Kuwa HIV + hakukufanyi kutokujikinga kwa kuvaa Condom unapo-sex.Watu wengi hamna taarifa za kutosha. Unajua kwamba ukishapata chanjo bado utaendelea kuvaa barakoa na tahadhari zingine?
Ni vema mjitahidi kupata taarifa sahihi kabla ya kuweka ushabiki kwenye afya zenu. Kumbuka uhai hauna shamba kwamba utavuna tena. Ukiondoka haurudi. Nakuwekea hapo chini baadhi ya taarifa za CDC. Soma mwenyewe kama lugha ya wenyewe inapanda, amua mwenyewe kwa kuwa na taarifa sahihi
😅😅😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwisho wa siku hii chanjo tutapewa bure huku wengine wakiinunua kwa gharama mara mbili!
Saa nyingine mikwara ya JPM inasaidia sana.
Tatizo unaongea unavyowaza sio uhalisia ulivyo. Maadam afya ni yako uamuzi ni wako. Hakuna chanjo ya gonjwa jipya ambalo hata wataalam hawajalijua vyema inatoka ndani ya muda mfupi. Kila la kheri katika kuwasaidia kufanya majaribio.Kuwa HIV + hakukufanyi kutokujikinga kwa kuvaa Condom unaposex.
Hilo pia lita apply hata kwenye covid19 hata baada ya kupata chanjo, virus wenyewe wanabadirika chief.
Kachanjwe ww na familia yako! Wengine tunayo kinga tayari!Jumla watu 61.5M. Tunahitaji chanjo kwa watu kuanzia miaka 36 kwasababu chini ya hapo wanaweza kuhimili huu ugojwa na hakuna rekodi ya vifo kubwa. Hivyo tunahitaji chanjo milioni 12.5M. Ambao hawataki zitakuwa akiba.
- Wazee zaidi ya miaka 64 ni 3.8% 2.3M
- Miaka 36-63 ni 16.6% 10.2M
- Miaka 15-35 ni 35.5% 21.8M
- Miaka chini ya miaka 15 44% 27.1M
Wao wantuhitaji sana sisi kuliko tunavyowahitaji wao.Habari ya saa hizi waungwana.
Yako itakuwa akiba! ndugu yako akibanwa kifua kwa ugojwa ukianza kulia chanjo itakuwepo. Ukibanwa kifua utasahau hata kusali uliza ambao wana pumu mbaya!Kachanjwe ww na familia yako! Wengine tunayo kinga tayari!
Tutaanda incinerator za kuziteketeza, waache walete!Wazilete tu hawakumbuki yale mabarakoa tuliyafanza nini eh shenziii
Naona mmeanza kupata akiliSerikali lazima ikubali kupokea chanjo na kama inakataa lazima kuwa na hoja za msingi sana za kushawishi kuwa sio chanjo bora au ina shida. lakini kuikataa tuu haitawezekana kwa sababu uchumi wetu na kila kitu kinategemea muingiliano wa watu ni lazima chanjo tukubali kwani hili ni jambo jema kwani tuna chanjo nyingi sana tumezikubali na zimeonesha ufanisi mkubwa....
Atashinda vipi ikiwa hta bunduki anasubiri atengenezewe na beberu!?Hatuangalii historia we mtu mwetu mweusi. Huyuu ndo atakuwa wa kwanza kushinda hao waume zako beberuru..alaf kizaz chako cha vilaza ndo kitaanza kutambua kuwa kuna rais wa africa aliewah kuahinda beberu.
Mimi na watanzania hatutabanwa kifua! Labda wewe na familia yako kama mnatamani saana kubanwa na kifua kabebeleeni hizo chanjo msijaze kwenye majokofu kwa akiba! Aliyekuambia zina tibu ni nani huyo!? Jidunge sumu tu urudishe namba mapema!Yako itakuwa akiba! ndugu yako akibanwa kifua kwa ugojwa ukianza kulia chanjo itakuwepo. Ukibanwa kifua utasahau hata kusali uliza ambao wana pumu mbaya!
Kwani hio Chanjo kazi yake ni nini?Dunia ni Kijiji, vyema tupate hizo chanjo ili kuruhusu watu waendelee na biashara zao hasa za kusafiri bila kuwekewa vikwazo vya kusafiri.
Tukikaidi kupewa chanjo hakuna Mtanzania ataruhusiwa kusafiri nje ya Mipaka.
Yaani usodoma wako uwasingizie wazungu.Corona hatuna, sasa mambo ya kuchanjana yanatoka wapi?
Hizi chanjo ndio zinazalisha mashoga hizi.
Miaka ya sabini machoko walikua wachache sana tofauti na sasa.