#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

#COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

Hakuna aliyekataa chanjo lakini lazima wataalamu wetu wajiridhishe siyo kupokea tu kama zuzu pia ujue kuwa dunia imebadirika sana binadamu wamekuwa na roho za kinyama sana kuliko hapo zamani ndiyo maana wakenya waliingia kichwa kichwa kwenye chanjo ya kizazi matokeo yake wakenya wakaumia. Hivyo lazima tujifunze kutokana makosa yaliyopita siyo kukubali tu kama mbumbumbu lazima wataalamu wetu watumike na wala siyo kila anayetaka kujiridhisha basi atafasiriwe kuwa hataki.
Mwenyekiti wako wa ccm umekataa chanjo acha kutuhadaa hapa blaablaa za kisiasa.
 
kwan WHO inaendeshwa na malaika ama? afterall ndo maaana tools zao znasoma postive mpaka kwa mbuzi

^Masks do not prevent Covid-19; people should never bother buying and wearing them^ ~ WHO

^Masks prevent Covid-19^ ~ WHO

Why did you lie, then?

WHO: ^We feared everyone everywhere would have scrambled for masks and we did not have enough of them. Health professionals that are normally at the frontline of the pandemic would have then suffered the most.^

WHO is clearly advocating an esoteric agenda.
 
JK anapiga mluzi amekunja NNE .....a nasubiri mediate tupate dawa chanjo ....na soon budget support baada kugomewa baada jiwe kutokota
 
Serikali lazima ikubali kupokea chanjo na kama inakataa lazima kuwa na hoja za msingi sana za kushawishi kuwa sio chanjo bora au ina shida. lakini kuikataa tuu haitawezekana kwa sababu uchumi wetu na kila kitu kinategemea muingiliano wa watu ni lazima chanjo tukubali kwani hili ni jambo jema kwani tuna chanjo nyingi sana tumezikubali na zimeonesha ufanisi mkubwa.

Serikali kukataa chanjo ni kuua watu wasio na hatia.

Tumesaini mikataba mingi ya kimataifa lazima tukubali chanjo hii.

Swala la chanjo ni lazima.
Wewe leo hauko upande wa JPM?kwa hiyo wewe sio mzalendo kwa kauli zenu
 
Serikali lazima ikubali kupokea chanjo na kama inakataa lazima kuwa na hoja za msingi sana za kushawishi kuwa sio chanjo bora au ina shida. lakini kuikataa tuu haitawezekana kwa sababu uchumi wetu na kila kitu kinategemea muingiliano wa watu ni lazima chanjo tukubali kwani hili ni jambo jema kwani tuna chanjo nyingi sana tumezikubali na zimeonesha ufanisi mkubwa.

Serikali kukataa chanjo ni kuua watu wasio na hatia.

Tumesaini mikataba mingi ya kimataifa lazima tukubali chanjo hii.

Swala la chanjo ni lazima.
Huyu MHALIFU hakupaswa kupewa nafasi nyingine tena ya kututawala kwa MABAVU, huyu mtu ni tatizo nadhani tumeanza kwenda sawa sasa.
 
Wewe unafikiri kupigwa ban kuingia nchi za ulaya sio mwanzo wa kutengwa.
Hapana mkuu mie nimekumbuka tu kuwa mwanzo tulitegemea kuwa tutatengwa kwa kutopima na kutoa takwimu za corona ila haikuwa hivyo.
 
Nina rafiki yangu huko Marekani hadi sasa hajachoma chanjo ya corona anasema hajaelewa elewa bado anasikilizia kwanza itakuaje.
Wengi tu, kuna demu nlikuwa nachat naye pia mimi yeye yupo Canada ananiambia pia bado hajachanjwa.. anaogopa
 
^Masks do not prevent Covid-19; people should never bother buying and wearing them^ ~ WHO

^Masks prevent Covid-19^ ~ WHO

Why did you lie, then?

WHO: ^We feared everyone everywhere would have scrambled for masks and we did not have enough of them. Health professionals that are normally at the frontline of the pandemic would have then suffered the most.^

WHO is clearly advocating an esoteric agenda.

tatizo ni hawa watu wa UFIPA
 
Dunia ni Kijiji, vyema tupate hizo chanjo ili kuruhusu watu waendelee na biashara zao hasa za kusafiri bila kuwekewa vikwazo vya kusafiri.

Tukikaidi kupewa chanjo hakuna Mtanzania ataruhusiwa kusafiri nje ya Mipaka.
kwa hiyo unadhani hiyo chanjo inafanya kazi au, tumia akili China wanatumia chanjo yao, U. S wanatumia yao, na Ulaya nao Yao kwanini wasitumie chanjo moja endelea na ushakibi
 
Tindo nimekuibua eeh! Heri ya mwaka huu 2021 dogo! Afu bado unakurupuka tu dogo! Hivi hapo umeandika nini vile!
Mwaka huu wa 2021 kwangu uko vizuri, si unajua sisi tuliojiajiri hatutegemei mbeleko ya yoyote? Kama hujaelewa nilichoandika, toa maksi za kunifelisha kwenye hiyo marking scheme yako.
 
Africa inahujumiwa kwa mengi tunayadress pale lakini Tanzania ni nchi huru ina uhuru ya kuchukua chanjo kutoka nchi yoyote itayoridhia
Lakini huwenda,kuna tamaa ya fedha watu wanataka faida kwenye afya za watu kama wanajali afya zaidi ya pesa wangekuwa na mpango wa dunia nzima kukabili hii changamoto
Tanzania mna hela gani mpaka wazungu watake kupiga kwenu? Hivi huko chattle mlizaliwa wajinga tu?
 
It is a small World after all. Kama Dunia ilivyopambana na magonjwa ya kutisha polio, kifua kikuu, Ebola (ambayo bado inasumbua) Surua n.k. ndiyo hivyo hivyo juhudi ya Dunia yote kwa kushirikiana na WHO inahitajika ili kupambana na COVID-19. Huyo anayejiita mwendawazimu hana ubavu wowote wa kushindana na Dunia.
Mkuu do you think critically. Why Asian viccine is different from Europe and U.S vaccine?. If WHO is for global health why does not join all scientists in these countries so that they could make one vaccine and use it to inject to all people in the world including them. Why Asian countries they've their own vaccine and European countries have their own vaccine.
 
Serikali isikimbilie kuchukua chanjo ambazo bado zipo kwenye majaribio, tutumie taasisi zetu wenyewe kufanya utafiti na kutengeneza chanjo.
 
Serikali lazima ikubali kupokea chanjo na kama inakataa lazima kuwa na hoja za msingi sana za kushawishi kuwa sio chanjo bora au ina shida. lakini kuikataa tuu haitawezekana kwa sababu uchumi wetu na kila kitu kinategemea muingiliano wa watu ni lazima chanjo tukubali kwani hili ni jambo jema kwani tuna chanjo nyingi sana tumezikubali na zimeonesha ufanisi mkubwa.

Serikali kukataa chanjo ni kuua watu wasio na hatia.

Tumesaini mikataba mingi ya kimataifa lazima tukubali chanjo hii.

Swala la chanjo ni lazima.

Mtu aliesema corona hakuna, unategemea akubali chanjo. Maneno yake yanamtesa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hii chanjo tutapewa bure huku wengine wakiinunua kwa gharama mara mbili!

Saa nyingine mikwara ya JPM inasaidia sana.
Umenikumbusha zamani kidogo Makampuni ya vinywaji yalikuwa yanawekwa zawadi kwenye vizibo vya soda kama kuna shindano/ bahati nasibu basi utakuta jibaba zima linachokonoa kizibo ili lipate soda ya bure.
 
Back
Top Bottom