Dereva akikanyaga mbav za mbwa na akijaribu eithe kushika brake au kuirejesha gari basi hapo utaona gari imeanza kukatika mauno na mwisho wake ni kuzunguka mara kibao. Zile za PSU zimetengenezwa maalumu lakini hizi za kawaida zinakuwa nyepesi sana.
Labda hujawahi kuendesha kwenye barabara ya vumbi. Hilo tatizo lipo, tena kama ipo spidi inapaa kabisa. Njia pekee kwa hizi V8 za kawaida ni kwenda mwendo mdogoSina uhakika na unachokisema maana nimeendesha V8(sio yangu, raia hawachelewi kuchonga ngenga humu) lkn sikuwahi kuona hicho ulichokisema.
Na hilo tatizo la hizo v8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
Mkuu ukiendà speed ndogo ndio unaanguka kifo Cha mende dawa ya raster ni kupita ukiwa mafuta marefu wala huzisikii kabisa, kingine lazima upunguze upepo wa tairi uwe chini ya 25psi, hiyo gari usikute upepo ulikuwa 45psi hutoboiLabda hujawahi kuendesha kwenye barabara ya vumbi. Hilo tatizo lipo, tena kama ipo spidi inapaa kabisa. Njia pekee kwa hizi V8 za kawaida ni kwenda mwendo mdogo
Labda hujawahi kuendesha kwenye barabara ya vumbi. Hilo tatizo lipo, tena kama ipo spidi inapaa kabisa. Njia pekee kwa hizi V8 za kawaida ni kwenda mwendo mdogo
Mkuu sie tunakatiza na carina na uko speed hiyo V8 mbona ka naendesha chopper, hiyo gari ilikuwa speed ndogo Sana dereva kajichanganya mwenyeweSina uhakika na unachokisema maana nimeendesha V8(sio yangu, raia hawachelewi kuchonga ngenga humu) lkn sikuwahi kuona hicho ulichokisema.
Na hilo tatizo la hizo v8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
Mkuu hiyo LC200 haina shida kwani ina double wish born kwa mbele, kuiangusha ni uzembeBoss nimeuliza hilo tatizo la hizo V8 ni kwny series LC200 tu au hata kwny lc 100/105 series?
Ndio maana sielewi anaongelea V8 gani mkuu.Mkuu hiyo LC200 haina shida kwani ina double wish born kwa mbele, kuiangusha ni uzembe
Daah Aisee kweli mkuu,hayo yote mdau aliyoyasema khs V8 nimeona ni mapya sana kwangu mkuu.Mkuu sie tunakatiza na carina na uko speed hiyo V8 mbona ka naendesha chopper, hiyo gari ilikuwa speed ndogo Sana dereva kajichanganya mwenyewe
Ha ha haaaa..inaonekana hata hiyo clip uliyoiweka hapa wewe mwenyewe haujaisikiliza. Sababu ndani ya hiyo taarifa wanasema kwa "mujibu wa taarifa iliyotolewa na CHADEMA".Mgombea mwenza wa Lisu Salum Mwalimu apata ajali kitengo cha habari cha Chadema hakitoi habari zake wanamnyanyapaa
Weacha uongo gari libiringite mara tano kioo Cha mbele kiendelee kuwa kwenye gari? Hiyo imepiga mshamba tuMgombea mwenza wa Lisu Salum Mwalimu apata ajali kitengo cha habari cha Chadema hakitoi habari zake wanamnyanyapaa
Hivi Lissu kampa pole kweli? SijasikiaHa ha haaaa..inaonekana hata hiyo clip uliyoiweka hapa wewe mwenyewe haujaisikiliza. Sababu ndani ya hiyo taarifa wanasema kwa "mujibu wa taarifa iliyotolewa na CHADEMA".
Hapo sijui tukusaidieje