Shingi 200 leo kidogo inivue utu

Waambie hao maboya
 
Huwa wanpima kutest kina Cha maji
 
Hakuna amani kwenye vita,ikitokea vita uwe tayari kupigana,ukisamehe 200 leo kesho utalazimika kusamehe nyingi zaidi,keshokutwa utalazimika kumsamehe konda aliyekupiga makofi mbele ya mkeo na watoto,sometimes someone have to sacrifice in order to make the world a better place,
 
Arusha kuna ujinga kuliko sehemu nyingine,makondakta wa arusha wanajionaga ni wajanja na wajuaji kuliko kiumbe kingine chochote,ukimpa elfu kumi anakuambia,"itabidi utulie tuzunguke wote hadi nipate chenji" na hatanii,unaweza ukaua mtu
 
Aisee pole sana kumbe ulikuwa wewe, baada ya kuondoka tulimwambia awe na kumbukumbu, alizingua sana.
 
Tuma salamu ...
 
Ukampa konda aftatu ya mzigo, Kakaza umuongezee...

Ukamuomba tiketi aliyokatia mzigo, akamuamuru tingo arudishe mzigo kwenye buti...

Ukakunja ndita hadi tingo na konda wakaogopa...

Wakaondoka na aftatu wakaisamehe!


Swali : Ameisamehe vipi aftatu na ww ulishampa akadai kuongezewa?
 
Arusha kuna ujinga kuliko sehemu nyingine,makondakta wa arusha wanajionaga ni wajanja na wajuaji kuliko kiumbe kingine chochote,ukimpa elfu kumi anakuambia,"itabidi utulie tuzunguke wote hadi nipate chenji" na hatanii,unaweza ukaua mtu
Hahahaaa dah, yaani nikupe nauli halafu unitamkie hivyo?

Najijua kabisa jinsi akili zangu zilivyo mbili, hataamini macho yake kwa kitakachotokea...
 
Ukiwaza na kutazama mbele in long run effect huwezi kugombana kisa PESA
 

Aliirejesha mkuu baada ya kumpa na kudai niiongeze hela..

Aliirejesha mkuu baada yq kumpa na kudai niongeze hela..

Pia shukrani kwa muongozo mkuu
 
Yeah, making the world a better place one kondakta at a time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…