Shingi 200 leo kidogo inivue utu

Shingi 200 leo kidogo inivue utu

Nipo radhi nimpe mhitaji yeyote sh 10,000 ya bure tu,hata akiniambia anaenda kunywea pombe poa tu,ila sikuachii 100 yangu kwa ubabe wako,nipo radhi nipoteze nyingi zaidi ili ku set precedence,nikikuachia leo utaona kumbe inawezekana,utatudharau watanzania wote, kataa ujinga kwa gharama yoyote
Waambie hao maboya
 
Sio kinyonge sasa! Nakumbuka siku nimeenda kumpokea wife mbezi hapo konda anadai hela ya mizigo nikamtoa aftatu (in wavaadela'svoice)anakaza nimuongeze nikaona isiwe shida. Nipe tiketi uliyokatia mzigo, anamuambia utingo rudisha mzigo kwenye buti
nikamuliza wife huu wote si mzigo wetu
ye: ndio...
Mimi: we sindio umeambiwa uchukue mzigo urudishe kwenye buti, mzigo huu hapa chukua hapo nimekunja ndita sio kitoto namsikia konda achana nae tuondoke hata aftatu wakasamehe
Huwa wanpima kutest kina Cha maji
 
Nilishajifunza hawa makonda sio watu wa kufanya nao ligi hawako sawa vichwani.
Kuna bro alipanda na demu wake akaanza ligi na konda. Demu wake badala ya kumtuliza bro akaanza kumchochea na wote wakaamsakama konda. Mimi nilikaa karibu na demu nikamshauri amtulie bro asimchochee, demu akanigeukia na mimi akaanza kunipayukia. Yule konda akapandwa na jazba akamziba demu kibao cha mdomo. Bro akaingilia konda alikuwa fiti akawatia wote mikononi. Tingo naye akaingilia kati kumtetea konda.

Kifupi bro akachaniwa shati tumbo lote wazi. Nikamwambia dada kama ungemtuliza bro msingefika hapo
Hakuna amani kwenye vita,ikitokea vita uwe tayari kupigana,ukisamehe 200 leo kesho utalazimika kusamehe nyingi zaidi,keshokutwa utalazimika kumsamehe konda aliyekupiga makofi mbele ya mkeo na watoto,sometimes someone have to sacrifice in order to make the world a better place,
 
Mimi nilitokewa na tukio tofauti na lako. Nilitoa elfu 10 akate mia 500 sasa akaniambia huna hela ndogo nikamwambia sina ninayo iyo iyo, jamaa akakasirika eti kwanini nimetoa hela kubwa akanirudishia hela yangu huku kanuna kinoma.
Mm nikanyamaza kama vile hakijatokea chochote sasa msala ukaja wakati nataka kushuka jamaa akanigeukia akaniambia hushuki apa ww si unajifanya mjanja mimi nikamwambia hela sinimekupa ukarudisha sasa apo mjanja ni nani kati yangu mm au ww nikamwambia nishushe apo akakaza hashushi sema sasa kulikuwa na abiria kadhaa nao wanashuka na mm nikashuka nao eti akawa ananizuia nisishuke. Nikampiga kikumbo nikamrusha nje akaenda mpaka chini mm nikashuka nikasimama nimsubiri afanye anachotaka kufanya, ila nahisi aliingia uwoga akapanda kwenye gari akaondoka na mm nikaondoka zangu nikiwa sijalipa nauli.

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Arusha kuna ujinga kuliko sehemu nyingine,makondakta wa arusha wanajionaga ni wajanja na wajuaji kuliko kiumbe kingine chochote,ukimpa elfu kumi anakuambia,"itabidi utulie tuzunguke wote hadi nipate chenji" na hatanii,unaweza ukaua mtu
 
Aisee pole sana kumbe ulikuwa wewe, baada ya kuondoka tulimwambia awe na kumbukumbu, alizingua sana.
 
Wataalam,

Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k)....

, Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji.
Ile nashuka nkadai chenji akasema eti ameshanipa halafu anakaza kichizi.

Nikamwambia "acha uxenge we kima, em tapika hyo 200"
Kumbe jamaa naye anataka anioneshe umwamba. Yeye anadai ashanipa chenji...nikimcheki juu ana rasta halafu macho mekundu. Mimi apo nmechomekea shati jeupe viatu vinang'aa kiwi.

Kujisächi mfukoni sioni hyo 200.

Nkaona huyu boya anataka anizoee,

Nikamshika shati Nikamwambia "we kima huondoki apa mpaka uniachie iyo 200"

Akasema '' nshakupa, kwahyo unataka nkurudishie chenji mara mbili upate na faida? "

Nkwambia "boya we hunijui"

Nkamkamata shingo apo nikashuka chinj huku namvuta kwa nje ya gari. Mda huo abiria wanalalamika wanawahi na dereva anamwambia anipe halo ka 200 waondoke.

ila jamaa akawa anaona kama zarau kuaibishwa vile, kwahyo tukawa tunadindiana kama majogoo wawili pale stendi.

Afu jamaa akiona nmechomekea anachukulia mim mchumba.

Stendi Zima ikasimama watu wote wameacha shughuli zao wanashangaa Hilo tukio la bro mtanashati aliyechomekea anadindiana na konda mvuta bangi kisa 200.

Nikamwambia "Oya, leo umeyakanyaga kmmk, Yani huondoki apa. hao abiria waambie watafute gesti maana watalala hapa, huondoki apa bila kuachia iyo 200"

Dah! Jamaa alivoona nmekaza sana na Niko serious halafu yeye ndo anapata hasara ikabidi aiteme hyo 200 na kuniachia.

Funzo: Sio Kila aliyechomekea ni don, mtumishi, wakuja au boya. Kuna wengine sisi ni maninja ila tunajidisguise kwenye mavazi tu. Msituchukulie simpo.
Tuma salamu ...
 
Sio kinyonge sasa! Nakumbuka siku nimeenda kumpokea wife mbezi hapo konda anadai hela ya mizigo nikamtoa aftatu (in wavaadela'svoice)anakaza nimuongeze nikaona isiwe shida. Nipe tiketi uliyokatia mzigo, anamuambia utingo rudisha mzigo kwenye buti
nikamuliza wife huu wote si mzigo wetu
ye: ndio...
Mimi: we sindio umeambiwa uchukue mzigo urudishe kwenye buti, mzigo huu hapa chukua hapo nimekunja ndita sio kitoto namsikia konda achana nae tuondoke hata aftatu wakasamehe
Ukampa konda aftatu ya mzigo, Kakaza umuongezee...

Ukamuomba tiketi aliyokatia mzigo, akamuamuru tingo arudishe mzigo kwenye buti...

Ukakunja ndita hadi tingo na konda wakaogopa...

Wakaondoka na aftatu wakaisamehe!

Swali : Ameisamehe vipi aftatu na ww ulishampa akadai kuongezewa?
 
Arusha kuna ujinga kuliko sehemu nyingine,makondakta wa arusha wanajionaga ni wajanja na wajuaji kuliko kiumbe kingine chochote,ukimpa elfu kumi anakuambia,"itabidi utulie tuzunguke wote hadi nipate chenji" na hatanii,unaweza ukaua mtu
Hahahaaa dah, yaani nikupe nauli halafu unitamkie hivyo?

Najijua kabisa jinsi akili zangu zilivyo mbili, hataamini macho yake kwa kitakachotokea...
 
Nipo radhi nimpe mhitaji yeyote sh 10,000 ya bure tu,hata akiniambia anaenda kunywea pombe poa tu,ila sikuachii 100 yangu kwa ubabe wako,nipo radhi nipoteze nyingi zaidi ili ku set precedence,nikikuachia leo utaona kumbe inawezekana,utatudharau watanzania wote, kataa ujinga kwa gharama yoyote
Ukiwaza na kutazama mbele in long run effect huwezi kugombana kisa PESA
 
Ukampa konda aftatu ya mzigo, Kakaza umuongezee...

Ukamuomba tiketi aliyokatia mzigo, akamuamuru tingo arudishe mzigo kwenye buti...

Ukakunja ndita hadi tingo na konda wakaogopa...

Wakaondoka na aftatu wakaisamehe!

Swali : Ameisamehe vipi aftatu na ww ulishampa akadai kuongezew

Aliirejesha mkuu baada ya kumpa na kudai niiongeze hela..

Aliirejesha mkuu baada yq kumpa na kudai niongeze hela..

Pia shukrani kwa muongozo mkuu
 
Hakuna amani kwenye vita,ikitokea vita uwe tayari kupigana,ukisamehe 200 leo kesho utalazimika kusamehe nyingi zaidi,keshokutwa utalazimika kumsamehe konda aliyekupiga makofi mbele ya mkeo na watoto,sometimes someone have to sacrifice in order to make the world a better place,
Yeah, making the world a better place one kondakta at a time
 
Back
Top Bottom