Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Huna hoja mmebakisha matusi, kejeli na kebehi, midhaha na dhihaka hoja zero, nikikwambia Kataa Ndoa nashusha point zenye mashiko kusupport hoja yangu wewe unapigia chapuo watu kufunga Ndoa point zako zipo wapi? Au ndio hio kumuona kila anaesema Kataa Ndoa ni Shoga na Msagaji?Nyie ni machoko mnao kataa ndoa
Na hash tag yenu
" SUPPORT DON'T PUNISH".