Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
wananchi wapi? labda wa mwanza waliovamia airport magufuli akasema wasiondolewe kwa sababu walimpa kura. Lakini wananchi wa morogoro road waliokuwa na hati miliki zinazolipiwa serikalini wakabomolewa bila huruma kwa sababu wengi wao siyo wasukuma wenzake!Kwa stahili hiiii, Unadhan Wananchi wa Tanzania, utawaeleza nn kuhusu JPM Hadi wamuone mbaya??.
Mimi nadhani ni wapumbavu tu ndo wanaweza kupambana na Hayati JPM
Humu humpati wamanasheria katu. hakuna wartu wa hovyo kama wanasheria hasa mawakili. Wachoyo, roho mbaya na wanafiki. Uanasheria ni elimu ya kupingana na Haki..by Shaaban Robert1wanasheria jitokezeni
Hivi kirefu cha ddc ndo ddc mliman park au? Wana tofauti gan na cda dodoma?Maeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa HAKI za binadamu na haikubaliki kunyanyasa raia wa nchi hii.
Ombi kwa serikali kuu ingilieni mtafaruku huu utasababisha uvunjifu wa amani pasipo sababu zozote. Muda wote walikuwa wapi hao DDC wakavizia wananchi wameuziwa na kujenga nyumba kisha waende kupora ardhi na kuvunja nyumba zao bila fidia?
Mada iko mezani wadau na wanasheria jitokezeni kukomesha uonevu huu. Mbunge wa Kawe yuko wapi?
wananchi wapi? labda wa mwanza waliovamia airport magufuli akasema wasiondolewe kwa sababu walimpa kura. Lakini wananchi wa morogoro road waliokuwa na hati miliki zinazolipiwa serikalini wakabomolewa bila huruma kwa sababu wengi wao siyo wasukuma wenzake!
Shirika la Uchumi la Jiji la Dar es Salaam (DDC)Hivi kirefu cha ddc ndo ddc mliman park au? Wana tofauti gan na cda dodoma?
Yaan tumkumbuke muuajiKwa stahili hiiii, Unadhan Wananchi wa Tanzania, utawaeleza nn kuhusu JPM Hadi wamuone mbaya??.
Mimi nadhani ni wapumbavu tu ndo wanaweza kupambana na Hayati JPM
Kirefu chake ni 'District Development Cooperation-DDC' likijumuisha wilaya zote za wakati huo za Dar Es Salaam ambalo lilianzishwa na serikali mnamo tarehe 18/5/1971 na miradi yake ilikuwa DDC Kariakoo, DDC Mlimani, DDC Magomeni, DDC Keko, Garage, Mashamba nkHivi kirefu cha ddc ndo ddc mliman park au? Wana tofauti gan na cda dodoma?
Mpumbavu ni wewe unayedhania Magufuli ana nguvu wakati analiwa na mchwa huko Chato.Kwa stahili hiiii, Unadhan Wananchi wa Tanzania, utawaeleza nn kuhusu JPM Hadi wamuone mbaya??.
Mimi nadhani ni wapumbavu tu ndo wanaweza kupambana na Hayati JPM
Hiyo ddc ipo hao wavamizi wakiwa watotoMaeneo kadhaa huko Mbopo, Kinondo na sehemu fulani huko Mabwepande shirika la DDC linadaiwa kuvamia raia na kuyapora maeneo wakidai ni ya kwao. Nyumba zinavunjwa viwanja walivyonunua wananchi kwa taratibu kabisa na uwepo wa wajumbe wa maeneo husika lakini wanakuja kuwapora huu ni uvunjifu wa HAKI za binadamu na haikubaliki kunyanyasa raia wa nchi hii.
Ombi kwa serikali kuu ingilieni mtafaruku huu utasababisha uvunjifu wa amani pasipo sababu zozote. Muda wote walikuwa wapi hao DDC wakavizia wananchi wameuziwa na kujenga nyumba kisha waende kupora ardhi na kuvunja nyumba zao bila fidia?
Mada iko mezani wadau na wanasheria jitokezeni kukomesha uonevu huu. Mbunge wa Kawe yuko wapi?
Ukipita maeneo husika, Manzese ni kama masaki Sio Kwa uchafuzi uliopo!! Na nasikia Hawa wavamizi walinunua viwanja Kwa tzs 150,000 (10*10m)kutoka Kwa wajumbe WA chama 2017, Makonda alitumia nafasi hiyo pia kupora baadhi ya maeneo kwenye huu mvurugano na wengine kuporwa kiitikadi, Mfano Sumayi wakati huo CDMHiyo ddc ipo hao wavamizi wakiwa watoto
Usije kuwa na chuki binafsi!? Ila toa factsNinajua vizuri sana hili sakata na kesho nitakuja na Uzi kuhusu eneo hili ambalo aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwan Kikwete aliwauzia wawekezaji kutoka Uturuki bila uhalali Sasa mwekezaji aliyeuziwa anadai eneo lake anataka kujenga malls. Ridhiwan aliwadanganya Waturuki eti eneo hilo ni pori na akaliondoa kwenye ramani ya google. Dogo jizi sana.
Ila Hawa wavamizi ni WA 2017 TU, waondoke TU Sio Kwa kuharibu Jiji kihivyo, kizazi chetu kitakuja kutushangaaKuna wakili mmoja nimesoma mahali anadai iwapo mtu atavamia eneo lisilo lake na akaliendeleza kwa miaka 12 mfululizo bila mmiliki halali kujitokeza basi eneo hilo linatambulika lake kisheria.
Hii sheria ya aridhi ipo kweli au jamaa ni wale bush lawyers?