Shinyanga: Gari lililokuwa limebeba Waandishi wa Habari lapata ajali

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
3887502.jpg

Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Bw. Frank Mshana, Johnson Zacharia na Boazi.

Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

CHANZO - ITV
 
Pole sana waliohusika katika ajali hiyo,

Mwenyezi Mungu awajaalie nafuu na hatimae uponyaji wa mapema kwa majeruhi wote 🐒
 
Kifo cha bwana Ukeke bin Maulana na Cha Muhammad Matoke kimeniumiza zaidi kuliko hiki cha hawa watu waliopata ajali.
 
3887502.jpg

Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Bw. Frank Mshana, Johnson Zacharia na Boazi.

Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

CHANZO - ITV
Bw. Frank Mshana, 😩🙏🏿 Thanks God kasalimika! Kumbe ndio maana jana hata kilaji kilikuwa hakipandi kabisa
 
Back
Top Bottom