Shinyanga: Mwanaume ajinyonga nyumbani kwa aliyemnyima tendo

Heading na content vinawiana kweli!? Au mimi ndiyo sijaelewa
 
Usije kuta mume ya huyo demu ndio kafanya hiyo kitu!!
Yaani mtu anyimwe uchi ndio ajiue serious?
Bora hata angepiga nyeto X7..!!
Amewaachia shida tegemezi wake hasa watoto.
 
Tayari Mods wamebadili kuwa herufi ndogo kuanzia kichwa cha habari hadi ujumbe wenyewe. Na kuna wajinga wengi hawajui kuwa haitakiwi kuandika kwa herufi kubwa.
Basi isiwe kesi baki na kile unachokielewa,
 
😅😅😅 Kila mtu anahudumu na Kula vya madhabahuni tofauti ni aina ya madhabahu tunazohudumia na vile tunavyolishwa
Jianzishie madhabahu yako hapa naona huko kitaa tunaliwa tu
 
Jianzishie madhabahu yako hapa naona huko kitaa tunaliwa tu

Madhabahu nyingi zipo na ni za Mungu na za mungu
Kila madhabahu ina taratibu zake wewe umeliwa wapi!? Kwa Mungu au kwa mungu🤗
Wewe unaitaka ipi
 
Huyo jamaa atakuwa CCM mana Huwa Wana uzalendo wa Kukomalia Mali za watu hadi ziwauwe.
 

Hata kusikia haifai, yawezekana kauwawa na mme wa huyo dada hiyo ni story
 
Ndio maana anapigia debe madhabahu kwa kisa cha shekeli ya mtumishi wa Sauli iliyopelekwa kwa mwonaji.
mama D

Kila mtu ana madhabahu yake Sandali Ali
Na kila alivyo mtu matokeo ya uaminifu na utii wake kwa madhabahu hiyo

Zipo madhabahu zinadai damu za watu, zipo zinazodai damu za wanyama, zipo zinazodai zinaa, zipo zinazodai vilevi, zipo zinazoendeshwa kwa damu ya Yesu..... uchaguzi ni wako
 
Outside job hiyo.

Mwenye mke he is a ghost killer, kausoma mchezo, kamlia timing, ka execute.

Kawaachia kazi polisi wa fill the gap
 
Tupe kadirio la umri wao tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…