Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Huyo mumewe bado hajafikishwa mahakamani?Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni .
Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani ,
UTV
USSR
Anatakiwa ahukumiwe miaka 180 jela kama yule wa Njombe.