Posta wanafanya kazi kizamani,kizembe,kimazoeaNilienda posta mpya kununua sanduku kwa ajili ya kampuni yangu,nilipofika sehemu husika nilikuta mzee mmoja na vijana wawili,nilisalimia nikaketi bila kukatibishwa,nilikua dk 15 bila kuulizwa chochote,niliamua kuondoka,nikaenda kununua sanduku posta ya chang'ombe temeke,Wacha wauzwe tu
Mitambo gani?posta inakwenda kua ya mitambo mitupu apo ndio chadema watakapo tafutana
Mwendazake ndiye alizuwia miradi ya gas, mama anaifufuwa yote na zaidi.Hata gas ya Mtwara wakati watu wanauwawa tuliambiwa tutauza hadi umeme nje, na tutapata mapato makubwa kwenye mauzo hayo. Hapa unachoendeleza ni utapeli ule ule tuliozoea kutoka kwa chama cha majizi ya kura.
tanakilishi ,magari ya kusambaza Vipeto na Vifurushi kwa haraka yani mzigo itakufikia mlangoni kwako kwa haraka na usalama na hii ndio aibu kwa chademaMitambo gani?
Wenzako wanawazia MABASHA tuUshahidi wa kesi upo wa kutosha, tatizo uvivu wako kifikra unaokufanya muwashangilie waarabu hovyo, ndio unaokufanya ushindwe hata ku google.
Mwendazake ndiye alizuwia miradi ya gas, mama anaifufuwa yote na zaidi.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
kilimo mbona kiko vizuri sana una hata tuta la mboga kweli au unaongea nadharia tuhHayo makampuni yaliyojifia sawa, ila sio bandari. Wapewe na reli ya kaskazini wapambane nayo. Waje wawekeze kwenye kilimo, lakini wapewe sehemu kame ili waweke miundombinu ya umwagiliaji.
Zingatia matumizi ya herufi kubwa na ndogo, ikiwemo na nukta tafadhali.kilimo mbona kiko vizuri sana una hata tuta la mboga kweli au unaongea nadharia tuh
kazi kubwa inaendelea chini ya mweshimiwa Hussein Mohamed Bashe nchi sasa kuwa ya asali na maziwa ni swala la muda tuh
Kwani hapo Zenji walikojaa mashoga hadi ma askari nako ni walikuja wazungu??Kama ni hivyo basi ni vyena sana kuliko wale wanaokuja kutuibia. Na kutulazimishia ushoga.
Uislam ni mwema sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wenzako wanawazia MABASHA tu
Umemjibu vizuri sana.....huko Dubei si ndio mapumziko wa kila wavaa vuchupiHuko Dubai uislamu huo unaoufikiria upo?
@FaizaFoxyKama ni hivyo basi ni vyena sana kuliko wale wanaokuja kutuibia. Na kutulazimishia ushoga.
Uislam ni mwema sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mbona hii issue mnaichukulia sana kidini, wazungu tumeingia nao mikata mingapi??? Tena mibovu, Nana ashawahi kutoka na Ku claim lengo ni kueneza kitu flani au dini flani??Wana lengo la kueneza Uislamu. Hiyo ndiyo ajenda kuu nyuma ya hiki kinachodaiwa Uwekezaji.
Tuhuma urushe wewe, ushahidi alete yeye!Ushahidi wa kesi upo wa kutosha, tatizo uvivu wako kifikra unaokufanya muwashangilie waarabu hovyo, ndio unaokufanya ushindwe hata ku google.
Mimi shida yangu ni Bandari na mbuga ya Ngorongoro mambo ya Posta yaendelewe kutafutiwa ufumbuzi na Rais Samiah.
Nani aliwaleta TICTS walioshindwa kwa miaka zaidi ya 20?Tumefikishwa hapa na Hangaya the chief
Reasoning ya baadhi ya watanzania mtihani kabisa. Full mkumbo tuUmemjibu vizuri sana.....huko Dubei si ndio mapumziko wa kila wavaa vuchupi
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mashoga wengi ni Waarabu kwa sababu wao ni wachafu.Kama ni hivyo basi ni vyena sana kuliko wale wanaokuja kutuibia na kutulazimishia ushoga.
Uislam ni mwema sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.