Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
 
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.

1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).

2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).

3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)

4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
 
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462

Good idea ila kama wange-outsource hiyo service kwa competent management maana sioni meneja wa shirika hili la posta yetu akawa na competency ya kuendesha biashara ya aina hii. On the other hand, services kwenye magari binafsi ni pathetic, bora kuwa na countri-wide bus operators (kuliko waliopo) .
 
hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Dar kwenda Mbeya, ilikuwa inasafiri usiku.
 
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.

1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).

2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).

3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)

4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Hapo yapo kwenye meli

Rangi nyekundu na nyeupe hutumiwa na Posta

Maandishi tu yalivyoandikwa Post Express hapo ndio natilia shaka kwa sababu malori yao yameandikwa Posta Let's Go

Pia yaweza kuwa kweli maana hii picha kama ya mtoa mada
 
Kijani na njano
Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
 
Sasa Huu Ubunifu Usijekuwa Kama UDA
Maana Napata Hofu Na Mashaka Ila Sasa Tutapanda
Naamini Serikali Ya Viwanda Itatoa Maelekezo Watumishi Wapande Ndinga Kama Kwenye Ndege Ulivyokuwa
Siyo ubunifu ni kukopi na kupesti kwani zamani yalikuwepo.
 
Leo karibu kila mtu anasifia hili swala la kuwepo kwa haya mabasi, ikitokea baada ya mwaka mabasi kama manne yawe hayapo barabarani kwa sababu ya ubovu au ajali, hawahawa waliosifia wataanza kuponda hii idea kuwa ilikuwa ni kutumia vibaya hela za serikali kununua mabasi.

Wabongo wenzangu tuwe wavumilivu pindi changamoto zikianza.
 
Hapo wasiendee kuuwa makampuni binafsi kwa kutumia nguvu ya dolla, ushindan wa biashara uwe sawa.

Wasitumie nguvu ya dola, wawavutie wadau kutokana na huduma zao nzuri au mbaya.

Makampuni binafsi yaachwe kufanya biashara zao.
 
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
Na amri juu kuwa watumishi wa umma ni marufuku kusafiri na Najmunisa au Kibo Bali lazima iwe TPC bus. Hutaki no refund
 
Wakiondoa bureaucracy. Wafanyakazi wao wafukuzike hakika watu watayapenda. Tatizo la wafanyakazi wa serikali ni kuwa na majibu meusi
 
hii biashara itawashinda kama tu mizigo wanateseka nayo upati kwa wakati mzigo ukifika tanzani toka nnchi zilizo endelea
 
Back
Top Bottom