Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
Jifunze kuandik vitu vinavyoelewekz....jifunze punctuation pia....punguza matumiz ya capital letters
 
Watoe hiyo rangi ya Simba tofauti na hivyo atapanda Manara[emoji41]
 
Si jambo jema kwa dola kufanya biashara. Dola itakuwa tajiri, ukija uchumi wa MTU mmoja mmoja hali itakuwa si shwari.
 
Hawajifunzi tu, serikali siyo mfanyabiashara mzuri

Wamepima kuhusu risk za kuendesha hayo mabasi au ndo yaanze kutegemea ruzuku kutoka serikalini?

Huu ni uchumi uliofeli wa Nyerere

zamani tulikuwa na mashirika ya usafirishaji ya serikali, je yalifika wapi?

hii biashara inaifaa private sector siyo serikali
 
Huo ujanja wa kula pesa
Kulikuwa na mashirika ya mabasi na malori hapa nchini yote yamefilisika tena kirahisi sana
Leo wanarudia yaleyale
Good idea ila kama wange-outsource hiyo service kwa competent management maana sioni meneja wa shirika hili la posta yetu akawa na competency ya kuendesha biashara ya aina hii. On the other hand, services kwenye magari binafsi ni pathetic, bora kuwa na countri-wide bus operators (kuliko waliopo) .
Hahahahaha, Makampuni ya uma yanadharaulika sana. Sijui kwanini?
 
Ilianza stars na jezi rangi , wakaishia hapo! Sasa posta na rangi watu wanaguna. Nji hii watu hasa was Mpira wako sensitive na rangi usipime
 
Tusije kukaa ubungo masaa mawili tunamsubiria katibu aamke ajiandae, mashirika ya umma ni nichefuchefu
Duh. CCM ndiyo iliharibu nchi kwa kuingiza siasa kwenye kila fani. Mpaka mambo yaliyopaswa kufuata kanuni zinazotambulika duniani pote wao wakaingiza siasa za matamko na maagizo.
 
Naona wanatengeneza njia ya kupiga pesa kupitia hii biashara ya mabasi. Story zitaanza fulani kanunua spea kwa bei kubwa, leo abiria hawakuwepo tulienda kwa hasara wakati ukweli ni kuwa gari ilijaa pomoni, gari haijaharibika utaambiwa tumenunua spea njiani, nk.
 
Nimeikumbuka KAMATA - Kampuni ya Mabasi Tanzania
 
Tutayapeleka TEMESA
Naona wanatengeneza njia ya kupiga pesa kupitia hii biashara ya mabasi. Story zitaanza fulani kanunua spea kwa bei kubwa, leo abiria hawakuwepo tulienda kwa hasara wakati ukweli ni kuwa gari ilijaa pomoni, gari haijaharibika utaambiwa tumenunua spea njiani, nk.
 
Haya magari ni mchina !!! Niijuavyo serekali inavyozembea service ya magari yake utakua mwendo wa kulaza watu njiani
 
NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
Mpuzi kama jina lako.Unajifunza kuandika au simu ni mashikolo mageni?Kila baada ya neno full stop/nukta,off-points you wrote!!
 
Tujifunze smart privatisation, tusirudie sera za stupid communism (ujamaa).
 
Ngoja niwashauri hapa tu
Wanachotakiwa kufanya ni watengezeze system ambayo itakuwa kila bus stand hii itakuwa inashuhulika na kukata tiket pamoja na kutuma fedha tena ikiwezekana wafanye bure kwa kipindi cha mwanzo ili wateja waizoee.
 
ulitaka rangi iwe ya chama
NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
Umeandka kimaandazi, au ndo std4 failure
 
Kwanini wasiyape leseni makampuni yote ya mabasi yanayosafirisha vifurushi wawe mawakala wa Shirika la Posta? Wawape na EFD kabisa. Pale mteja ana mzigo anapewa risiti ya shirika la posta kutoka kwa mwenye basi.

This is what we call smart PPP in this business. Posta hata kama watapata 30% ya mapato hayo ni faida kwao kuliko huku kujiingiza kipuuzipuuzi.
 
Back
Top Bottom