Shinyanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kujaribu kumuua mwanae wa kike

wamesema mke wa marehemu alitoka kwenda kuwaita majirani na kuwaambia mume wake amemfukuza asilale chumbani na aliporudi na baadhi yao wakakuta mtoto wake wa kike anayeitwa Anna Peter amechinjwa
Ila uandishi wa siku hizi hovyo kabisa,
Mtu amechinja halafu habari inasema amejaribu

 
Ziraili wa kifo
 
Manispaa Ina vijiji kumbe?! Nilidhani manispaa inakuwaga na mitaa. Manispaa ya Shinyanga Ina Kijiji cha Mwamagumguli🤣🤣🤣🤣
 
Pascal Mayalla nakusalimia braza.
 
Afya ya akili, watu wengi wanaishi na matatizo ya akili
 
Inasikitisha sana matukio ya wanandoa kuuwana yanazidi kushika kasi...Mtoto wa miaka sita anakosa gani hapo hadi kukatishwa ndoto zake...sema huwezi fahamu ya ndani ya ndoa ila ukicheki hapo ni swala la kunyimana unyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…