio chanzo kikubwa cha kiharusi duniani kote ikiwemo Tanzania.
Kisukari (Diabetes)
Cholesterol (wingi wa mafuta mabaya mwilini)
Uvutaji wa sigara ama tumbaku(Tobacco uses)

Unywaji wa pombe kupita kias
Unashauliwa kunywa bia mbili (2) kwa mwanaume na bia moja(1) kwa mwanamke

Uzito mkubwa(Overweight and Obesity) (BMI) kuwa kubwa

Mtindo mbaya wa maisha kama vile ulaji wa
Chumvi nyingi : ambao hukusababishia tatizo la (BP)
Hulaji wa vitu venye mafuta mengi pia upekea kukusababishia (BP) ,Cholesterol, mafuta Luganda kwenye mishipa ya damu ambao ndio inaongoza kusababisha kiharusi na maradhi ya moyo duniani.
Vitu vyenye mafuta mengi kama!:
Vitumbua, Sambusa ,Maandazi, Kachori, Chips kuku, Burgers, Mtindi. Maziwa yasiyo chujwa.
Kupunguza matumizi ya vitu vyenye sukari Mara kwa Mara kama vile sodas, juisi za viwandani na za kutengeneza majumbani vinaweza kukusababishia (Presha, kisukari na cholesterol)

JINSI YA KUEPUKANA NA KIHARUSI.
Ni kuacha au kupunguza ama kuzingatia hayo tuliyo yaolozesha hapo juu.
MADHARA YA KIHARUSI

Kusababisha vifo vya mapema

Kuleta umasikini

Kusababisha vingi duniani

Huleta hfukara katika familia

Uharibu malengo

Husababisha unyonge katika jamii

Husababisha msongo wa mawazo.

Uharibu suala la mausiano katika ndoaa.

Husababisha vikwazo vya kiuchumi katika jamiii

Husababisha ulemavu.

#Pamoja tunaweza kupambana na kiharusi tukiamua kubadilika.

#Together we can.
 
Back
Top Bottom