Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni .

Mume baada ya tukio hilo amepotea kusikojulikana na jeshi la police linamsaka

Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani ,

Kama huna akili usioe

UTV

USSR
Afya ya akili
 
Kuna mstari unasema kama,macho yanapelekea utende zambi ya uzizi basi yangoe au yatoboe
 
Duh! Inasikitisha. Wazazi wengi wa KiTZ tunakataa courtship ya miaka kadhaa kwa wapendanao kwa kusema kuwa ni uhuni.kuishi na mtu japo kwa muda mfupi kabla ya ndoa kunasaidia mengi yanayoepukika, kama hamtaendana utajua tu
 
Huo ni ukatili wa hali ya juu sana. Ila wanawake usipotumia akili unaweza kujikuta umemuua.
Nilikuwa nawashanga wazee wa zamani akitoka kazini anapitia Bar au kijiwe cha kahawa badala ya kurudi nyumbani direct,nilikuwa siwaelewi,ila kwakuwa nimekua sasa nawaelewa...
 
Watu wametoa mahari mamilioni ya Pesa unasema hawajanunua Wanawake?
Mahari ni biashara ya kununua Mwanamke.

Kîla Siku nawaambia Watu waache mamila potofu ikiwemo Kutoa mahari.
Arudishiwe hiyo mahari Kama mwanamke ni mnyama
 
Kuachana Kwa Amani na yenyewe ni kipengele kigumu ktk ndoa. Hii inategemea na uelewa mpana wa wanandoa.
 
Back
Top Bottom