Shinyanga: Mwanaume ajinyonga nyumbani kwa aliyemnyima tendo

Herufi kubwa doesn't matter bana, au na nyie kusoma kunawakoroga.

Mbaya kujinyongea kwa mwenzio, sasa huyo dada aje kutoka huko ndani haki ni miaka mingi atasota

Majanga mengine hujui hata yanatokea wapi.
 
Wewe unafikiri kwanini mods huwa wanabadili kuwa herufi ndogo kuanzia kichwa cha habari hadi ujumbe wenyewe.

Kifupi wewe ndio shule haijakusaidia.
 
Wewe unafikiri kwanini mods huwa wanabadili kuwa herufi ndogo kuanzia kichwa cha habari hadi ujumbe wenyewe.

Kifupi wewe ndio shule haijakusaidia.
Basi isiwe kesi baki na kile unachokielewa,
 
Wakurya wanajinyonga kweli maisha yamebadilika sawa na masai kugombea maharage na chapati mpaka wengine wanabeti
 
Kwa hali hyo Acha tunaokataa ndoa tuitwe mashoga tu
 
Hii habar Ina mashaka, yaani mwanamke amnyime unyumba hawata yake tena chumbn kwa mumewe amuache hapo eti alale mpaka asubhi huku yy akienda kulala chumba Cha watoto? Ujasiri huo mwanamke anautoa wapi?

Doesn't make sense!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…