WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hata Wazungu walipingwa sana kipindi cha Magufuri.Mbona hii issue mnaichukulia sana kidini, wazungu tumeingia nao mikata mingapi??? Tena mibovu, Nana ashawahi kutoka na Ku claim lengo ni kueneza kitu flani au dini flani??
Au waarabu hawana kuwekeza Tanzania??
Acheni double standards!
Na ukichunguza kwa umakini utagundua sio kinachopingwa na uwekezaji Bali ni uarabu unaonasibishwa na uislaam, u
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Sasahivi ndio wana mitaji mikubwa na hizi investements zinahitaji mitaji mikubwa sio hela ya mawazo,ukizingatia sasahivi mzungu yupo hoi kifedha vita na corona vimeathiri uchumi wa mzungu, so hoja ya dini haina mashiko maana the brain behind kwenye investment ya muarabu ni ni mzungu ,Mwarabu na Mchina ni wezi wa kutupwa hawana huruma na Mwafrika.Afadhali Mchina anatujengea hata madaraja lakini Mwarabu kazi yake ni kujenga misikiti na kutengeneza dependency wengi.
Ujambazi na Ugaidi ndiyo sifa yao.Waarabu watu safi sana acha tushirikiane nao. Wana utu sana kuliko wazungu wanao preassurize ushoga. Acha twende na arabs.
Hakuna nchi iliyowahi kukombolewa na Mwarabu duniani.Sasahivi ndio wana mitaji mikubwa na hizi investements zinahitaji mitaji mikubwa sio hela ya mawazo,ukizingatia sasahivi mzungu yupo hoi kifedha vita na corona vimeathiri uchumi wa mzungu, so hoja ya dini haina mashiko maana the brain behind kwenye investment ya muarabu ni ni mzungu ,
Jionee mambo haya 👇🏾Mashoga wengi ni Waarabu kwa sababu wao ni wachafu.
Kama umeenda shule utajua kwamba ugaidi ni kitu kimetengenezwa kwa lengo fulani, hata gaddafi tuliaminishwa mbaya akauliwa huku tunaona nchi smbayo watu wake walikuwa na maisha mazuri kuliko hata mchi za ulaya, lakini wakalishwa fitna hadi wakamuona mbaya,Ujambazi na Ugaidi ndiyo sifa yao.
Millardayo.com kaorodhesha nchi zinazoongiza kwa ujambazi duniani, hakuna hata moja ya Kiarabu au ya Kiislam. Jionee:Ujambazi na Ugaidi ndiyo sifa yao.
Issue sio ukombolewe issue ni biashara its ein win situation ,mtu anaingiza billions of dollars wewe unaongeza mapato yako na yeye anapata return ya investment yake ndio biashara, na wamefanya hivyo hadi huko kwa wa wazungu uingerezaHakuna nchi iliyowahi kukombolewa na Mwarabu duniani.
Afadhali wabongo wakipiga tunakula nao kuliko waarabu watakaokuwa wakipiga na kupeleka uarabuni.Acha wapewe wabongo ni wizi na upigaji
Tayari!
Ni kweli nani kama mama muuza nchi na rasilimali zakeN
Nani aliwaleta TICTS walioshindwa kwa miaka zaidi ya 20?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Lugha ya kiarabu ingizwe na iwe ya kufundishwa na kufundishia kwenye shule zetu.
Hatari aisee na wanaweza kusema na hilo pia
GGM, na Ashanti wamewekeza Taifa na wao lengo lao ni kueneza ukristo we mburula na malaya wa kikristo?Wana lengo la kueneza Uislamu. Hiyo ndiyo ajenda kuu nyuma ya hiki kinachodaiwa Uwekezaji.
Hata wasiposema fursa ili ipatikane pengine itakuwa added advantage.