Tetesi: SHINYANGA: Mke wa Wenje pamoja na rafiki wa Esther Matiko wafika na kugawa shilingi milioni moja kwa kila mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CHADEMA

Kwani TAKUKURU hawapo?
Halafu kuna member wengine humu wamekuwa ni wa hovyo sana. Mbona hizi taarifa kama ni uongo?
Ushauri kwa watoa taarifa msiwe mnatoa habari za kuwachafua watu.
 
Kwani TAKUKURU hawapo?
Halafu kuna member wengine humu wamekuwa ni wa hovyo sana. Mbona hizi taarifa kama ni uongo?
Ushauri kwa watoa taarifa msiwe mnatoa habari za kuwachafua watu.
Hizi ni habari za kweli kabisa, lakini Kwakuwa hatuwezi KUWEKA humu kila kitu ndio maana tunazibakisha kama tetesi,
 
Hizi ni habari za kweli kabisa, lakini Kwakuwa hatuwezi KUWEKA humu kila kitu ndio maana tunazibakisha kama tetesi,
Zingekuwa zina ukweli wala msingekuwa mnahanhaika na kumwambia Mbowe ajitoe eti alinde heshima yake.

Unadhani Lissu angekuwa ana ushahidi wa madudu ya Mbowe angekaa kimya? Jibu ni hapana
 
Kumeanza kukucha, Mapesa ya Abdul yameanza kuhongwa watu .Wenje kanunua gari kwa pesa za Abdul.Rushwa ni adui wa haki
 
Team Lissu na kuropoka kunaendelea. Hadi uchaguzi unaisha wengi wenu mtakuwa wateja wa Milembe!
Kila kitakachofanyika kwa sasa kitawekwa wazi, mgombea wetu lissu ni mtu asiyependa Giza na masirisiri.Yeyote atakayetoa rushwa atawekwa hadharani, Rushwa sio utamaduni wa chadema
 
Zingekuwa zina ukweli wala msingekuwa mnahanhaika na kumwambia Mbowe ajitoe eti alinde heshima yake.

Unadhani Lissu angekuwa ana ushahidi wa madudu ya Mbowe angekaa kimya? Jibu ni hapana
Haahaa jifariji, uchaguzi huu safari hii unafuatilia na vyombo vingi Sana, Kila kitu kitawekwa hadharani.Kila mjumbe wa mkutano mkuu ameanza kuwa monitored
 
Kwani TAKUKURU hawapo?
Halafu kuna member wengine humu wamekuwa ni wa hovyo sana. Mbona hizi taarifa kama ni uongo?
Ushauri kwa watoa taarifa msiwe mnatoa habari za kuwachafua watu.
Sema uwongo huku mabulunguti ya Abdul yakiendelea kutafunwa, mwenzio wenje tayari ana gari la Abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…