Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda vitendo vya kuweza kudhuru akili au mwili na pia kutengeneza mazingira magumu kwa binadamu kuishi. Ripoti ikasema vitendo ambavyo Israel inafanya huko Gazs vinakamilisha kila kipengele.

Kisha ripoti ikaendelea kusema, matendo ya kidhalimu dhidi ya wapalestina ambayo Israel inayafanya systematically huku yakijirudiarudia yanadhihirisha lengo la Israel kutekeleza mauaji ya Kimbari.

Ripoti hiyo ikazionya nchi zinazoipa au kuiuzia Silaha Israel ikiwemo Marekani, Uingereza na Ujerumani kuwa nazo zinaweza kuwa zinasaidia utekelezwaji wa Genocide!.

Habari kuhusu hii ripoti ya Amnesty International unaweza kuipata hapa.

==========================================================

Amnesty International’s research has found sufficient basis to conclude that Israel has committed and is continuing to commit genocide against Palestinians in the occupied Gaza Strip, the organization said in a landmark new report published today.

The report, ‘You Feel Like You Are Subhuman’: Israel’s Genocide Against Palestinians in Gaza, documents how, during its military offensive launched in the wake of the deadly Hamas-led attacks in southern Israel on 7 October 2023, Israel has unleashed hell and destruction on Palestinians in Gaza brazenly, continuously and with total impunity.

“Amnesty International’s report demonstrates that Israel has carried out acts prohibited under the Genocide Convention, with the specific intent to destroy Palestinians in Gaza. These acts include killings, causing serious bodily or mental harm and deliberately inflicting on Palestinians in Gaza conditions of life calculated to bring about their physical destruction. Month after month, Israel has treated Palestinians in Gaza as a subhuman group unworthy of human rights and dignity, demonstrating its intent to physically destroy them,” said Agnès Callamard, Secretary General of Amnesty International. 

“Our damning findings must serve as a wake-up call to the international community: this is genocide. It must stop now.

“States that continue to transfer arms to Israel at this time must know they are violating their obligation to prevent genocide and are at risk of becoming complicit in genocide. All states with influence over Israel, particularly key arms suppliers like the USA and Germany, but also other EU member states, the UK and others, must act now to bring Israel’s atrocities against Palestinians in Gaza to an immediate end.”

Over the past two months the crisis has grown particularly acute in the North Gaza governorate, where a besieged population is facing starvation, displacement and annihilation amid relentless bombardment and suffocating restrictions on life-saving humanitarian aid.

“Our research reveals that, for months, Israel has persisted in committing genocidal acts, fully aware of the irreparable harm it was inflicting on Palestinians in Gaza. It continued to do so in defiance of countless warnings about the catastrophic humanitarian situation and of legally binding decisions from the International Court of Justice (ICJ) ordering Israel to take immediate measures to enable the provision of humanitarian assistance to civilians in Gaza,” said Agnès Callamard. 

“Israel has repeatedly argued that its actions in Gaza are lawful and can be justified by its military goal to eradicate Hamas. But genocidal intent can co-exist alongside military goals and does not need to be Israel’s sole intent.”

Source: Amnesty International
 
Mtu akikushambulia inafaa umpe sababu Mia kwanini asirudie kukushambulia

KwA haya yaliyotokea gaza unadhani siku Israel wakisitisha vita kuna mtu yoyote wa Palestine atakaejaribu ata ku fikiria kuivamia Israel!???

Umeandika as if Israel ni victim wa Wapalestina, Wakati Wapalestina ndiyo victims wa Israel kwa miaka mingi. Ukijua maisha ambayo Wapalestina wanaishi chini ya ukandamizaji wa Israel pengine ungeelewa context ya resistance ya Wapalestina.

Kumbuka. Oppressor hana haki ya self defence kwa mujibu wa Internstional law.
 
hayo mashirika ya haki za binadamu hayaoni hao mateka was kiyahudi wanaoendelea kushikiliwa huko Gaza kwenye mazingira mabovu?
 
Umeandika as if Israel ni victim wa Wapalestina, Wakati Wapalestina ndiyo victims wa Israel kwa miaka mingi. Ukijua maisha ambayo Wapalestina wanaishi chini ya ukandamizaji wa Israel pengine ungeelewa context ya resistance ya Wapalestina.

Kumbuka. Oppressor hana haki ya self defence kwa mujibu wa Internstional law.
SHIDA ni kwamba waarabu wana chuki za kurithishwa dhidi ya wayahudi kwaio hata wangetimiziwa matakwa yao bado wao wanaamini Jews wote wanatakiwa kuuwawa na swala la wao kuivamia Israel October 7 ni la kipumbavu kwasababu huwezi kuenda kuanzisha vita usiyoiweza ambayo unajua kabisa hautaiweza na raia wako ndo watakao teseka
 
Kwan kuwarudisha ao mateka kuna gharama gani Kwa lugha nyepesi wanapenda wao wenyewe kuteseka
 
Katika ripoti waliyoitoa juzi, shirika la haki za binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa kuna ushahidi mwingi wa kuwa Inachokifanya Israel huko Gaza ni mauaji ya Kimbari (Genocide). Wakieleza kuwa kwa mujibu wa makubaliano ya kimataifa, kosa la genocide linahusisha, mauji, kutenda vitendo vya kuweza kudhuru akili au mwili na pia kutengeneza mazingira magumu kwa binadamu kuishi. Ripoti ikasema vitendo ambavyo Israel inafanya huko Gazs vinakamilisha kila kipengele.

Kisha ripoti ikaendelea kusema, matendo ya kidhalimu dhidi ya wapalestina ambayo Israel inayafanya systematically huku yakijirudiarudia yanadhihirisha lengo la Israel kutekeleza mauaji ya Kimbari.

Ripoti hiyo ikazionya nchi zinazoipa au kuiuzia Silaha Israel ikiwemo Marekani, Uingereza na Ujerumani kuwa nazo zinaweza kuwa zinasaidia utekelezwaji wa Genocide!.

Habari kuhusu hii ripoti ya Amnesty International unaweza kuipata hapa.

==========================================================

Amnesty International’s research has found sufficient basis to conclude that Israel has committed and is continuing to commit genocide against Palestinians in the occupied Gaza Strip, the organization said in a landmark new report published today.

The report, ‘You Feel Like You Are Subhuman’: Israel’s Genocide Against Palestinians in Gaza, documents how, during its military offensive launched in the wake of the deadly Hamas-led attacks in southern Israel on 7 October 2023, Israel has unleashed hell and destruction on Palestinians in Gaza brazenly, continuously and with total impunity.

“Amnesty International’s report demonstrates that Israel has carried out acts prohibited under the Genocide Convention, with the specific intent to destroy Palestinians in Gaza. These acts include killings, causing serious bodily or mental harm and deliberately inflicting on Palestinians in Gaza conditions of life calculated to bring about their physical destruction. Month after month, Israel has treated Palestinians in Gaza as a subhuman group unworthy of human rights and dignity, demonstrating its intent to physically destroy them,” said Agnès Callamard, Secretary General of Amnesty International. 

“Our damning findings must serve as a wake-up call to the international community: this is genocide. It must stop now.

“States that continue to transfer arms to Israel at this time must know they are violating their obligation to prevent genocide and are at risk of becoming complicit in genocide. All states with influence over Israel, particularly key arms suppliers like the USA and Germany, but also other EU member states, the UK and others, must act now to bring Israel’s atrocities against Palestinians in Gaza to an immediate end.”

Over the past two months the crisis has grown particularly acute in the North Gaza governorate, where a besieged population is facing starvation, displacement and annihilation amid relentless bombardment and suffocating restrictions on life-saving humanitarian aid.

“Our research reveals that, for months, Israel has persisted in committing genocidal acts, fully aware of the irreparable harm it was inflicting on Palestinians in Gaza. It continued to do so in defiance of countless warnings about the catastrophic humanitarian situation and of legally binding decisions from the International Court of Justice (ICJ) ordering Israel to take immediate measures to enable the provision of humanitarian assistance to civilians in Gaza,” said Agnès Callamard. 

“Israel has repeatedly argued that its actions in Gaza are lawful and can be justified by its military goal to eradicate Hamas. But genocidal intent can co-exist alongside military goals and does not need to be Israel’s sole intent.”

Source: Amnesty International
Hiyo ripoti haina lolote uwezo wa kumudhibu israel hawana!
 
SHIDA ni kwamba waarabu wana chuki za kurithishwa dhidi ya wayahudi kwaio hata wangetimiziwa matakwa yao bado wao wanaamini Jews wote wanatakiwa kuuwawa na swala la wao kuivamia Israel October 7 ni la kipumbavu kwasababu huwezi kuenda kuanzisha vita usiyoiweza ambayo unajua kabisa hautaiweza na raia wako ndo watakao teseka
Yemen kuna wayahudi ulishawahi kusikia wakiuliwa?

Morroco kuna wayahudi ulishawahi kusikia wakiuliwa?

Si Ali Sakkati ambaye ni kitukuu wa Mtume Muhammad S.A.W aliwaficha wayahudi waliyotoroka labor camp dhidi ya manazi na Wafaransa.

Albert Assouline aliyekimbilia Misri kwa waarabu alipotorokea German prison camp na akahifadhiwa msikitini.
Aliandika article mwaka 1983 for Almach du Combattant, a French veterans' magazine, aliandika “No fewer than 1,732 resistance fighters found refuge in its (the mosque’s) underground caverns. These included Muslim escapees but also Christians and Jews. The latter were by far the most numerous.”

List ni ndefu ila nakupatia na ueone waislamu kwa uchache walivyowasaidia Wayahudi, si kwamba waarabu bali waislamu kwa ujumla ili uone mafundisho yao yapoje!

Waislamu walianzisha kikundi kinachoitwa I Am Your Protector (IAYP)

Turkish diplomat in Greece Selhattin Ulkumen waliandaa boti kisiri kuwasafirisha wayahudi kutoka Greece ambapo kipindi hicho wapo chini ya Nazi na kuwasafirisha kisiri mpaka Uturuki. Unafahamu hili?

Unamfahamu Iranian diplomat Abdul Hussein Sardar? Aliwaokoa malfu ya wayahudi ili wasiuliwe na manazi.

Sasa unayoyaandika wewe yanatokea wapi? Tukiwaambia huwa mnaendeshwa kwa hisia bado hamkubali.

Mtume mwenyewe ambaye waislamu ndiyo role model wao, mtume ambaye ni mwarabu katika wake zake wapo wawili ni Jews (wayahudi); Rayhana bint Zayd na Safiya bint Huyayy, wote hao ni wayahudi. Hizo chuki dhidi ya wayahudi zinatokea wapi?

Mtume Muhammad s.a.w ambaye ni mwarabu katika maswahaba zake walikuwepo mayahudi: Abdullah ibn Salam, Mukhayriq ibn Al Nadir, Zaid Bin Sanah n.k

Hiyo chuki ya waarabu na wayahudi itokee wapi?

Wapalestina hawapigani na wayahudi, bali wanapigana na wazayuni. Palestina kuna vizazi na vizazi vya wayahudi ambao waliishi kwa amani.

Au hufahamu Mkuu wa wayahudi wa Palestina aliandika barua kwa Waingereza kuwakataa hao zionist waliyoletwa kwa meli hapo Palestina?

Kuna aina ya Jews hapo mashariki ya kati inaitwa Mirzahi Jews. Ukiwaangalia ni waarabu kabisa ila ni ma Jews. Wanabaguliwa mpka bhasi hapo Israel. Hawa na sephardic Jews daraja lao ni la chini nchini Israel. Wanabaguliwa kama Jews wakutoka Ethiopia.

Kwa sababu hao akina Netanyahu si wayahudi wa asili bali wa mchongo, hao ni wazayuni.
 
Wanatangaza lakini hawachukui hatua yoyote hapo ni sawa na kusema bwana husein ni fisadi bila kumchukulia hatua ni sawa na bure
 
Mateka wameshikiliwa kwa sababu Israel imeshikilia Mateka wengi wa kipalestina wakiwemo watoto kabla hata ya october 7
Israel haijashikilia mateka wa kipalestina wale ni magaidi wanashiliwa Kwa makosa yao ya kigaidi ni wafungwa was kigaidi ila Hamas ilivamia Israel ikishika raia wasio na hatia tofautisha sio unapayuka kidini
 
Kama mateka wa kipalestina unawaita magaidi basi mateka wa Kiisrael ni Manazi
 
Amnest wanadhania hizi ni zile zama za Mudy na Uislam Mudy akiongea kila mtu anaamini bila Ushahidi wowote...

Katokewa na Jibril - Hakuna Shahidi Kichekesho Jibril hakusema Asalaam Aleykum kama alivyomtokea Mariam

Kaenda Mbinguni huko kakutana na Myahudi Musa aliyemshauri kuwa salat 50 watu wake hawatoweza kusali kwa siku moja akamfundisha kubargain hadi Tano.. Hakuna Ushahidi hata Quran yenyewe inasema salat ni Tatu tu..

Mwezi umepasuka vipande viwili hadi mlima wa pale maka ukawa unaonekana katikati ya vipande viwili vya mwezi, na enzi zake ilikuwa ndio dalili ya kiama lakini kiama hadi leo bado..

kafundishwa na jibril kutawadha mara tatu kusukutua mara tatu kunawa kipepsi mara tatu yaani kila kitu ni Trinity kama wakristo.. mafunzo yote hayana shahidi.

Sasa Amnesty wakapeleke report yao kwa waislam washangilie ila tunaofuatilia vita hatujaona Genecide yeyote na kama ingekuwepo basi tungeshawasahu Arabs wa Gaza maana Netanyahu asingeacha shingo ya watu wa Mnyazi kwa ratio ya Arabs Gaza ni 2.4 M waliodedi three quarter ni Magaidi Hamas,Theluthi moj ni Mashabiki na iliyobaki ni wale walivamiwa na magaidi so wakafa pamoja nao bila ya wao kupenda Human Shield.. News za kia aljazeera wameingia mkenge Amnesty
 
SHIDA ni kwamba waarabu wana chuki za kurithishwa dhidi ya wayahudi kwaio hata wangetimiziwa matakwa yao bado wao wanaamini Jews wote wanatakiwa kuuwawa na swala la wao kuivamia Israel October 7 ni la kipumbavu kwasababu huwezi kuenda kuanzisha vita usiyoiweza ambayo unajua kabisa hautaiweza na raia wako ndo watakao teseka
Hata Hitler pia alikuwa Mwarabu
 
Back
Top Bottom