Shinyanga: Rais Magufuli amuagiza IGP Sirro kuwasimamisha kazi RPC na RCO, pia aagiza meneja wa TRA kusimamishwa kazi

Andika kwa utaratibu basi kama ni buku zako utapata.
Pitia maandishi yako uyafanyie editing ili yaeleweke.
 
Dooh kwahiyo na wao wataanza kuomba dhamana??

Kwahiyo na wao iko siku wataambiwa vua mkanda, vua viatu, ingia humo?

Pyschologically hawa jamaa wataumia zaidi.

Hii dunia, haya maisha, tuvumiliane, tutendeane ilivyo haki kesho hatuijui aisee
 
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"

Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Wao wana kazi maalum ya kuwakamata watu wanao fanya dili za madawa ya kulevya
 
Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia

State agent
 
Mimi nishasema sana kuwa Baadhi ya police wa mikoa niwatu wabaya sana nawengi wao ndo wanaihujum serikari ukiona watu wanamfata rais ujue huko mikoani wameonewa. Hongers rais ila chunguza na mengine ktk baadhi ya mikoa bado ma Rpc na ma Rco nitatizo zaidi sana ma occid wao
 
Angekuwepo baba wa taifa wewe ungeishia jera kwa kuendeleza ukabira
Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia

State agent
 
Hongera sana Magu, polisi wanakuga wajinga sana sana na wanaona kuisaidia CCM ndio pona yao.....wafukuzwe na wafungwe! To hell
 
Tena Wanyongwe....shenzi kabisa. Huwa nafurahi sana sana Polisi wakipata majanga, hawa jamaa hawana utu kabisa! Unaweza kwenda Polisi ukifika wanageuza tatizo lako kuwa fursa kwao
 
Ma RPC na ma RC baadhi yao hapa nchini bado wanacheza hii michezo hata Tra bado wanakula sana kuna wahindi wengi sana hawalipikodi na EFD nyigi feki, vituo vya mafuta vingi havitoi EFD hada mikoani na mjini nyingi zinatoa feki mabaa makubwa namahotelo makubwa super markets nyingi bado tatizo.
 
Una macho makali kama yangu [emoji23]
 
Mwisho wa siku atakuja kutuambia mwenyewe waachiwe kama walivyoachiwa wale aliosema walichukua rushwa ya 700ml
Unapaswa kujua Wamesimamishwa Kazi hawajafukuzwa pia limetumika neno tuhuma kwahiyo inahitaji uchubguzi Ili kuzithibitisha na kama sikweli wanarudi Kazini.
Huo ndio utawala wa sheria
 
Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"

Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Unaweza kuthibitisha makosa ya huyo Bashite?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…