Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana mnakuwa wapumbavu sana!Thanks
Nyerere alikua Ana akili ndugu,tumechanjwa enzi za Nyerere chanjo za polio,ndui na magonjwa mengine.
Kiambie kimungu chako kikatae changing hii uone jinsi kitakavyo tengwa Hadi na mke wake.
Suala la afya Ni la kidunia wewe kichwa sambusa.
Kwani chanjo zote tunazotumia toka enzi na enzi huwa zinatoka nchi za mashariki au magharibi tuanzie hapo.Naona afadhali tupewe chanjo za nchi za mashariki kama urusi, chanjo za nchi za magharibi siyo. Sijawahi kuwa amini sana wazungu wa magharibi.
Pole sana. Mpaka umri huo, bado hujui kuwa nchi maskini kama Tanzania, miaka yote hatununui chanjo? Mama yako aliwahi kukueleza kuwa alilipa chanjo yako ya polio, surua, kifaduro au pepopunda?Sijasema hivyo!
Lakini wanaposema tujiandae kupokea chanjo, chanjo kutoka wapi? Si lazima tuagize kwa kutoa hela ili watuletee? Sasa tusipotoa hela inakuwaje?
Mwisho wa siku watazileta bure.
Si umeona South wamenunua kwa bei mara 2 ya bei ya sokoni?
Endeleeni kuzunguka zunguka mtasema tu muda ukifika .[emoji23][emoji23]Hajasema hivyo usimwekee maneno. Alichosema tusikimbilie chanjo bila kujiridhisha ni salama by the way chanjo yoyote huwezi lazimishwa kuchanjwa. Chanjo zipo siku nyingi na hakuna mtu alishalazimishwa kuchanjwa bali ni hiari unless unataka kwenda kwenye nchi zao.
Kwahiyo mnataka kubembelezwa ndio mtazipokea na kuzitumia?Ndiyo sasa wao wanatulazimishaje?
Ndio maana nasema mwisho wa siku watatubembeleza alafu wataleta chanjo bure
Huna imani na hiyo chanjo kwa vigezi vipi? kwa study zipi? WHO lazima watamuuliza waziri wa afya ni kwanini wana kataa chanjo na lazima atoe majibu ya kisayansi sio hapa tuu bila sababu.Ikiwa hatuna imani na hiyo chanjo tuipokee tu na tuchanjwe kwa kuwa tuna mkataba na who?
Sisi wenyewe tumo kwenye tafiti kwaajili ya chanjo yetu na kama hawataki tuwe na mtazamo wetu basi dunia ikubaliane chanjo ya aina moja itumike kwa dunia nzima Otherwise hatupangiwi maisha wapeleke iyo chanjo kwanza china kwa kuwa wote ni binadamu na wanaishi kwenye dunia hiihii sisi afrika hatujapata madhara pakubwa kama wao waanzie huko kote
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kutaka wizara ya afya kutokukimbilia chanjo ya Corona, Shirika la Afya Duniani WHO imeitaka nchi hiyo kujiandaa na chanjo ya Corona kama mataifa mengine duniani.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao, mkuu wa WHO kanda ya Afrika Dkt. Matshdiso Moeti amesema kuwa Tanzania inatakiwa kutumia mwanya wa upatikanaji wa chanjo kwa faida ya wananchi na kanda ya Afrika Mashariki kwa ujumla.
''Tumeanza kuwasiliana upya na ngazi za juu za uongozi, na tunatoa mchango wetu kama ilivyokua hapo mwanzo, na tunataka kushirikiana na Tanzania, kwa niaba ya watu wa Tanzania, nchi jirani na dunia kwa ujumla. Sehemu ya mawasiliano yetu na Tanzania ni kukumbusha serikali kuwa, hii ni sehemu ya makubaliano ya kanuni za afya za kimataifa ambapo nchi wanachama wamekubali kwa pamoja kuzuia kusambaa kwa magonjwa'' anasema Dkt. Moeti.
WHO inasema kuwa imekua ikitoa mchango na kuwasiliana na serikali ya Tanzania kuanzia mwanzo wa janga hili la Corona.
Shirika hilo pia limesisita Tanzania kutoa takwimu za mwenendo wa Corona nchini Tanzania ili iwe rahisi katika kupambana na kuzuia maambukizi mapya.
Naye katibu mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Ghebreyesus anasema anaunga mkono alichosema @MoetiTshidi, anatoa rai hatua dhabiti za kiafya kukabiliana dhidi ya corona zinapaswa kufuatwa na kujiandaa kupokea chanjo.
Takwimu ni suala la muhimu pia kwa Tanzania kuzitoa, tena baada ya kesi za miongoni mwa wasafiri na wageni katika miezi ya hivi karibuni.
Chanzo: BBC SWAHILI
Wewe ni kapumbavu sana yani.Pole sana. Mpaka umri huo, bado hujui kuwa nchi maskini kama Tanzania, miaka yote hatununui chanjo? Mama yako aliwahi kukueleza kuwa alilipa chanjo yako ya polio, surua, kifaduro au pepopunda?
Chini ya makubaliano ya kimataifa, we maskini ambaye unatoka katika nchi ambayo wastani wa kipato ni chini ya dola 1 kwa siku, unapewa bure. Wanalipa wenye pesa. Kwa akili yako, serikali hii ya Jiwe inaweza kutoa dola 200 ya chanjo kwa kwaajili ya kila mtanzania?
$200 × 60,000,000 = 12,000,000,000.
Hata ile ya kupambana na Covid 19, dola 3m, alikopa. Baadaye tukaonewa huruma, tukachangiwa changiwa zikafika karibia $50m. Jiwe kuona zipo nyingi akazipeleka kugharamia uchaguzi, halafu akajigamba, "kwa mara ya kwanza tumefanya uchaguzi kwa kugharamia wenyewe", wajinga wengi wakashangilia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujasikia mkuu who amesema anafanya mazunguzmzo na tz?Kwahiyo mnataka kubembelezwa ndio mtazipokea na kuzitumia?
Mwambie Meko atoe ushahidi wa kisayansi wa kutokuwa na imani sio maneno matupu,halafu atengenenze dawa ipelekwe WHO kuthibitishwa ili achanje Watanzania wasiendelee kufa.Ikiwa hatuna imani na hiyo chanjo tuipokee tu na tuchanjwe kwa kuwa tuna mkataba na who?
Sisi wenyewe tumo kwenye tafiti kwaajili ya chanjo yetu na kama hawataki tuwe na mtazamo wetu basi dunia ikubaliane chanjo ya aina moja itumike kwa dunia nzima Otherwise hatupangiwi maisha wapeleke iyo chanjo kwanza china kwa kuwa wote ni binadamu na wanaishi kwenye dunia hiihii sisi afrika hatujapata madhara pakubwa kama wao waanzie huko kote
Uwe una fikiri nje ya box. kila chanjo ina masharti yake na mazingira yake na si kila chanjo ni lazima lakini kuna chanjo ni lazima hasa ya magonjwa kadhaa kama hii ya COVID 19.Lakini siyo lazima kila Mtanzania achanjwe. Chanjo hata leo hii zipo nyingi tu hapa TZ lakini hawalzkmishwi kuchanjwa. Juzi tu watu watz walikuwa wanachanjwa chanjo ya Homa ya Manjano lakini siyo lazima.
Mkuu nenda kachanjwe kama unatakaUwe una fikiri nje ya box. kila chanjo ina masharti yake na mazingira yake na si kila chanjo ni lazima lakini kuna chanjo ni lazima hasa ya magonjwa kadhaa kama hii ya COVID 19. Chanjo nyingine zina masharti ya umri fulani ndio maana kuna chanjo kama za polio, pepopunda n.k watu wengi tumechanjwa tukiwa wadogo hivyo unaweza ukadhani una survive tuu kumbe ulisha chanjwa ndio maana kuna magonjwa hupati. hata hii ni lazima kulingana na hali ya dunia ...Tanzania inategemea watalii na inategemea watu wa mataifa mengine kiuchumi hivyo swala la chanjo ni lazima.
Tunataka hoja za kisayansi kukataa chanjo hizo
Kaka, Mimi nakazia kabisa, sichanjwi, na sina mpango wa kuchanjwa hata Rais akibadirika.Kwa hivyo tutachanjwa kwa lazima whether we like it or not!
Mimi nasimama na Jiwe hachanjwi mtu hapa hahaa!
Huyo jamaa ndio atakua wa kwanza kuchanjawa tulia hivyo hivyoKwa hivyo tutachanjwa kwa lazima whether we like it or not!
Mimi nasimama na Jiwe hachanjwi mtu hapa hahaa!