Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Daaaaah! Usiku wa juzi kuamkia jana kumetokea tukio nikiwa uku Serengeti aisee jamani usiombe yakukute, kuna dada mume wake yupo Shinyanga ameenda kutafuta maisha mke kamuacha Serengeti kijiji cha mbalibali ambapo ndio nilikuwepo, sasa uku kijijini uyu dada ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mwingine na uyo jamaa nae ana mke.
Sasa hiyo siku ya tukio uyu jamaa kaenda kwa uyu dada akapate sex, yule dada akamjibu hajisikii kufanya mapenzi jamaa akang'ng'ania yule dada akakataa jamaa akalazimisha ikabidi yule dada ahame chumba akaenda kulala chumba cha watoto, akamuacha yule jamaa chumbani kwake yule mkurya kuona amenyimwa sex akaamua kujinyonga mule mule chumbani kwa yule dada.
Yule dada anaamka alfajiri akamuamshe yule jamaa ili awahi nyumbani kwake anamkuta ananing'inia kwenye kenchi ameshakufa. Aisee yule dada kaletwa na polisi apa hospital walikuja kuchukua iyo maiti ndio anavyolia acha wamemchukua akaisaidie polisi uchunguzi.