Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Kamata
Mwadeco
Mudeco
Tadeco
Kideco
Nk zote zilikufa now tunalekea kuanzisha National milling na RTC
Huo ujanja wa kula pesa
Kulikuwa na mashirika ya mabasi na malori hapa nchini yote yamefilisika tena kirahisi sana
Leo wanarudia yaleyale
 
Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu 😃😄😅😂😁😁
Ni kweli jina baya au rangi mbaya ambayo haikutulia haiiti wateja. Rangi hii si ya kuvutia wateja waoga kama mimi…...ila Mungu awajalie wawe na wasimamizi wazuri sana.
 
Serikali hii inawaonea gere makampuni binafsi ya biashara na inatamani biashara zote zifanywe na serikali ila tu haina uwezo na imeshapigwa bao.

Tafsiri ya kisiasa mavi.....
Social media imeua huduma za posta hivyo imetafuta option ya kujikwamua...
Pia mabasi binafsi yanatoa huduma za kubeba vifurushi, barua na pesa.
Vibasi 10 vya posta unavitungia ushetani?
Msiwe vichaa kwa siasa za kijinga
 
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Kimefeli kabla ya kuanza.
Wataanza kuajiri ndugu zao na kuwalipa mishahara ya ajabu ajabu isiyoendana na soko. Wizi wa vipuri etc. Running costs zitakuwa balaa.
Likidmu miaka miwili, itakuwa muujiza.
 
Ni kweli jina baya au rangi mbaya ambayo haikutulia haiiti wateja. Rangi hii si ya kuvutia wateja waoga kama mimi…...ila Mungu awajalie wawe na wasimamizi wazuri sana.
Rangi ya nyonya damu
 
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.

1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).

2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).

3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)

4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Ila uliamini habari ya Lisu kupewa bus huko Europe.
 
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.

1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).

2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).

3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)

4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Kuliwahi kuwa na bus za posta na zilikuwa na rangi hiyo hiyo
 
Watafute ata kasehemu flani wapake rangi ya njano na kijani 😢😢😢😢
 
Unaandika kama Moderator Farida
NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
 
hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Bado linaendelea
 
Msipeleke hayo mabasi mikoa ya kusini yakakutana na kina shamba la mkulima waliodhulumiwa korosho
 
Mi nawapongeza posta kuja na wazo hilo la kibashara, hakuna kuua biashara ya mabasi mengine wala nini.Hili ni soko huria na wanaweza kuwa na gharana nafuu kuliko mabasi mengine,Zamani yalikuwapo mashirika kama hayo ila usimamizi ulikuwa mbaya sidhani kwa zama hizi za JPM yatatokea na kipindi hiko barabara nyingi zilikuwa mbovu sana.Kwa hiyo mabasi ya Relwe na Kamata yalikuwa yanakufa sana na yalikuwa Leyland CD.Ina maana mizigo yao itakuwa inafika kwa wakati.
 
Back
Top Bottom