Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hapo jamaa anasoma halafu anacheka hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hapo jamaa anasoma halafu anacheka hii
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO kanda ya Afrika Dkt. Matshdiso Moeti amesema kuwa Tanzania inatakiwa kutumia mwanya wa upatikanaji wa chanjo kwa faida ya wananchi na kanda ya Afrika Mashariki kwa ujumla.
''Tumeanza kuwasiliana upya na ngazi za juu za uongozi, na tunatoa mchango wetu kama ilivyokua hapo mwanzo, na tunataka kushirikiana na Tanzania, kwa niaba ya watu wa Tanzania, nchi jirani na dunia kwa ujumla. Sehemu ya mawasiliano yetu na Tanzania ni kukumbusha serikali kuwa, hii ni sehemu ya makubaliano ya kanuni za afya za kimataifa ambapo nchi wanachama wamekubali kwa pamoja kuzuia kusambaa kwa magonjwa'' anasema Dkt. Moeti.
WHO inasema kuwa imekua ikitoa mchango na kuwasiliana na serikali ya Tanzania kuanzia mwanzo wa janga hili la Corona. Shirika hilo pia limesisita Tanzania kutoa takwimu za mwenendo wa Corona nchini Tanzania ili iwe rahisi katika kupambana na kuzuia maambukizi mapya.
Naye katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Ghebreyesus anasema anaunga mkono alichosema @MoetiTshidi, anatoa rai hatua dhabiti za kiafya kukabiliana dhidi ya corona zinapaswa kufuatwa na kujiandaa kupokea chanjo.
Takwimu ni suala la muhimu pia kwa Tanzania kuzitoa, tena baada ya kesi za miongoni mwa wasafiri na wageni katika miezi ya hivi karibuni.
Chanzo: BBC SWAHILI
Mkuu inabidi uwarudishie hela zao. Lobbying yako inagonga mwamba!Serikali lazima ikubali kupokea chanjo na kama inakataa lazima kuwa na hoja za msingi sana za kushawishi kuwa sio chanjo bora au ina shida. lakini kuikataa tuu haitawezekana kwa sababu uchumi wetu na kila kitu kinategemea muingiliano wa watu ni lazima chanjo tukubali kwani hili ni jambo jema kwani tuna chanjo nyingi sana tumezikubali na zimeonesha ufanisi mkubwa.
Serikali kukataa chanjo ni kuua watu wasio na hatia.
Tumesaini mikataba mingi ya kimataifa lazima tukubali chanjo hii.
Swala la chanjo ni lazima.
Warudisheni fedha zao, hamuwezi kufanya biashara kichaa juu ya afya za watanzania.Kama Magu hataki chanjo sie tunataka ,WHO komaeni iletwe TZ maana maisha ya WaTZ sio mali ya MAGU.
Ila Hawa wazungu, mambo ya chanjo tena aaaaagh[emoji21]
Siasa against science....Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO kanda ya Afrika Dkt. Matshdiso Moeti amesema kuwa Tanzania inatakiwa kutumia mwanya wa upatikanaji wa chanjo kwa faida ya wananchi na kanda ya Afrika Mashariki kwa ujumla.
''Tumeanza kuwasiliana upya na ngazi za juu za uongozi, na tunatoa mchango wetu kama ilivyokua hapo mwanzo, na tunataka kushirikiana na Tanzania, kwa niaba ya watu wa Tanzania, nchi jirani na dunia kwa ujumla. Sehemu ya mawasiliano yetu na Tanzania ni kukumbusha serikali kuwa, hii ni sehemu ya makubaliano ya kanuni za afya za kimataifa ambapo nchi wanachama wamekubali kwa pamoja kuzuia kusambaa kwa magonjwa'' anasema Dkt. Moeti.
WHO inasema kuwa imekua ikitoa mchango na kuwasiliana na serikali ya Tanzania kuanzia mwanzo wa janga hili la Corona. Shirika hilo pia limesisita Tanzania kutoa takwimu za mwenendo wa Corona nchini Tanzania ili iwe rahisi katika kupambana na kuzuia maambukizi mapya.
Naye katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Ghebreyesus anasema anaunga mkono alichosema @MoetiTshidi, anatoa rai hatua dhabiti za kiafya kukabiliana dhidi ya corona zinapaswa kufuatwa na kujiandaa kupokea chanjo.
Takwimu ni suala la muhimu pia kwa Tanzania kuzitoa, tena baada ya kesi za miongoni mwa wasafiri na wageni katika miezi ya hivi karibuni.
Chanzo: BBC SWAHILI
Hivi chanjo ya ndugu na sulua ulichanjwa ya Urusi.Naona afadhali tupewe chanjo za nchi za mashariki kama urusi, chanjo za nchi za magharibi siyo. Sijawahi kuwa amini sana wazungu wa magharibi.
Taarifa nilizonazo baada ya kukagua website ya WHO kwa haraka haraka sikuona mahali zilipo maabara za WHO za kuzalisha na kufanyia majaribio ya chanjo hizo wanazofekea watu!!! Kwa hiyo, nadhani WHO haina facilities hizo, ingawa wanasema wana " Science division" na inajishughulisha na utafiti!! ! Kama WHO haina hivyo vitu, basi inawezekana kabisa inawategemea wafanyabiashara wa chanjo hizo kwenye tafiti; wafanyabiashara hawa kuna uwezekano mkubwa pia wanaathiriwa sana na maamuzi ya nchi wanako endesha shughuli zao! HII inatoa mwanya wa uwezekano mkubwa WHO kutumiwa vibaya na nchi zenye hila!Kama Magu hataki chanjo sie tunataka ,WHO komaeni iletwe TZ maana maisha ya WaTZ sio mali ya MAGU.
Hayo ya bei unayajua wewe kinachotakiwa watu wapate chanjo.Hujasikia mkuu who amesema anafanya mazunguzmzo na tz?
Au ulitaka na sisi tununue kwa bilion 6 badala ya 2 kama ilivyotkea kwa Afrika kusini?
Unachekesha unasema yaani leo baada ya kukagua website hukuona maabara ya Who dah!Taarifa nilizonazo baada ya kukagua website ya WHO kwa haraka harak sikuona mahali zilipo maabara za WHO za kuzalisha na kuafanyia majaribio ya chanjo hizo wanazofekea watu!!! Kwa hiyo, nadhani WHO haina fafilities hizo, ingawa wanasema wana " Science division" na inajishughulisha na utafiti!! ! Kama WHO haina hivyo vitu, basi inawezekana kabisa inawategemea wafanyabiashara wa chanjo hizo kwenye tafiti; wafanyabiashara hawa kuna uwezekano mkubwa pia wanaoathiriwa sana na maamuzi ya nchi wanako endesha shughuli zao! HII inatoa mwanya wa uwezekano mkubwa WHO kutumiwa vibaya na nchi zenye hila!
Wewe una maabara kuwazidi WHO?Hakuna aliyekataa chanjo lakini lazima wataalamu wetu wajiridhishe siyo kupokea tu kama zuzu pia ujue kuwa dunia imebadirika sana binadamu wamekuwa na roho za kinyama sana kuliko hapo zamani ndiyo maana wakenya waliingia kichwa kichwa kwenye chanjo ya kizazi matokeo yake wakenya wakaumia. Hivyo lazima tujifunze kutokana makosa yaliyopita siyo kukubali tu kama mbumbumbu lazima wataalamu wetu watumike na wala siyo kila anayetaka kujiridhisha basi atafasiriwe kuwa hataki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe hata airport utakua hujawahi kufika [emoji23][emoji23][emoji23]Hatupokei chanjo za kuletewa, watusubiri tutengeneze zetu na wao wawe tayari kuzipokea! Wapuuzi sana hawa! Kwetu tatizo siyo corona sisi tunataka chanjo ya malaria, kifua kikuu, ukimwi, kisonono, gonora, pressure, na kansa!
Hiyo covid-19 wapambane nayo wenyewe, siye huku Mungu ameshatuchanja! Huo ujuha wapeane wenyewe! Tanzania tutasimama kwa neema ya Mungu!
Huwenda hatuna ushahidi wa kisayansi lakini tuna ushahidi wa kimazingira wa waafrika kuhujumiwa katika mambo mengi tu ikiwemo katika afya huwenda huu ni mpango wa kibiashara na kama dunia iko fair itumike chanjo moja kwa dunia nzima ili kukabili hii changamoto lakiniMwambie Meko atoe ushahidi wa kisayansi wa kutokuwa na imani sio maneno matupu,halafu atengenenze dawa ipelekwe WHO kuthibitishwa ili achanje Watanzania wasiendelee kufa.
Nipe coordinate za hiyo maabara, na mimi nitoe ushamba huu. Naisubiri kwa hamu sana!Unachekesha unasema yaani leo baada ya kukagua website hukuona maabara ya Who dah!
Tupe coordinates tafadhali.Wewe una maabara kuwazidi WHO?
Tindo nimekuibua eeh! Heri ya mwaka huu 2021 dogo! Afu bado unakurupuka tu dogo! Hivi hapo umeandika nini vile!?Amemka ww, majuha wameisha ww bado unalazimisha wawepo.
Si Magu huyohuyo alisitisha upimaji wa Korona Tanzania na Kuutangazia ulimwengu kwamba hakuna Corona,sio yeye aliagiza wapime Oilchafu,mapapai na mafesnesi, na kusema yana Corona?Magufuli sio WHO,yeye kasema kwa maoni yake binafsi,na sifikiri kama ni msimamo wa serikali.
Sema swala hilo liachiwe wataalamu wa afya,Magu sio daktari wa watu,wanyama au mimea.