Shinyanga:mme amtoboa macho yote mkewe

Watanzania tumekuwa makatili sana hapa naona dada mmoja anaitwa esta anaohojiwa UTV akiwa haoni baada ya mumewe kumtoboa macho yote mawili bado haoni .

Kama mtu humtaki si bora muachane kwa amani ,

UTV

USSR
Huyo mumewe bado hajafikishwa mahakamani?

Anatakiwa ahukumiwe miaka 180 jela kama yule wa Njombe.
 
Tatizo jingine ni hzi Dini zetu kusema hakuna kuachana mpaka mmoja afe nalo ni tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…