Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Aisee!
Kwahiyo kwakuwa walikuwa na coaster wakisafirisha abiria na sasa wameleta mabasi makubwa biashara inabadilika au imekuwa?
Kuna muda kumuelewa mtanzania inahitaji remedial class ya unafiki tu!
Nakumbuka.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Hongera ingawa nawapa onyo kuwa biashara ya usafirishaji haswa Mabasi inahitaji umakini zaidi ili wapate faida,Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Mkuu sikuelewa,wamevitungia masheria ya kizamani au nini?maana kiukweli ushindani wa mfano kabila fulani la kaskazini hata VAT ako allergic nayo na hawalipi, receipt hawatoi, mafuta wanajua wanayapata kwa bei gani, na upande wa pili wanakuamkia Shikamoo Mzee, kifurushi wanaweza hata wakakikuletea hata nyumbani kwa bodaboda, hapo ndio wasi wasi wangu labda kama itoke sharia kuwa vifurushi na mizigo ya serikali yote wapewe waoβ¦.Vibasi 10 vya posta unavitungia ushetani?
Rangi ya nyonya damu
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Mbona yameandikwa POST Express badala ya Posta?
Ila mpiga picha kapiga kiwizi wizi
Kwani biashara ya abiria ina watu maalum wa kuifanya?Hili ni wazo zuri, japo POSTA wangejikita kubuni biashara ya kusafirisha vifurushi kuliko kuingilia biashara ya abiria.
Tusije tukaanza kusikia kampuni binafsi zinanyimwa leseni.
Wazo lina nia njema.. Utekelezaji, usimamizi wa muda mrefu utawapa shida.... Kutegemea vifurushi kama chanzo kikubwa cha mapato si vyema..Upande wa usafirishaji wa abiria , watakuwa na changamoto, kiundeshaji, mfumo wa kishirika la umma, mwisho wa siku faida itakuwa ndogo..Wamuulize Sumry kwa nini ameuza mabasi Tanzania, nini kimetokea kwa Scandinavia, Kiswele, Air Msae na wengineo... Mabasi mengine unayoyaona, wamiliki wana biashara nyingine za msingi, ambazo zinaunga mkono biashara ya usafirishaji wa abiria ..Ni vizuri kuthubutu, lakini wangeweza kufikiri vyema zaidi.. Muda utatupa majibu... Muda ni mwalimu mzuri.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Ndiyo. Kwani huwafahamu?Kwani biashara ya abiria ina watu maalum wa kuifanya?
Hilo la fast jet linatia Huruma, kupanda ndege sasa hivi ni very expensive hobbyKuna makampuni ya binafsi ya magari yanaenda kuuliwa kama kwa fastjet, kila mahali serikali inapo gusa lazma iharibu....
Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu πππ πππ