Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaendelea mkuu tena ni Eicherhii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Hapo hamna kitu ndugu biashara ya usafirishaji kumilikiwa na umma huwa ni hasara tupu we subiri utaona.Hili ni wazo zuri, japo POSTA wangejikita kubuni biashara ya kusafirisha vifurushi kuliko kuingilia biashara ya abiria.
Tusije tukaanza kusikia kampuni binafsi zinanyimwa leseni.
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Unafeli kwa dhahania mkuuSina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Yes... biashara ya barua huwezi kuboresha baada ya kuja social media na mabasi binafsi kubeba pesa, barua na vifurushi..
Wanajikwamua kibiashara.
Yes yanabeba abiria na vifurushi vya wateja wao...
Ulitaka iwe ya [emoji196][emoji196]fc?Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Akitaka ya madibwini fcYaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
Akitaka ya madibwini fcYaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
Kwa sasa Shirika La Posta wana Basi Moja dogo linalofanya safari zake Makambako to Songea Daily,ni TATA hivi wamefanikiwa ndio maaana imewapa MOYO wa kuendelea na biashara hii!hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
oky haina shida wachaga hatutapanda hilo.ngoooowanapakia abiria na ku support mizigo yao..
making profit kwa abilia plus more profit kwa vifurushi..
Haya mabasi watanufaika zaidi madereva na makonda tu tena mali umma
kuna baadhi wanakushangaa hapo kwenye hayo maneno uliyotumia ''Shirika letu'' wanatamani wakumeze mana kufeli kwa kila jambo kwenye mashirika na tasisi za serikali kwao ni vigelegeleSafi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Serikali hii inawaonea gere makampuni binafsi ya biashara na inatamani biashara zote zifanywe na serikali ila tu haina uwezo na imeshapigwa bao.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Rudi shuleNIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO