Pole sana waliohusika katika ajali hiyo,
Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Bw. Frank Mshana, Johnson Zacharia na Boazi.
Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
CHANZO - ITV
Vipi Ile ajali Yako mola alikunusuru?R.i.P Classmates.....
Mwendo mmeumaliza
Weee mzee๐๐R.i.P Classmates.....
Mwendo mmeumaliza
Bw. Frank Mshana, ๐ฉ๐๐ฟ Thanks God kasalimika! Kumbe ndio maana jana hata kilaji kilikuwa hakipandi kabisa
Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa Habari wa ITV/Radio One Bw. Frank Mshana, Johnson Zacharia na Boazi.
Majeruhi wote wamepelekwa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga.
CHANZO - ITV
Huyu siyo mzee ni mvuta bangi tuWeee mzee๐๐