Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kuwa HIV + hakukufanyi kutokujikinga kwa kuvaa Condom unapo-sex.Watu wengi hamna taarifa za kutosha. Unajua kwamba ukishapata chanjo bado utaendelea kuvaa barakoa na tahadhari zingine?
Ni vema mjitahidi kupata taarifa sahihi kabla ya kuweka ushabiki kwenye afya zenu. Kumbuka uhai hauna shamba kwamba utavuna tena. Ukiondoka haurudi. Nakuwekea hapo chini baadhi ya taarifa za CDC. Soma mwenyewe kama lugha ya wenyewe inapanda, amua mwenyewe kwa kuwa na taarifa sahihi
Hilo pia lita apply hata kwenye covid19 hata baada ya kupata chanjo, virus wenyewe wanabadirika chief.