Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wana kazi maalum ya kuwakamata watu wanao fanya dili za madawa ya kulevyaHayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"
Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??
Police Hao wataisoma #
Ova
Waondoe tuu na sisi huku mitaani tupate kazi
Ina maana hata Msigwa hujamuelewa hapo chini?!Andika kwa utaratibu basi kama ni buku zako utapata.
Pitia maandishi yako uyafanyie editing ili yaeleweke.
Ina maana hata Msigwa hujamuelewa hapo chini?!
Abwao huyu ni mchaga wa machame kwao na mbowe ,hawa wachaga na wizi ni unyayo na soks ,hata yule RPC wa kagera aliyepigwa chini kwa rushwa naye ni mchaga pia
State agent
majanga, hawa jamaa hawana utu kabisa! Unaweza kwenda Polisi ukifika wanageuza tatizo lako kuwa fursa kwao
Una macho makali kama yangu [emoji23]Naona watu wengi hawajaona dhima kuu ni hilo swala la kupokea gawio ambalo kimsigi ilibidi lifanyike jumatatu sema sababu kesho ndo siku ya kupiga kura anataka ku shift attention ili jumatatu magazeti yaripoti kuhusu gawio badala ya kuripoti watu wachache watakao kuwepo kwenye vituo vya kupiga kura hahaha
Unapaswa kujua Wamesimamishwa Kazi hawajafukuzwa pia limetumika neno tuhuma kwahiyo inahitaji uchubguzi Ili kuzithibitisha na kama sikweli wanarudi Kazini.Mwisho wa siku atakuja kutuambia mwenyewe waachiwe kama walivyoachiwa wale aliosema walichukua rushwa ya 700ml
Unaweza kuthibitisha makosa ya huyo Bashite?Hayo sasa ni maamuzi ya "kizembe"
Hivi hawa akina Bashite, wenye makosa makubwa zaidi, ni kwanini hataki kuwatimua kazi??