USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni .
Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka
Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani ,
Kama huna akili usioe
UTV
USSR
Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka
Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani ,
Kama huna akili usioe
UTV
USSR