Shirika la haki za binadamu la Amnesty International latoa ripoti kuwa Israel inafanya Genocide huko Gaza

Mateka wameshikiliwa kwa sababu Israel imeshikilia Mateka wengi wa kipalestina wakiwemo watoto kabla hata ya october 7
Tutajie Mateka yupi amakamatwa bila sababu pumbavu kweli wewe.. Hizo Arabs zimeua waisrael zipo jela unasema ni mateka? kuna baadhani wana makosa ya kawaida kama wizi n.k wanafungwa na kuachiwa kama nchi zingine zilivyo.. Israel ukifanya kosa la kigaidi jela ni yako bahati nzuri hawana hukumu ya kunyonga ndio maaa Arabs wapo huru kufanya makosa.. kuna wengine wanajua wakifanya makosa familia zao zinalipwa pesa na serikali ya Abbas jambo ambalo linaudhi sana waisrael kwani wanakuwa encourage sana kufanya makosa.. Dawa wao Israel kwenye matukio wakikukosa kukuua wanavunja na nyumba ya familia zao mbwai mbwai tu.. Nitajie mateka wa kiarabu asiye na kosa
 
Inaelekea huna taarifa.

Israel imekamata wateka wengi wa kipalestina hadi watoto wadogo
 
Back
Top Bottom