Ni maoni yako. Lakini ukweli nikuwa chanjo sio lazima. Na iwapo nilazima kuna walakini. Hatuihitaji.Kuhusu Chanjo, ni kweli Tanzania sio kisiwa hivyo kwa niaba ya wananchi, serikali Ina wajibu wa kukubaliana na suala la Chanjo kwa raia wake.
Lakini suala la kutangaza taarifa sidhani Kama linaathiri mapambano dhida ya janga Hilo.
Mkuu bado unachanjo za mabeberu mwilini; pepopunda, polio, surua, nkKachanjwe ww na familia yako! Wengine tunayo kinga tayari!
Daa!!yaani haya majina mengine huwa hamuyatendei haki kabisa!!"alexander the Great"anakuwa na mawazo ya ki ZERO"!!hebu jaribu kuajiangalia kwenye bega lako, ukiona kuna kovu tu jua tayari, hayo uliyoandika lazima uwe nayo, kama bado basi jiandae ni suala la muda tu!!japo hiyo chanjo ulipigwa bila kujijua ila ndio basi tena, lazima madhara hayo yakupate!!Ukute hizo chanjo zinaua nguvu za kiume na kutia use*ge.
Wangapi mpo tayari kuchanjwa?
Uliyeshikiwa akili na ufahamu ni ww! Ndio maana upo kama zombi kupokea kila ujinga kutoka kwa wazingu! Asiyeshikiwa akili anakataa kwa kitu asichokitaka! Sayansi ni kama kisu...unaweza tumia kuandaa chakula na pia kinaweza geuka kuwa siraha ya maangamizi...inategemeana na nani amekishika wakati huo! Kama umeachiwa akili japo kidogo utaelewa nacho maanisha!Kushikiwa akili ni shida kweli!!nyie tumeshawazoea huwa mna akili za kushikiwa tu, (kufuata upepo)kesho meko akisema kuwa hizo chanjo zimeagizwa na zitaanza kuwasiri nchini , mtajitokeza tena kuanza kumpongeza kuwa ni rais msikivu!!yaani hata huwa hamueleweki!!!hilo suala la chanjo halina mjadala ni suala la muda tu!!kuna mambo ya kimataifa, hasa yahusuyo afya kwa wananchi wako, sio yako tu kama rais!!
Daaa!!kauli ya juzi ya meko tayari umeshayaamini kuliko watu waliokaa maabara na kuumiza vichwa na pesa ?hatuwashangai hata miaka ile ARV'S cjui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati zinaanza kutumika barani Afrika, ukosoaji kama huu ulikuwepo sana!!lakini niambie ni waafrika wangapi wakiwemo ndugu zako, wamefika leo hii kwa msaada wa hizi ARV, ??Mzungu akichomoa betri tu kufadhiri hizi dawa, tutatafutana!!!ukishazoea uongo wa kwenye siasa unataka kuuleta na kwenye mambo ya sayansi?!!
Nmecheeeka saana ata mmiHapo jamaa anasoma halafu anacheka hii
Unataka kubishana na watu wanaoangalia conspiracy theories bila kutafakari?JE KUNA MTU HAPA AMBAYE HANA CHANJO! Naona watu wanaongea kama vile hawana chanjo kwanini bado tunawapeleka watoto wetu kwenye chanjo? na hizi zetu tulizonazo zilitengenezwa wakati wa ubaguzi kuliko leo!!. Zamani kulikuwa kuna ukoma umekomeshwa na chanjo sio watu kuongea pumba za vijiweni. Kama tulivyosema wasiotaka haina shida tutaweka akiba huwezi kulazimisha watu wazima lakini hatuwezi kuwaacha wazazi wetu bila chanjo kama zipo. wasiotaka waendelee kuongea na kutunga stori za mabeberu!
Hizo zilitengenezwa kwa kufuata maadili yote ya kuandaa chanjo na watu waliokuwa waadirifu! Sivyo ilivyo kwa sasa na kwa chanjo jaribio hii! Hivi ww ni mbumbumbu kiasi hicho kweli au unatania!Mkuu bado unachanjo za mabeberu mwilini; pepopunda, polio, surua, nk
Tizama hapa, Kisha tafakari[emoji116]Sijaelewa kwanini waafrika wengi wanaigomea hii chanjo. Kuanzia wa huko mbele mpaka sisi huku Afrika.
Mbona tuna chanjo nyingi ambazo wametuletea mabeberu kuanzia zile za uchanga mpaka chanjo ya homa ya ini hakuna hata moja tunazotengeneza wenyewe.
Tulisha wazoea, wala hamtupi tabu!!ndio anawaaminisha eti tuko kwenye vita ya kiuchumi!!mzungu aamue kuwa na vita na TZ, mwaka mmoja ni mrefu sana!!kila siku mnawaomba pesa, na madini yako yote kuuzwa nje, ni lazima mzungu akukubalie, akikataa tu, hutayauza kokote duniani!!!Uliyeshikiwa akili na ufahamu ni ww! Ndio maana upo kama zombi kupokea kila ujinga kutoka kwa wazingu! Asiyeshikiwa akili anakataa kwa kitu asichokitaka! Sayansi ni kama kisu...unaweza tumia kuandaa chakula na pia kinaweza geuka kuwa siraha ya maangamizi...inategemeana na nani amekishika wakati huo! Kama umeachiwa akili japo kidogo utaelewa nacho maanisha!
Ni suala la muda tu.Kushikiwa akili ni shida kweli!!nyie tumeshawazoea huwa mna akili za kushikiwa tu, (kufuata upepo)kesho meko akisema kuwa hizo chanjo zimeagizwa na zitaanza kuwasiri nchini , mtajitokeza tena kuanza kumpongeza kuwa ni rais msikivu!!yaani hata huwa hamueleweki!!!hilo suala la chanjo halina mjadala ni suala la muda tu!!kuna mambo ya kimataifa, hasa yahusuyo afya kwa wananchi wako, sio yako tu kama rais!!
Daaa!!kauli ya juzi ya meko tayari umeshayaamini kuliko watu waliokaa maabara na kuumiza vichwa na pesa ?hatuwashangai hata miaka ile ARV'S cjui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati zinaanza kutumika barani Afrika, ukosoaji kama huu ulikuwepo sana!!lakini niambie ni waafrika wangapi wakiwemo ndugu zako, wamefika leo hii kwa msaada wa hizi ARV, ??Mzungu akichomoa betri tu kufadhiri hizi dawa, tutatafutana!!!ukishazoea uongo wa kwenye siasa unataka kuuleta na kwenye mambo ya sayansi?!!
Kesho yako huijui, nadhani wewe ni mtotoKachanjwe ww na familia yako! Wengine tunayo kinga tayari!
Makubaliano ya Kanuni za Afya za Kimataifa ni kuhusu CHANJO haitaji ni chanjo gani.Hayo makubaliano hayakuwa ya kuhusu covid
Kwanini una sababu zozote za kisayansi au mnataka kuingiza siasa kwenye afya za watu.Serikali ikubali kupokea chanjo toka Russia na Cuba peke yake. Chanjo za nchi za magharibi wasizikubali kabisa.
Sasa kama wao wamechanjwa.Mkuu hukuwahi kupata chanjo yeyote toka utoto mpaka umri huo ukajua maana yake Mkuu ??
Chanjo ya kulazimishwa inatia shaka sana.Kwa hivyo tutachanjwa kwa lazima whether we like it or not!
Mimi nasimama na Jiwe hachanjwi mtu hapa hahaa!