Kushikiwa akili ni shida kweli!!nyie tumeshawazoea huwa mna akili za kushikiwa tu, (kufuata upepo)kesho meko akisema kuwa hizo chanjo zimeagizwa na zitaanza kuwasiri nchini , mtajitokeza tena kuanza kumpongeza kuwa ni rais msikivu!!yaani hata huwa hamueleweki!!!hilo suala la chanjo halina mjadala ni suala la muda tu!!kuna mambo ya kimataifa, hasa yahusuyo afya kwa wananchi wako, sio yako tu kama rais!!
Daaa!!kauli ya juzi ya meko tayari umeshayaamini kuliko watu waliokaa maabara na kuumiza vichwa na pesa ?hatuwashangai hata miaka ile ARV'S cjui kama ulikuwa umeshazaliwa wakati zinaanza kutumika barani Afrika, ukosoaji kama huu ulikuwepo sana!!lakini niambie ni waafrika wangapi wakiwemo ndugu zako, wamefika leo hii kwa msaada wa hizi ARV, ??Mzungu akichomoa betri tu kufadhiri hizi dawa, tutatafutana!!!ukishazoea uongo wa kwenye siasa unataka kuuleta na kwenye mambo ya sayansi?!!