Tetesi: SHINYANGA: Mke wa Wenje pamoja na rafiki wa Esther Matiko wafika na kugawa shilingi milioni moja kwa kila mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CHADEMA

Shutuma nzito sana hizi. Polepole rangi zao halisi zinaonekana wazi sasa hata wale waliokuwa wamepumbazwa na kuburuzwa kama nyumbu na kondoo

Some of us tulishajua kitambo kwamba politics za upinzani ni biashara tu kwa most of these politicians
 
Haahaa mbowe kushauriwa kumpisha lissu Kuna ubaya Gani??
Wa
 
CHADEMA inafanyiwa mambo ya hovyo sana na ccm
YAANI FEDHA KITU KIBAYA SANA , NDIYO MAANA UNAKUTA MTU ANAMKATAA HATA MZAZI WAKE!!!! TUKIFANYA MCHEZO CCM WATAKUWA WANACHUKUA HATA WAKE ZETU!!!!!!!!! LABDA WAPINZANI NAO WAKAE WAONE JINSI GANI YA KUSAMBARATISHA CCM KAMA WALIVYO JARIBU 2015. DAWA YA MOTO NI MOTO.
 
Ila bila kujali Lisu au nani anahusika isues za hela chafu ndani ya cdm zimesikika mda mrefu.Yaani kwa sasa hali ilivyo tunaona vyama vya upinzani vipo kwa maslahi binafsi zaidi.Mzee Bakresa akishaanzisha chama nitamuunga mkono,maana najua labda siyo kwa ajili ya tumbo.Njaa ni mbaya sana.
 
Wajumbe Wajumbe KULENI mapesa, kuleni mshibe, Akili vichwani mwenu, kuleni na kura mpeni LISSU, pokeeni kuleni mshibe, Wajumbe sio watu wazuri
Hela inanguvu ingekuwa hivyo watoa pesa wasingeshinda ,kama mjumbe umepewa 1 m msimamizi wa uchaguzi kapewa ngapi ?hakuna hela ya mwanasiasa inakwenda bure
 
Sasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?

Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,


Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Una uhakika kuwa ni authentic information? Au unakimbilia kuhukumu?
 
weka ushahidi, siyo kuruka na uzi usio na verification yoyote ile.
Wakisema Lissu kaahidiwa mamillion ya dola toka watanzania washio ughaibuni za kampeni ili aukwae uwenyekiti CDM. hilo nalo.
 
Sasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?

Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,


Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Kidumu sana kabisa mwanawane iiih . .
 
Wajumbe wakituletea mmbowe wasirudi wabaki kwake...tutawamaliza.
 
Hakutegemea nini Mbowe has been Mbowe . Ni mlamba asali maarufu sema alikuwa na mzee slaa akawa anaji camoufrage . Kumbuka ujio wa Lowassa ilikuwa asali . Sasa mbowe yupi unangelea kwa miaka yote anajilipa tu
Tena ilikuwa asali NZITO ya kiwango Cha G8 Kabisa.
 
Sasa kama CHADEMA wanafanya Yale Yale ya CCM Kuna haja yoyote ya kutaka kuitoa CCM madarakani kama mambo ndio haya?

Hawa CHADEMA ni wabaya zaidi hata ya CCM kwenye suala la madaraka,


Nasema Kidumu sana chama Cha Mapinduzi
Kuna lengo jingine la msingi la chama Cha siasa tofauti na madaraka? Au vyama vya siasa ni Kwa ajili ya charity?
 
Huku ni kuchafuana baada ya genge la mpayukaji kugundua kura zinapatikana kwa wajumbe si club house.
Mbowe bila rushwa hawezi kutoboa. Mbowe anajua, Abdul anajua, Wenje anajua, Boni yai anajua, Sugu anajua, Devotha Minja anajua na Kila aliye Kambi ya Mbowe anajua. Acha kujitoa ajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…